Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Ni mjinga pekee ndie ataeshangilia hukumu hiyo!! Ulitegemea Mahakama iende kinyume na serikali kweny hili? Judge huyo hajazaliwa bado!!Wale Jamaa wa mihemko na kujitutumua wakiongozwa na yule mropokaji Mwabukusu wameangukia pua huko Mbeya.
Mahakama imesema mkataba ni halali na akili zao finyu ndio hazielewi ππππ
wapuuzi wale kina mwambukusi hata sheria hawajui wanajitutumua kama vile wanasheria kweliiii kumbe ni mihemko tu ya watu wasiojua sherai nao wakajiingiza humo aibu kwaooooo mkataba ni halali hata wakate rufaa wanajisumbuia tu vifungu wameshapewa basiiiiiiiWale Jamaa wa mihemko na kujitutumua wakiongozwa na yule mropokaji Mwabukusu wameangukia pua huko Mbeya.
Mahakama imesema mkataba ni halali na akili zao finyu ndio hazielewi ππππ
Kumbuka kesi ya uchaguzi Jimbo la vwawa mwaka 2015 ambapo mgombea Wa CHADEMA Bw. Fanuel Nkisi alithibitisha pasipo shaka kuibiwa kura zake.Nadhani wameturahisishia rufaa
tulienio dawa iwaingieeeeeeeeeeeeeeMiaka 7 ijayo tutalipa tu mambo ya hii mikataba ya hovyo
Mlienda kufanya nini Mahakamani?Aya tuli yajua
Yana mihemko ya kijinga sana ππCHADEMA wajivunze kuzungumza kwa adabu na heshima ,na kwa ukosefu wao wa adabu hata lile kundi la akina Mdee likiwachezea masharubu.
Kwanini waikatae?Ni mjinga pekee ndie ataeshangilia hukumu hiyo!! Ulitegemea Mahakama iende kinyume na serikali kweny hili? Judge huyo hajazaliwa bado!!
Kumbe Rostam ni kiboko kweli. Msije mkamruka kwengine huko.Ilitegemewa maana Rostam alisema huwa inapigwa simu moja tu kutoka serikalini kwenda mahakamani
Ni wenye akili tu wanatambua hili!!Nilijua haitawezekana mahakama iende kinyume na mhimili uliojichimbia sana!!
Porojo hizo.Sasa vifungu kama vilikiuka sheria si ndiyo ubatili wenyewe? Hii si ni kama ku "sugar coat" sheria
Utabadilishaje vifungu wakati mkataba umesainiwa?
Hebu acha upuuzi aisee.Kipindi cha JPM ulikuwa hoja chanya lakini sasa hivi umetindikiwa kuzidi kipimo; hoja zote zimekufa ndio maana hata unachoandika hakina mantiki kutiliwa maananii na yeyote!!!
Its sounds like u r right!!Tumeshajua,sema wanamuogopa Boss wao.Hili Jeshi la Tanzania si lichukue tu hii nchi.Mabeyo ulikosea sana.Ulitakiwa ubebe hii nchi walau CCM wapoteane na tuanze upyaaaa.