Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu aturehemu jmnNafikiri mtu akikuuliza kuhusu mtumishi Mwksg unamfahamu nje ndani.
Hivyo niamini nisemacho. I know these men mamaa.
Karibu 98% ya maisha yangu kuanzia utotoni nimekuwa mtu wao wa karibu sana nchi hii.
Unabichokoza nifunguke🤣🤣🤣🤣
Itishe tu kusema wachungaji wa kipentecoste wengi ni tatizo kubwa sana but Uktisto na wokovu ni halisi.
Kwenye hili Huwa namkubaliHajui BIBLIA huyo, Yesu aliuwawa na WAYAHUDI.
Adui wa karibu wa Mch Mbarikiwa ni watumishi wa uongo wale wanaokula sahani moja na Watawala kukandamiza HAKI za raia.
Hawa ndo hutumika kumaliza watumishi wa Kweli wakishirikiana na Watawala waovu.
Una watoto? Ulishawahi kufiwa na mtoto Kati ya hao ulio nao? Kama bado nyamaza kimya!Acha nawe kupotosha. Kuna sehemu Eliya alimtukana Ahabu? Kuna sehemu Eliya alimshutumu Ahabu? Mnampotosha na yule kuanguka hashauriwi namfahamu nawafahamu wale vija wake na mkewe na wala sijihesabii haki na mwache kumpampu ujinga. Kuna sehemu Eliya alimshinda ahabu? Akina Petro, Yakobo na Paulo waliuliwa na Dola. Yesu aliuliwa na Dola. Hakuna mtumishi wa Mungu aliyewahi ishinde dola narudia na afanyavyo ni watu wasio na akili pekee ndio wanamuunga mkono. Akina Eliya walienda kuonya na sio kutukana. Wacha maneno yako haya.
Kama CPCT tulishatuma mtu kumuonya, kumshauri na kumueleza aache haya. Anajibu hovyo na kiburi. Kiburi kile sio cha Kimungu hata usemaji na sasa mnajifichia kuhukumu nankujihesabia haki. Kwake namhukumu na najihesabia haki. Mi nakaa na kutumika Mbeya, tumemuita na kuongea, hasikii wala haambiliki yule.
Nahic ndugu husomi vizuri maandiko ukaelewa Bali Huwa unapitia kuangalia ,itabidi urudi tena kusoma ndio uje kukometi,si vizuri kuitukana au kuisema vibaya serikali Bali kuikosoa na kutoa maoni mbadala ndicho kinachotakuwa ili kuiponya na kutenda vema Kwa wananchi walioipa idhini serikali iwaongozeHao ni vijana wa Mbarikiwa Mwakipesile na huwa tunamshauri sana aache kushindana na dola na kama anainba kuisema serikali aimbe na kusema yeye kama yeye na asihusishe kanisa na Ukristo kwenye mambo yake. Yule ana shida kidogo kwa. Suala lake binafsi liniiuma sana kwani nilikuwa nampenda na kupenda zile tenzi wanazoimba.
Sasa amejiingiza kushambulia serikali bila sababu akisema wamemuulia mwanaye tena Mkurugenzi wa usalama wa Taifa ndio kafanya hivyo. Jamaa hashauriki, vijana wake hao waliokamatwa hawashauriki wao wanatokana na kujiona wajuaji kama genta alivyo. Kiburi, kutojinyenyekesha, ujuaji mara nyingi huenda kwenye anguko.
Sasa kumezuka wimbi kubwa la watumishi wanaosimama na kuoneshana umwamba na serikali. Hakuna duniani mtumishi wa Mungu aliwahi ishinde dola nasi wajibu wetu ni kushauri na kuiombea mamlaka na siyo kushindana nayo.
Mimi ni kiongozi wa Kanisa na ni miongoni mwa wajumbe CPCT Taifa, kama wapentecoste tulishauri na kutoa maoni yetu kwa Mamlaka kuhusu Bandari kwani nasi tunaaminiwa na watu hatuwezi mshutumu mfalme mbele za watu.
Tulikumbushia kwa Spika wakati wa mkutano wetu mkuu pale CBC Miuji Dodoma kuhusu maoni yetu na msimamo wetu ki sio kushindana wala kupinga hadharani.
Ingekuwa ni wew wamemuuwa mwanao ungekaa kimya? Vitu vingine ujaribu kuvaa viatu vya mwenzako. Acha unafki na kujipendekeza simamia hakiHao ni vijana wa Mbarikiwa Mwakipesile na huwa tunamshauri sana aache kushindana na dola na kama anainba kuisema serikali aimbe na kusema yeye kama yeye na asihusishe kanisa na Ukristo kwenye mambo yake. Yule ana shida kidogo kwa. Suala lake binafsi liniiuma sana kwani nilikuwa nampenda na kupenda zile tenzi wanazoimba.
Sasa amejiingiza kushambulia serikali bila sababu akisema wamemuulia mwanaye tena Mkurugenzi wa usalama wa Taifa ndio kafanya hivyo. Jamaa hashauriki, vijana wake hao waliokamatwa hawashauriki wao wanatokana na kujiona wajuaji kama genta alivyo. Kiburi, kutojinyenyekesha, ujuaji mara nyingi huenda kwenye anguko.
Sasa kumezuka wimbi kubwa la watumishi wanaosimama na kuoneshana umwamba na serikali. Hakuna duniani mtumishi wa Mungu aliwahi ishinde dola nasi wajibu wetu ni kushauri na kuiombea mamlaka na siyo kushindana nayo.
Mimi ni kiongozi wa Kanisa na ni miongoni mwa wajumbe CPCT Taifa, kama wapentecoste tulishauri na kutoa maoni yetu kwa Mamlaka kuhusu Bandari kwani nasi tunaaminiwa na watu hatuwezi mshutumu mfalme mbele za watu.
