Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Mbowe ni muharibifu. anawatumia sana vijana wa kitanzania kusafirisha madawa ya Kulevya. Wako wengi sana .....nao watakamatwa tu.
 
Yaani 2001 walipoenda kuuwa Zanzibar wananchi wa kule waliitwa wabaguzi, wakafika mbali zaidi wakaitwa wasaliti, sasaivi sumu imeenea mpaka Tz bara kwa matokeo ya ajabu mara kupotezwa watu mara utaskia kuwekwa ndani miaka kadhaa bila kesi nk sjui pia waliokua wakiwalaumu waznzibr mpaka hii leo wanawalaumu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gram 23.4 ?? Mbona in kodogo sana
 
Afike mbali mara ngapi tayari kashafikishwa kizimbani, na kwa mujibu wa hilo shtaka hakuna dhamana. Kwahivyo moja kwa moja mahabusu.

Kuna umbali zaidi ya huo mkuu.
 
Baada ya kumkosa kosa katika kadhia kibao wameamua wampe hili kosa .

Wengi tunafahamu kabambikiwa hili kosa kumpotezea muda huko Magereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…