Complex Analysis
JF-Expert Member
- May 9, 2020
- 219
- 417
mungu ndo anajua nani mjinga na nani anaakili...Mdude ni mjinga na mbumbumbu,!
Kwanza usimhisishe Mungu na ujinga wa mdude. Ngoja avune alichopanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekuwa wakimtafuta sasa wameona wamuweke heroin ili wampate,jamani haya mnayofanya yatakuja kuwarudia#HABARI Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine.
Source EATV
Makamanda kampiganieni, kamanda wenu.
Eti nabakia Africa.
Namba moja mwenyewe alisema yeye ni kichaa na hupenda kuteua vichaa kama yeye! Wewe mwenyewe ni kichaa....Kama hujui kuwa huyo ni kichaa hata Wewe ukikamatwa sitashangaa
Mikwala mbuzi ya kizamani hiyo. Potea!Umebaki wewe nasikia unatumia na kuuza unga!
Anapenda sifa huyu. Ila Coronavirus kiboko yake. Imemsepesha na kukimbilia Chato.Huyo mpishi ni chaguo la mungu wa ccm,huwa anapenda malaika wake wamsifie tu,awamu yake imefanya maendeleo makubwa kuliko awamu zote[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
punguza siasa basi kuwa mzalendo kijana mwenzangu.demokrasia sio kutukana serikali na viongozi wake.Nitashukuru ila it may be likewise siyo kila aliye selo ana hatia ni swala la kujianda tu rafikii yanguu!!utawala usio singazia demokrasia hauna rafiki!!mimi nitakuletea na magazeti ya kila siku pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe ushaona mtoto wa jiwe, Kasimu, Suluhu, job wapo humu kuitetea ccm? Mpo nyie masikini kupindukia mnaoitetea ccm wakati familia za viongozi wenu zinakula bata! Hatuwezi fanana wote.......tuvumiliane!Hapo ndo utaona ndugu wa kweli, sio hawa 'chakubanga' wa 'komaa kamanda usiogope'!!! Leo hii watakoumia ni wazazi wake. Mashabiki hoya hoya hawataonekana... Si mbowe, si lema .. mdude atanyea debe peke yake...
Acha kutetea matendo ya Ibilisi weweMdude ni mjinga na mbumbumbu,!
Kwanza usimhisishe Mungu na ujinga wa mdude. Ngoja avune alichopanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kubambika kesi ya uhujumu uchumi ndio amani ya roho ya ccm?punguza siasa basi kuwa mzalendo kijana mwenzangu.demokrasia sio kutukana serikali na viongozi wake.
kuna kwenda jela kwa kujitakia na kuna kwenda jela kwa kusingiziwa.ila huyu kijana kajitakia mwenyewe.
wanaojiita wakombozi wenyewe wanavurugana wanafukuzana kwenye chama chao kidikteta kiongozi wao anafuja pesa za chama.sasa ni wakombozi ama wahuni tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlaaniwe na mzidi kufa kwa Corona wote mnaoshirikiana na wanaobambikizia watu kesi!Amebambikiwa ndio sasa unasemaje?
Kwanza vipi mbona hapo sioni wale walikuwa wanalike matusi yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kesi ya uhujumu uchumiWatu hubambika kilo sio vigramm vya personal use hahaha mumeshapotea stepu Mdude anatoka asubuhi tu
Mpango wa Mwigulu umeshindwa
Apimwe na kupelekwa Rehab kama wanavyofanyiwa mateja wengine!kwahiyo unashauri afunguliwe mshitakaa ya aina ngani?
ukijifanya nunda unapewa kesi ya kinunda.Kwahiyo kubambika kesi ya uhujumu uchumi ndio amani ya roho ya ccm?