Mbeya kutamu bwana, usisikie habari za mtandaoni


Mkuu hili shamba lipo Kyimbila, ambapo unaweza kuliona ziwa Nyasa, 50km away.
 
Picha ya Mt. Loleza haijatenda haki. Hii hapa nilipiga mimi last December nikiwa barabara ya Mbeya Day-Magereza. Imekua wallpaper kwenye PC yangu ever since.

View attachment 2370027
Mwaka jana disemba asubuhi sana nikiwa mbeya nilipanda mlima huu hadi kileleni juu kwenye minara mji wote unaonekana vzr Sana , barabara ya chunya inaonekana vizuri Sana,Kuna jamaa kalima parachichi pale juu kingine nilijiuliza nguzo za umeme walizibeba vipi hadi kileleni kule
 
Sijui aiseee.... problem alikuwa ni nani, yeye, mfumo, au watu wake?
Kuna sehemu watu waliumizwa sana hasa vijiji vya Ujamaa na Uhujumu uchumi. Hizi jamii zilikuwa na perment settlements na uchumi mkubwa sasa kuwahamisha na kuwashika kwamba ni wezi ,kuwanyang'anya mali zao viliwayumbisha sana.

Kwenye elimu hivyo hivyo.Watu waliyumbishwa sana.

Tusahau hayo maenedeleo sasa hivi ni Tanzania nzima na wasomi siku hizi wapo kote.
 
Kawetere na Loleza n sehem mbili tofauti?
 
Mchonga alifeli pakubwa
 
K
Kweli ni pazuri, ninapenda sana utalii
 
Hivi Nyerere alikuwa ana nini na watu wanaokula ndizi? Mbona karibu kila sehemu za hao wenyeji kuna kitu aliwatenga?
Akili mtu wangu.
Nyerere aliwapenda sana wajinga wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…