Zambotti
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,973
- 3,643
Sema kashika remote, huku tunatazama vikatumi anavyotuwekea tuvichekiHalafu anayeratibu haya kajificha chimbo huko anachungulia tu dadeki zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kashika remote, huku tunatazama vikatumi anavyotuwekea tuvichekiHalafu anayeratibu haya kajificha chimbo huko anachungulia tu dadeki zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwache ashikishwe adabuHivi kosa la kutukana ni kubambikiwa heroin gramm 23 ndio sheria inavyosema?
Mimi na uhakika mungu atampa corona yule jamaa aliejificha kwao,ndio mana mama yake yuko kitandani muda mrefu ni mungu anampa kibanoSiku zote mnyonge hana haki, lakini naamini ipo siku wanaofanya hizo dhambi watakuja kujibu mbele za muumba wao.
Ukamuwekee mtoto wa watu heroin ili tu aonekane anafanya biashara ya dawa za kulevya.
AIBU KWAO wafanyao laana hizo kwa ajili ya mtu furani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaa kimya na uishi maisha yako kama utaguswa. Ila ukiishi kwa kutafuta wengine utaguswa tu. Ni kama corona ukiitaka sekunde tu unaipata.Ukikaa kimya utaguswa direct au indirect tu !!ni swala la muda tutaongea lugha moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Asa utakuwa pusha kwa gram 23.4 huo uzito sisimizi si anapita nao.
Swali langu ni sheria inasemaje?tuache ushabikiWala siyo tishio kiasi hicho, mtatunga mengi. Swala ni moja ngoja disciplinary system Imfundishe nidhamu!
Maisha gani ambayo siasa haitonigusa??ni swala la muda tu,shetani hana rafiki wakudumuKaa kimya na uishi maisha yako kama utaguswa. Ila ukiishi kwa kutafuta wengine utaguswa tu. Ni kama corona ukiitaka sekunde tu unaipata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una ushahidi Kama kabambikiwa? Au sababu ni kada wa chadema Basi hawezi kufanya kosa?Hivi kosa la kutukana ni kubambikiwa heroin gramm 23 ndio sheria inavyosema?
ukichaa wake ni kusema ukweli?
Ila Mungu anawaona na malipo ni hapa hapa duniani.Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine.
Kabisa mkuu.
Sasa nanyinyi mkishikishwa adabu si nchi haitakalika
Sasa nanyinyi mkishikishwa adabu si nchi haitakalika
Washauri wake ni hii mibavicha ya humu,
Akitukana rais inaanza kushangilia yeye anavimba kichwa, haya sasa hata muona hata mmoja.
Matoto mengine ni kutesa wazazi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ukisikia drugs dealer unajua Wana kamatwa na macontena pengine sio Pusher labda ana vuta mwenyeweAsa utakuwa pusha kwa gram 23.4 huo uzito sisimizi si anapita nao.