Jamaa katoka kwa sababu ya utawala uliokuwepo sio kama ule.
Asijione shujaa sana bali ni rehma za mola tu yeye kuwa nje,aambiwe kwamba huku nje mambo yamebadilika,mambo ya sasa yanaenda kistaarabu japokuwa kuna mapungufu.
Asianze tena matusi yake kuwatukana watu wanaoweza kumzaa alafu ni viongozi,akienda kwa mfumo huo hatofika mbali atapitea.
Watu wengine wanatiwa adabu sio kwa sababu ni upinzani,bi ni kwa sababu ya kauli zao za kipuuzi na zenye kukera kwa wengine.
Jamaa ajifunze kuwa ma kauli za kiungwana anapikuwa mpinzani.
Kuwa mpinzani peke yake ni hatari,sasa mtu anaongeza hatari nyingine ya kuongea maneno yasiyofaa ili viongozi iwaume.
Mwishowe ni kupotea mazima kwenye ulimwengu wa siasa