Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

Yesu aturehemu jmn
Baba angu ,Mzee wetu kashasema tuko mwishoni....
Halafu Kuta za udhehebu zinaenda kuvunjika Kuna watu watabaki wanashangaa, wito watengeneze tu.....
 
Hajui BIBLIA huyo, Yesu aliuwawa na WAYAHUDI.

Adui wa karibu wa Mch Mbarikiwa ni watumishi wa uongo wale wanaokula sahani moja na Watawala kukandamiza HAKI za raia.

Hawa ndo hutumika kumaliza watumishi wa Kweli wakishirikiana na Watawala waovu.
Kwenye hili Huwa namkubali
Penye uzuri ana Sifia, penye ubaya anasema.
Hapendi haki ya mtu ikandamizwe
 
Una watoto? Ulishawahi kufiwa na mtoto Kati ya hao ulio nao? Kama bado nyamaza kimya!
Na alipompoteza mtoto wake ulimshaurije? Amwachie Mungu siyo?
Vaa viatu vyake kabla ya kumhukumu na sijui Kama uliwahi kusomea pastoral counseling na Kama uliosoma basi hujui matumizi yake!
 
Nahic ndugu husomi vizuri maandiko ukaelewa Bali Huwa unapitia kuangalia ,itabidi urudi tena kusoma ndio uje kukometi,si vizuri kuitukana au kuisema vibaya serikali Bali kuikosoa na kutoa maoni mbadala ndicho kinachotakuwa ili kuiponya na kutenda vema Kwa wananchi walioipa idhini serikali iwaongoze
 
Ingekuwa ni wew wamemuuwa mwanao ungekaa kimya? Vitu vingine ujaribu kuvaa viatu vya mwenzako. Acha unafki na kujipendekeza simamia haki
 
Kwenye hili Huwa namkubali
Penye uzuri ana Sifia, penye ubaya anasema.
Hapendi haki ya mtu ikandamizwe
Hao ndo watumishi watu wanatakiwa wawafuate,

Sio mtumishi unamwambia nimedhulumiwa HAKI yangu, Badala apaze sauti kukusaidia upate HAKI,

Anaogopa, na anakushauri usamehe!!

Mbarikiwa BUSARA hiyo Hana.
 
Kesi imekufa kabla ya kuanza
 
Nakupa mfano mmoja tuu kwenye bible kitabu Cha Daniel,serikali kipindi hicho ya babel ilitoa amri ya kuiabudu sanamu ya mfalme but wao wakaipinga amri na kusema tutamwabudu Mungu Muumba mbingu na nchi but sio mwanadamu ,na baada ya kugomea amri ilitoka wachomwe kwenye tanuri la moto,but Mungu waliyemwamini aliwasaidia na kamri ya mfalme ikashindwa na ikatangazwa Mungu wa kina meshaki, SHEDRACK na abelnego ndio anayesitahiri kuabudiwa,na mfano mwingine ni Kwa Mtumishi Eliya kipindi Cha malkia yezebeli
 
POLISI WAMEAMUA KUSIKILIZA MUZIKI TU
 

Wewe ni mchumia tumbo endelea kupalilia tumbo acha mtumishi akemee
 
wewe ni m&enge, TAG mnakuwa wasΒ£nge kweli
 
mungu tumbo V/S Mungu Wa miungu.

Wazungu walipotaka kuliketa kanisa dhaifu wali Afrika waliondoa baadhi ya vitabu kwenye biblia.

Watawala Wote Duniani wanakaa madarakani Kwa sababu mbili.
Kuleta haki au kujenga dhulma Ili ukuu Wa MUNGU uonekana Kwa manabii Wa kweli kusimama na Kupinga dhulma.

Hakika kabisa likilala kwa dhuma iliyojijenga Tanzania na kuwa mfumo Wa maisha nchi Hii itaoigwa pigo baya sana.
Watu wanajifanganya kuwa MUNGU ni laini laini sana.
Hamuujui hasira ya MUNGU nyie wachumia tumbo.
Rwanda waliuana watu ya zaidΓ­ ya mil moja na Sasa nchi imenyooka na MUNGU anaibariki Kwa sababu kusudio lake ni watu kuwajali maskini na yatima na wanyonge sio Matajiri. Matajiri Hata kama hakuna Dola wanafanya biashara Zao. Matajiri walikuwapo Enzi na Enzi wengine Wa halali na Wengine Wa kupora na kuua . Maskini wapo Ili MUNGU atukuzwe Kwa kuwajali na wao kufurahia rasilimali alizoziumba na SIO kuwa laana na kilio kwao kama ilivyo Tanzania na nchi za Afrika.
Ni miungu ya hovyo inayofurahiya kuona watu wake wanauzwa na ardhi Yao inapewa Wageni Katika Wakati huu ambao Dunia imekombolewa Kwa Damu ya Yesu.
Waarabu na Wazungu wanamakaratasi Mengi sana yanayoitwa pesa wanayoyatumia kupora ardhi na rasilimali za Waafrika.
Fuatilia kwenye mitandao utaona jinsi Hao watu walivyo na Mapesa Mengi sana sana na wanayatumia Kununua watawala Wa Nchi maskini Ili wakamate Ardhi Yote yenye rasilimali.

