Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Mbowe ni muharibifu. anawatumia sana vijana wa kitanzania kusafirisha madawa ya Kulevya. Wako wengi sana .....nao watakamatwa tu.
 
Yaani 2001 walipoenda kuuwa Zanzibar wananchi wa kule waliitwa wabaguzi, wakafika mbali zaidi wakaitwa wasaliti, sasaivi sumu imeenea mpaka Tz bara kwa matokeo ya ajabu mara kupotezwa watu mara utaskia kuwekwa ndani miaka kadhaa bila kesi nk sjui pia waliokua wakiwalaumu waznzibr mpaka hii leo wanawalaumu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine.

Gram 23.4 ?? Mbona in kodogo sana
 
Pole yake lakini kiuhalisia huyu jamaa Hana ustalabu .Huwezi kukosoa viongozi was ngazi za juu kwa matusi na kuwazalilisha.Uanaharakati ufanyiwe kwa kukosoa kwa hoja.Namfam vizuri huyu jamaa Hana maadili.Mhimu anatakiwa ajifunze ajenge hoja vizuri akifanya hivo kisiasa atafika mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Afike mbali mara ngapi tayari kashafikishwa kizimbani, na kwa mujibu wa hilo shtaka hakuna dhamana. Kwahivyo moja kwa moja mahabusu.

Kuna umbali zaidi ya huo mkuu.
 
Baada ya kumkosa kosa katika kadhia kibao wameamua wampe hili kosa .

Wengi tunafahamu kabambikiwa hili kosa kumpotezea muda huko Magereza.
 
Back
Top Bottom