Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Mimi na uhakika mungu atampa corona yule jamaa aliejificha kwao,ndio mana mama yake yuko kitandani muda mrefu ni mungu anampa kibano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Mungu anawaona na malipo ni hapa hapa duniani.

Odhis *
 
Uamsho wamebambikiziwa kesi ya ugaidi mpaka Leo hakuna ushahidi uliokamilika kisa walitaka Zanzibar yao iwe huru na kutaka ijiamulie mambo yao wenyewe kitaifa na kimataifa Leo washa mpa kesi ya uhujumu uchumi mdude tena kesi ya unga jamani kaeni mukijua kama kuna mungu pumzi isiwahadai hii ni dunia tuu yuko wapi mahige

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa namna alivyokoswakoswa,ilibidi asome alama za nyakati maana upepo ulionyesha tu yupo kwenye rada......nawashauri vijana kuangalia upepo wa siasa,siasa za sasa siyo zile za kumtusi Jakaya na akatabasamu tu na kuendelea na mishe zake......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…