Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Ya kuambiwa, changanya na yako.Haya yanayotokea leo wewe huwezi kuona athari zake. Ila jua kuwa visasi huwa vinatengenezwa kwa style hii. Wewe ni mtu mzima unaelewa ila unajitoa akili ili tu uonekane kada mtiifu.