Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Nyerere alikuwa hapendi watu wenye akili,alitaka aabudiwe yeye tu. Maeneo ya wala ndizi ndo wasomi wakubwa nchi hii.Hivi Nyerere alikuwa ana nini na watu wanaokula ndizi? Mbona karibu kila sehemu za hao wenyeji kuna kitu aliwatenga?
QaresiKuna mkuu wa mkoa alikuwa anaitwa Quares mtu wa Mbulu, aliwadhihaki wana Mbeya, akapotezwa
Yale matumizi ya tofali za udongo, imeufanya mji uonekane kijiji kilichochangamka...
Ahsante sana kwa jibu hili [emoji120][emoji120][emoji122][emoji122][emoji122]Nyerere alikuwa hapendi watu wenye akili,alitaka aabudiwe yeye tu. Maeneo ya wala ndizi ndo wasomi wakubwa nchi hii.
Sijui aiseee.... problem alikuwa ni nani, yeye, mfumo, au watu wake?Hivi Nyerere alikuwa ana nini na watu wanaokula ndizi? Mbona karibu kila sehemu za hao wenyeji kuna kitu aliwatenga?
Wivu? Hebu go deep chendelela , walikufanyia wivu gani? Je wivu ulifanyiwa na mtu mmoja au wana Mbeya wote?Napenda Khali ya hewa ila muache ujuaji,wivu na uchawi.
Ndenyelite .....wanasema ukitaka kuruka .lazma utoe chochote kitu..kia expandumesahau matema beach,samaki mbasa na mbelele,na kijito flani huko ileje cjui,ukikiruka kinapanuka unazama,na ndo kwaheri,,,maji moto kilambo nk
Poa maninaonekana upo so desperate na kila kinachoandikwa jf.....vingine havihitaji serious attention, vitakupasua kichwa....chukulia ni sehemu tu ya kunogesha uzi.
Mateo QaresiQaresi
Hahaha hahahaSisi waafrika sjui tumelogwa wapi.. kwahiyo haya maombi yanapaswa kwenda kwenye magari na kuzuia breki zisifeli, au yanapaswa kuupunguza mteremko mkali uwe tambarare.
Mwanafilosofi mmoja alishasema "big problems happening when we fail to solve small problem"
Na pia badala ya kutatua tatizo sisi tunatafuta njia mbadala ya kulikwepa tatizo. Hapo ndipo tunapofeli sana.
Nimesoma MATCSafi sana mbeya ,nimesoma MTC.
Uje mkuu...tutakuongeza nyingineHahaaa mkoa huo ndo umenipa pisi mbili moja nimezaa nayo nyingine ndo my wife kabisa wanyaki ni watu poa sana hawana mambo mengi.
Mfa maji haachi kutangatanga. Wameona serikali haiko serious kutatua tabu yao wakaamua kupita njia ya mkato. Always shortcut is a very difficult way, more than you can imagineSisi waafrika sjui tumelogwa wapi.. kwahiyo haya maombi yanapaswa kwenda kwenye magari na kuzuia breki zisifeli, au yanapaswa kuupunguza mteremko mkali uwe tambarare.
Mwanafilosofi mmoja alishasema "big problems happening when we fail to solve small problem"
Na pia badala ya kutatua tatizo sisi tunatafuta njia mbadala ya kulikwepa tatizo. Hapo ndipo tunapofeli sana.
Kivp Sasa ...[emoji31][emoji31]hiz ni hujumaaaHaha...!
Namshukuru Mungu kunipa wewe laazizi wangu..!!