Je, kabisa na watumishi Wa MUNGU wakae kimya Kwa sababu Wanakubaliana na Matajiri na watawala wanaokwapua Fedha za umma na kuficha majumbani mwao?

Hawa watawala wanatafuta namna ya kupata watu Wa kuwapa Fedha za uchaguzi 2024 na 2025. Wanazipata Kwa namna yoyote. Wameua mashirika ya umma Kwa chaguzi zao. Wanaua bandari Kwa kupora pesa Kwa ajili ya uchaguzi, wanakaa madarakani Kwa rushwa . Ni mungu Gani anayewaweka madarakani Wala rushwa Wakati Biblia inatuonyesha kuwa kuna Nabii alikataa Watoto wake wasiwe waamuzi Kwa sababu ya Rushwa ?
Huyo muNGU wenu ni mungu Baali. mungu wenu mnayemuomba awalinde Wala wanaohujumu Mali za umma ni mungu Wa faraoh, Shetani Naye ametajwa kama mungu. Tena ametajwa na Yesu Kristo Γ‘mbaye tunaamini kuwa ni Mwana Wa MUNGU. Lakini alijua ukuu Wa Shetani juu ya watawala Wa Dunia na Mali ZAKE . Shetani alimwambia Yesu amsujudie Ili maisha ya Yesu yasiwe hatarini ,amiliki vitu vyote Vya Dunia. Magufuli alipoteza maisha yake baada ya kukataa ushetani Wa watawala Wa Dunia kutengeneza mikataba mibovu inayoangamiza maisha ya maskini na kuwafanya wawe ni watumwa kwenye Rasilimali zao.
Wachungaji wameingizwa kwenye mtego Wa Wanasiasa Kwa sababu ya Umaskini wao.
Miaka ya 1980 Wakati upentekosti Moses Kolola alipigwa sana na vyombo Vya Dola Kwa kuitwa mchochezi leo walokole WASIOJUA historia wanadhani kuwa ulokole umekuja Kama ule Wa kina Masanja Kwa usanii. Watu walipigwa sana na Wengine kuwa vilema. Wakati huo Hata Sadaka za waumini hazikua zinaweza Kununua baskeli.

Naamini KAZI ya watu Wa Kiroho ni kuombea haki Katika taifa. Kuombea taifa lisipatwe na magonjwa na majanga ya asili Wala ya kibinadamu. Kuombea watawala wahejishushe na kuwa wanyenyekevu Kwa MUNGU Ili wasije wakatwa utukufu Wa MUNGU.
Hawa watu wanalipwa mishahara mikubwa sana na wanaishi maisha ya kifahari sana Kwa migongo ya maskini lakini wanadharau sana, wanajiona wao hawastahili kuhojiwa Wala kukosolewa . SaΓ‘ nyingine wakiingia makanisani au misikitini wanataka mahubiri na mawaidha yasitaje vifungu vinavyokinzana na matendo Yao. Mfano wanapofanya upendeleo au Wanapoiba kura kamwe hawataki mahubiri ya Kupinga Rushwa na Wizi Wa kura . Ukihubiri Kupinga Rushwa wanataka kabisa lifungwe na watatengeneza uadui Mkubwa na chokchoko nyingi .

Wanaamnini ufalme Wa MUNGU hauwahusu Maana wamekeweshwa kupata thawabu Yao.

mungu anayetumaini Fedha badala ya Haki ni mungu tumbo aliyetabiriwa nyakati za mwisho.

Kama wewe ni Kiongozi Wa Dini katafute biblia ile ya awali usome kitabu cha Esta chenye ule waraka Wa kuwaua wanaisraeli ,Utakua hila za watawala hazijaanza leo.
Kwa ujanja na hila nyingi nchi za magharibi walifanya njama wakautoa ule waraka kwenye kitabu cha Esta Wakati wanaunda madhahebu mengine. Kweye biblia ya kwanza wanayoitumia Wakatoliki ule waraka Upo na umeeleza njama kubwa zinazotengemezwa na machawa Wa watawala kutaka kuwadhuru wale wanaowakosoa.

Maraniatha!!
 
kwahiyo siku hizi hamkemei dhambi hadharani mnaenda kuwaeleza na kuwakemea chumbani??? huu kama si usΒ£nge ni nini?? toka mmempa yule kambale wa chato tuzo niliwadharau mpaka leo, hamna kanisa hapo kuna wala sadaka tuu humo. TAG ni useless church
 
Ilikua zamani kabla ya Kristo kwenda mbinguni na kukaa mkono Wa kuume Wa MUNGU baba na Sasa adui ZAKE Wote wapo Chini ya miguu yake .

Ukristo umejengwa kwenye misingi ya damu ya watakatifu na hakuna mlango Wa kuzimu utakaoushunda . Mpaka Kristo anarejea.
Wazungu na Hata Wamarekani wamejenga Mataifa Yao Kwa misingi ya kumwamini Kristo . Sasa wameanza kupotoka wameanza kupoteza Nguvu zao na ushawishi wao Duniani. Ukristo Sasa unakimbilia China ,Korea ,India n.k.
Waislam wanajua ndio Maana kwao Nabii Issah ni Wa daraja la juu sana.
Walielekezwa kusimamia haki. Nenda Zanzibar Utajua kuwa kule hakuna MTU anayeogopwa zaidΓ­ ya mwanyezi Mungu peke yake . Kwa waislam Wote ni sawa mbele za MUNGU na akikosea atakosa heshima . Wanaojifanya kutetea Uovu ni machawa lakini uislam haukubaliani kamwe na dhulma . Wakati Mwingine wanaotumia mpaka Nguvu kuondoa dhulma ndio Maana nchi za kiislam Zina maendeleo endelevu na wataitawala Dunia Nzima kiuchumi sio muda mrefu Katika misingi ya Dini.

Nabii Muhammad alishinda Dola Zote za kipumbavu na kishetani.Halikadhalika Mussa. Daudi, Suleimani n.k. SIO tu walizikosoa Dola lakini walizotoa madarakani na kusimila utawala Wa kimungu.
Warumi waligundua kuwa Baada ya ukombozi hakuna Tena Dola itakayoshindana na Ukristo ikaushinda ,akaamua kubadili Dini na Kujiunga na Ukristo na kujificha Nyuma ya Ukristo Ili atawale kirahisi.
Dhana ya kusema hakuna Nabii aliyeishinda Dola ni kujidanganya mana Kristo mission yake Ilikua kwenza kuwakomboa watu Katika minyororo ya watawala Wa Dunia waliokuwa wamewekwa na Shetani Tangu Γ‘nguko la Adamu .
Yesu akikamata Nguvu za Shetani na kumdhibiti Katika ulimwengu Wa Kiroho Ili watawala wasiwatawale watu na kuwafanya watumwa Katika misingi ya kishetani. Na wanapotokea wakwa ni mawakala Wa Shetani basi wanakutana na Nguvu ya wacha Mungu Wa kweli matokeo yake wanateka Fikra zao Ili zimtii Mfalme Wa wafalme.
Angalia walivyochanganyikiwa .
Hapo Bado hatujaanza maombi ya novena na Kufunga Siku 21 kuwasambaratisha mawakala Wa Shetani kwenye uumbaji Wa MUNGU.
Kila MTU ni Lazima ajue kuwa yupo MUNGU Muumbaji anayepaswa kuabudiwa na kuheshimiwa kabla ya vyote .
Propaganda nyingine tuachane nazo.

Maraniatha
 
Mt
Mtu wa Mungu katika watu mlioaibisha kwenye ishu ya bandari ni ninyi CPCT. Huyo Askofu wenu aibu tupu; aliongea nini? Ndio maana Warumi wanawadharau. Askofu wenu anajiita PhD nahisi ya mchongo
 
Mbona unajichanganya ?
Unasema Mbarikiwa Hana influence yoyote . Halafu eti ataleta maafa.,[emoji1787]
 
ndio hawa hawa wachungaji wenye matumbo makubwa kama wanakulaga watu. kanisa linaloacha kukemea maovu na dhambi hilo sio kanisa ni genge la kukusanyia sadaka. very hopeless church
 
Hizo ni hadithi za kutungwa
Leta vifungu vya sheria ya nchi ashinde kesi
,Unakumbuka Katiba iliitwaje vile !!
Sasa hizo Sheria ni Zipi Kama ile Sheria mama inaitwa vile?

Hizo Sheria nyingine si nazo ni utashi tu na maelekezo??
Kumbuka alichasema Bilionea Rostam kuhusu maelekezo mahakamani.

Kule Kuzimu kuna watawala wanaoongoza wakiwa na Funza . Kule Gabon nako Kuna watawala wanoongoza wakiwa na chawa . Muda Wote nafikiri wanajikuna mana chawa ni Kero sana .[emoji1787][emoji1787]

Maraniatha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…