Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Vipi Mandela aliyehukumiwa maisha lakini mwisho wa siku amekuwa shujaa wa dunia wakati Baba yako mzazi alikuwa anahangaika tu kitandani na Mama yako mwisho wa siku amekuzaa wewe nusu mtu nusu Mbwa
Ulifikir zile likes na coment zako kwenye matusi yake zitamsaidia akikamatwa?

Haya nenda sasa ukawe unalala nae gerezani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa sababu ya kukamatwa muuza unga?
Mdude alitekwa na kupotea kwa muda kadhaa baada ya Wafadhili kupiga kelele sijui kama unakumbuka Mdude alipigwa vibaya sana na Task force

Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa utagundua kuwa hii serikali ndio iko nyuma ya kuteka na kupoteza wananchi wasio na hatia

Na haya ya Mdude ndiyo yanajidhihirisha kabisa
 
huwezi pambana na dola na ukabaki salama.
hata mimi nikijitoa akili nikaanza kuitukana serikali na rais sitobaki salama.hii ni nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kudhani ukimya wako ni salama sana kwako!!ipo siku utakapoguswa hata kama ni indirect utakumbuka hii comments!! Utawala usiozingatia sheria wala utu hauna budi kukemewa..ukibaki kimya huna tofauti na wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom