Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

Mlima Itezi maeneo ya Uyole Mbeya umeporomoka na kuleta madhara kwenye nyumba za watu.


Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • VID-20240414-WA0033.mp4
    5.1 MB
  • VID-20240414-WA0034.mp4
    5.1 MB
Daah Mungu awaepushe na dhahama zaidi.
 

Attachments

  • IMG-20240414-WA0009.jpg
    239.2 KB · Views: 2
  • IMG-20240414-WA0011.jpg
    200.9 KB · Views: 2
  • IMG-20240414-WA0012.jpg
    202.5 KB · Views: 2
  • IMG-20240414-WA0008.jpg
    205.2 KB · Views: 2
Maeneo mengi ya Mbeya huko Itezi sijui Isyesye kule milimani sio salama kabisa ni vile watu wanataka kujenga sehemu yeyote ila kwa kuangalia tu baadhi ya maeneo unayaona ni hatarishi kabisa..
 
Unashauri wananchi wapande milimani kupanda miti?

Maswali hayo waulize viongozi wa wananchi katika vitengo husika.
Kila kitu mpaka mfanye muwasubirie viongozi
Jukumu la kutunza mazingira ni la wakazi/wananchi wa maeneo hayo wenyewe

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…