Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

Wale Jamaa wa mihemko na kujitutumua wakiongozwa na yule mropokaji Mwabukusu wameangukia pua huko Mbeya.

Mahakama imesema mkataba ni halali na akili zao finyu ndio hazielewi 😂😂😂😂

Ni mjinga pekee ndie ataeshangilia hukumu hiyo!! Ulitegemea Mahakama iende kinyume na serikali kweny hili? Judge huyo hajazaliwa bado!!
 
Wale Jamaa wa mihemko na kujitutumua wakiongozwa na yule mropokaji Mwabukusu wameangukia pua huko Mbeya.

Mahakama imesema mkataba ni halali na akili zao finyu ndio hazielewi 😂😂😂😂

wapuuzi wale kina mwambukusi hata sheria hawajui wanajitutumua kama vile wanasheria kweliiii kumbe ni mihemko tu ya watu wasiojua sherai nao wakajiingiza humo aibu kwaooooo mkataba ni halali hata wakate rufaa wanajisumbuia tu vifungu wameshapewa basiiiiiii
 
Nadhani wameturahisishia rufaa
Kumbuka kesi ya uchaguzi Jimbo la vwawa mwaka 2015 ambapo mgombea Wa CHADEMA Bw. Fanuel Nkisi alithibitisha pasipo shaka kuibiwa kura zake.

Mahakama ilisema pamoja na ushahidi wote kuonyesha kuwa Fanuel alishinda, Lakini matokeo yaliyotangazwa yalitokana na makosa ya kibinadamu tu hivyo mahakama haiwezi kubatilisha matokeo hayo.

Niamini Mimi, hata kama Rostam Aziz aliomba radhi dhidi ya matamshi yake Kwa mahakama, Lakini ukweli Wa Yale matamshi yake unathibitika kutokana na jinsi mahakama inavyofanya maamuzi yake kwenye mambo yahusuyo siasa au dhidi ya CCM na Serikali.
 
Kama Ndugai alivurumishwa, mahakama ina nguvu gani hata iweze kustahimili??!
 
Ni mkataba? Sio mkataba?!
Screenshot_20230810-104731.jpg

Tena.....

Screenshot_20230810-110559.jpg

Nashawishika kuamini kuwa "HUKUMU" ya kwanza ime editiwa.

Huyu hakuwa JAJI bali msoma HUKUMU.

Dola imeshinda dhidi ya nchi kwa sasa.
 
Back
Top Bottom