Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

#HABARI Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine.

Source EATV
Makamanda kampiganieni, kamanda wenu.

Eti nabakia Africa.
Wamekuwa wakimtafuta sasa wameona wamuweke heroin ili wampate,jamani haya mnayofanya yatakuja kuwarudia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gram 23.4 ndio uhujumu uchumi? wameona kesi ya uchochezi haina mashiko wameona wampe ya madawa ya kulevya!! Utter-Nonsense!!
 
Kama papai limekutwa na Corona hii ya Mdude mbona ni cha mtoto. Wasichoelewa hawa wakubwa ni kwamba watanzania wana akili kubwa kuliko wao.

Jeshi la Poli..... kama kawaida yao wao ni watu wa kufuata amri bila kufikiria wanalolitenda uwa wanakuja kufikiria baadae ndio maana sio rahisi mtu wa Div. one akasomea polisi...
 
Nitashukuru ila it may be likewise siyo kila aliye selo ana hatia ni swala la kujianda tu rafikii yanguu!!utawala usio singazia demokrasia hauna rafiki!!mimi nitakuletea na magazeti ya kila siku pia

Sent using Jamii Forums mobile app
punguza siasa basi kuwa mzalendo kijana mwenzangu.demokrasia sio kutukana serikali na viongozi wake.

kuna kwenda jela kwa kujitakia na kuna kwenda jela kwa kusingiziwa.ila huyu kijana kajitakia mwenyewe.

wanaojiita wakombozi wenyewe wanavurugana wanafukuzana kwenye chama chao kidikteta kiongozi wao anafuja pesa za chama.sasa ni wakombozi ama wahuni tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndo utaona ndugu wa kweli, sio hawa 'chakubanga' wa 'komaa kamanda usiogope'!!! Leo hii watakoumia ni wazazi wake. Mashabiki hoya hoya hawataonekana... Si mbowe, si lema .. mdude atanyea debe peke yake...
Na wewe ushaona mtoto wa jiwe, Kasimu, Suluhu, job wapo humu kuitetea ccm? Mpo nyie masikini kupindukia mnaoitetea ccm wakati familia za viongozi wenu zinakula bata! Hatuwezi fanana wote.......tuvumiliane!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
punguza siasa basi kuwa mzalendo kijana mwenzangu.demokrasia sio kutukana serikali na viongozi wake.
kuna kwenda jela kwa kujitakia na kuna kwenda jela kwa kusingiziwa.ila huyu kijana kajitakia mwenyewe.

wanaojiita wakombozi wenyewe wanavurugana wanafukuzana kwenye chama chao kidikteta kiongozi wao anafuja pesa za chama.sasa ni wakombozi ama wahuni tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kubambika kesi ya uhujumu uchumi ndio amani ya roho ya ccm?
 
Auwaye kwa upanga, naye atauwawa kwa upanga. Kwa kadiri ya uovu wa matendo yao nao ndivyo ambavyo watakuja kuhukumiwa kwa kipimo hicho hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote katika yote siasa ni ajira, kama wenzake chamani wamepata ukwasi kupitia siasa na yeye aliingia kwenye siasa akifikiri siasa ni kufanya aliyokua akiyafanya asijue Wenzie huwa wanaigiza wapige hela basi wazazi wake watapata tabu Sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa hizo zinaweza zikasababisha MTUHUMIWA KUHARIBIKIWA NA AKILI.
Sasa mbona hii kesi mbina wamemuwekea mwanya kuchomoka kwenye hii kesi? Sometimes Polisi wetu huwa na moyo wa utu ni vile hushinikizwa kufanya mambo, hivyo hulazimika kutimiza wajibu kwa kutumia Codes ambazo ni bahati mbaya watu huwa hawazielewi.

Kama hapa kesi ni kukutwa na madawa, maelezo ni mtuhumiwa kuyatumia na kupelekea kuharibikiwa na akili. Hatuoni ni wapi wamempima mtuhumiwa na kugundua anatumia hayo madawa. Tayari wanakwenda kuchapwa knock out.

Huwa simkubali kabisa huyo kijana, sijawahi ona mashike kwenye comments zake lakini this time around nguvu iliyotumika dhidi yake ndiyo inakwenda kumuimarisha.
 
Back
Top Bottom