Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Namuomba Mungu amuweke motoni mwendazake milele na mile amina
 
UTASUBIRI SANA muh8ini yule kishashika adabu mwambie aende akashitaki sasa kama atakukubalia sasahivi kila mtu hata mtoto atamuamkia mpuuzi yule
Mbwa wewe usiye na mkia! huna chembe ya ubinadamu! Kaa mkao wa kuliwa tunakutafuta! huwezi kutoa upuuzi huu tukakunyamazia!!
 
Asante Mungu KWA siku nyingine, nimefurai Sana kusikia MDUDE akisema Mungu wake ananguvu Sana, nakubaliana nae , Kuna watu sio wachungaji ,hawana makanisa ila mungu kaweka mamlaka yake ndani yao yakutisha,

Pole Sana brother, na ongera sana
 
Mshikaji amepitia Magumu Sana....Awamu ya 5 ilimfanyia mambo mabaya sana!!
 
Mbwa wewe usiye na mkia! huna chembe ya ubinadamu! Kaa mkao wa kuliwa tunakutafuta! huwezi kutoa upuuzi huu tukakunyamazia!!
na mtaendelea kuliwa tu huyo kishaliwaa hadi anatembea upande upande na atakuwa ameshazoewa sasahivi ni bwabwa la mtaani ili mkome
 
Hongera nyingi kwa kamanda Mdude, Naamini Mungu atakulipia kwa yote madhila uloyapata kwa maelekezo ya binadamu wabaya! Hongera na Asante Mama Samia kwa kuirudisha Mahakama kwenye mstari wa HAKI!

Naomba usisitize tena mahakama na wakuu wa magereza kote nchini kujikagua ili wale wote walifungwa kwa kesi za kisiasa na chuki binafsi waachiwe HURU!
 
na mtaendelea kuliwa tu huyo kishaliwaa hadi anatembea upande upande na atakuwa ameshazoewa sasahivi ni bwabwa la mtaani ili mkome
Your days are numbered you idiots! Mwendazake ni lazima tuhakikishe mnafuata jini mwenzenu
 
Angehukumiwa kwenda Gerezani basi muda huu Hakim angekuwa anajadiliwa vikali lakin Kwa kuwa kaachiwa huru hakuna hata anayefaham jina la hakimu. Tatizo CDM wanapenda sana kuonewa huruma
 
Angehukumiwa kwenda Gerezani basi muda huu Hakim angekuwa anajadiliwa vikali lakin Kwa kuwa kaachiwa huru hakuna hata anayefaham jina la hakimu. Tatizo CDM wanapenda sana kuonewa huruma
Tumemfahamu jina kuwa ni hakimu aliyetenda haki kwa kesi ya kumbambika tena iliyokuwa ya kisiasa.
 
Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya...
Hii nchi ilikuwa imeoza kabisa,sasa unajiuliza hizo mtu mnasema mmempekua mmekuta madawa nyumbani Kwake,leo hana hatia!
Sasa hizo dawa zilikuwa zake au zilipandikizwa?

Au zilikuwa zake,ni kwamba tu upekuzi haukufanyika kisheria kwahiyo ameshinda kwa makosa ya kiufundi ya jeshi la polisi?
 
na mtaendelea kuliwa tu huyo kishaliwaa hadi anatembea upande upande na atakuwa ameshazoewa sasahivi ni bwabwa la mtaani ili mkome
Inaelekea una uzoefu wa kupakuliwa samadi! Kwa hiyo kuvimba kwako nyuma kumesababishwa na kupigwa mitarimbo kila siku?
 
Bangi ya Malawi ya wapi umevuta?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…