Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Nyongo lazima itemwe ili wote waliotumika waanikwe , walitumika wakidhani anayewatuma ataishi milele , litakuwa somo kwa wajinga wengine
 
Wanatumikia siasa chafu, huku wezi wamejiunganishia bomba la mafuta na hakuna lolote wamefanywa!
Sasa utawala wako huu wa sheria baada ya dhalimu wako kufariki kwanini usiwamabie wachukue hatua?
 
ujinga huanzia hapo kujifananisha na watu wa nje kama hamna cha kujivunia ndani...mwambie aoe na kupunguza lala na malaya itakuja mcost zaidi ya kuwekewa madawa 🙂
 
Maendeleo hayana chama jaman na mniombee ili hata nikichukuliwa na mungu aseme ww ulikua unafanya vzr sn duniani ili niwe hata kiongozi wa malaika
 
Wanaelewa hawa watoto basi?
Tayari anajiona kapata mtaji wa kisiasa...
Kumbe tayari Hali ya hewa ilishabadilika..
Jamaa katoka kwa sababu ya utawala uliokuwepo sio kama ule.

Asijione shujaa sana bali ni rehma za mola tu yeye kuwa nje,aambiwe kwamba huku nje mambo yamebadilika,mambo ya sasa yanaenda kistaarabu japokuwa kuna mapungufu.

Asianze tena matusi yake kuwatukana watu wanaoweza kumzaa alafu ni viongozi,akienda kwa mfumo huo hatofika mbali atapitea.

Watu wengine wanatiwa adabu sio kwa sababu ni upinzani,bi ni kwa sababu ya kauli zao za kipuuzi na zenye kukera kwa wengine.

Jamaa ajifunze kuwa ma kauli za kiungwana anapikuwa mpinzani.

Kuwa mpinzani peke yake ni hatari,sasa mtu anaongeza hatari nyingine ya kuongea maneno yasiyofaa ili viongozi iwaume.

Mwishowe ni kupotea mazima kwenye ulimwengu wa siasa
 
Eti hotuba kama ya Martin Luther king Jr. Mashuuuz jazz band. NYUMBU kibano kitawatafuna vilevile. Mmepewa likizo fupi na mama . Mwenyewe kasema mpeni time anyooshe uchumi kabla hajawageukia
Mm! Kumbe uchumi ulikunjwakunjwa na na Nani vile ......
 
Mbinu za Magufuli za kudhibiti wapinzani zilikuwa za kiboya sana
 
Hii ndiyo sababu ya uwepo wa Mungu. Yupo ilikuviinua vidhaifu na kuvishusha mpaka chini vijiinuavyo vyote.
 
Mababu zetu wangekuwa na akili km zako mpaka tungeendelea kutawaliwa na wakoloni.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mababu zetu wangekuwa na akili km zako mpaka tungeendelea kutawaliwa na wakoloni.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mkuu kumbuka hapa hatupigani na wakoloni,hapa ni sisi kwa sisi.

Kijana wa kitanzania lazima awe na adabu na hesima na kauli ambazo sio za kifedhuli kwa waliomzidi umri hata cheo pia sisemi mtu ambaye amekusanya hayo yote mawili
 
Lakini mimi hainihusu.

Nimeshauri tu bwana huyu awe muungwana na heshima.
unadhani kwanini kabla ya Magufuli mdude hakuwepo ? ukileta udikteta tutakupinga bila huruma , hatutanyamaza , ukiwa muungwana tutakuheshimu , hatutakubali kuburuzwa kamwe !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…