Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Ulimwengu utamfundisha.Huyo kijana anawazazi wanaomshauri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimwengu utamfundisha.Huyo kijana anawazazi wanaomshauri?
Hata hao wafadhili hawataki wavuta unga.Huu ni wakati muafaka wa wafadhili kukata misaada
Aya sawa njoo unikamate kwa kuuliza swali.
sio kosa lakini huyu hakuwa anafanya siasa zaidi ya kutukana viongozi na serikali.
Ulifikir zile likes na coment zako kwenye matusi yake zitamsaidia akikamatwa?Vipi Mandela aliyehukumiwa maisha lakini mwisho wa siku amekuwa shujaa wa dunia wakati Baba yako mzazi alikuwa anahangaika tu kitandani na Mama yako mwisho wa siku amekuzaa wewe nusu mtu nusu Mbwa
Ulimwengu utamfundisha.
sio kosa lakini huyu hakuwa anafanya siasa zaidi ya kutukana viongozi na serikali.
Mdude alitekwa na kupotea kwa muda kadhaa baada ya Wafadhili kupiga kelele sijui kama unakumbuka Mdude alipigwa vibaya sana na Task forcekwa sababu ya kukamatwa muuza unga?
Yapi zaidi ya dili zako kubanwa?Tulikuwa Ccm kabla yako tumehamia upinzani kwa tuliyoyaona dhidi ya nchi yetu
una uhakika kapakaziwa?Mngemfungulia kesi ya makosa aliyoyafanya. Mpeni kosa la kutukana, kukebehi, kukashufu etc.
Kwanini mnampakazia kesi isiyo Yake na ambayo haina dhamana?
Ndo hapo sasa wakati kamanda anasema nikosa kisheria kutumia madawa ya kulevyaSasa mteja anakuwaje ni mhujumu uchumi?si apelekwe detox na rehab
Not relevant.Hata Akwilina (R.I.P.) Ulimwengu ume mfundisha ..
Kwani kashtakiwa na Magufuli?Magufuli hivi wewe ni Mtumishi wa umma kweli? Je unatenda haki kweli?
Haki huinua taifa, Bali dhambi ni aibu ya watu wote
Nenda kwenye pages zake kosa lake madawa ya kulevya bavichaNaomba ushahidi wa mtu aliyemtukana mkuu nione.
UVCCM kosa lake ni lipi madawa ya kulevya au kutukana?
Magufuli anaingiaje hapo?Magufuli unazidi kujiwekea maadui shame on you man.
Endelea kudhani ukimya wako ni salama sana kwako!!ipo siku utakapoguswa hata kama ni indirect utakumbuka hii comments!! Utawala usiozingatia sheria wala utu hauna budi kukemewa..ukibaki kimya huna tofauti na waohuwezi pambana na dola na ukabaki salama.
hata mimi nikijitoa akili nikaanza kuitukana serikali na rais sitobaki salama.hii ni nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa zimeshawashinda mumebakia kuteka na kuuwa kubambika na kutumia Task force vibayaHata hao wafadhili hawataki wavuta unga.