Tulikumbushia kwa Spika wakati wa mkutano wetu mkuu pale CBC Miuji Dodoma kuhusu maoni yetu na msimamo wetu ki sio kushindana wala kupinga hadharani.
Hao ndo watumishi watu wanatakiwa wawafuate,Kwenye hili Huwa namkubali
Penye uzuri ana Sifia, penye ubaya anasema.
Hapendi haki ya mtu ikandamizwe
Kesi imekufa kabla ya kuanzaJeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mwimbaji wa nyimbo za injili SIFA BONIVENTURE BUJUNE [25] Mkazi wa Isyesye Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi na kuurusha kwenye mitandao ya kijamii.
Kamanda wa Polisi Mbeya, Benjami Kuzaga amesema Mtuhumiwa alikamatwa Septemba 13, 2023 huko Isyesye Jijini Mbeya baada ya kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi dhidi ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuusambaza kupitia mitandao ya kijamii pamoja na mtandao wa kurusha maudhui wa Youtube.
Mtuhumiwa anaendelea kuhojiwa kwa hatua zaidi za kisheria.
Nakupa mfano mmoja tuu kwenye bible kitabu Cha Daniel,serikali kipindi hicho ya babel ilitoa amri ya kuiabudu sanamu ya mfalme but wao wakaipinga amri na kusema tutamwabudu Mungu Muumba mbingu na nchi but sio mwanadamu ,na baada ya kugomea amri ilitoka wachomwe kwenye tanuri la moto,but Mungu waliyemwamini aliwasaidia na kamri ya mfalme ikashindwa na ikatangazwa Mungu wa kina meshaki, SHEDRACK na abelnego ndio anayesitahiri kuabudiwa,na mfano mwingine ni Kwa Mtumishi Eliya kipindi Cha malkia yezebeliNahic ndugu husomi vizuri maandiko ukaelewa Bali Huwa unapitia kuangalia ,itabidi urudi tena kusoma ndio uje kukometi,si vizuri kuitukana au kuisema vibaya serikali Bali kuikosoa na kutoa maoni mbadala ndicho kinachotakuwa ili kuiponya na kutenda vema Kwa wananchi walioipa idhini serikali iwaongoze
POLISI WAMEAMUA KUSIKILIZA MUZIKI TUJeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mwimbaji wa nyimbo za injili SIFA BONIVENTURE BUJUNE [25] Mkazi wa Isyesye Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi na kuurusha kwenye mitandao ya kijamii.
Kamanda wa Polisi Mbeya, Benjami Kuzaga amesema Mtuhumiwa alikamatwa Septemba 13, 2023 huko Isyesye Jijini Mbeya baada ya kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi dhidi ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuusambaza kupitia mitandao ya kijamii pamoja na mtandao wa kurusha maudhui wa Youtube.
Mtuhumiwa anaendelea kuhojiwa kwa hatua zaidi za kisheria.
Acha nawe kupotosha. Kuna sehemu Eliya alimtukana Ahabu? Kuna sehemu Eliya alimshutumu Ahabu? Mnampotosha na yule kuanguka hashauriwi namfahamu nawafahamu wale vija wake na mkewe na wala sijihesabii haki na mwache kumpampu ujinga. Kuna sehemu Eliya alimshinda ahabu? Akina Petro, Yakobo na Paulo waliuliwa na Dola. Yesu aliuliwa na Dola. Hakuna mtumishi wa Mungu aliyewahi ishinde dola narudia na afanyavyo ni watu wasio na akili pekee ndio wanamuunga mkono. Akina Eliya walienda kuonya na sio kutukana. Wacha maneno yako haya.
Kama CPCT tulishatuma mtu kumuonya, kumshauri na kumueleza aache haya. Anajibu hovyo na kiburi. Kiburi kile sio cha Kimungu hata usemaji na sasa mnajifichia kuhukumu nankujihesabia haki. Kwake namhukumu na najihesabia haki. Mi nakaa na kutumika Mbeya, tumemuita na kuongea, hasikii wala haambiliki yule.
wewe ni m&enge, TAG mnakuwa was£nge kweliHao ni vijana wa Mbarikiwa Mwakipesile na huwa tunamshauri sana aache kushindana na dola na kama anainba kuisema serikali aimbe na kusema yeye kama yeye na asihusishe kanisa na Ukristo kwenye mambo yake. Yule ana shida kidogo kwa. Suala lake binafsi liniiuma sana kwani nilikuwa nampenda na kupenda zile tenzi wanazoimba.
Sasa amejiingiza kushambulia serikali bila sababu akisema wamemuulia mwanaye tena Mkurugenzi wa usalama wa Taifa ndio kafanya hivyo. Jamaa hashauriki, vijana wake hao waliokamatwa hawashauriki wao wanatokana na kujiona wajuaji kama genta alivyo. Kiburi, kutojinyenyekesha, ujuaji mara nyingi huenda kwenye anguko.
Sasa kumezuka wimbi kubwa la watumishi wanaosimama na kuoneshana umwamba na serikali. Hakuna duniani mtumishi wa Mungu aliwahi ishinde dola nasi wajibu wetu ni kushauri na kuiombea mamlaka na siyo kushindana nayo.
Mimi ni kiongozi wa Kanisa na ni miongoni mwa wajumbe CPCT Taifa, kama wapentecoste tulishauri na kutoa maoni yetu kwa Mamlaka kuhusu Bandari kwani nasi tunaaminiwa na watu hatuwezi mshutumu mfalme mbele za watu.
Tulikumbushia kwa Spika wakati wa mkutano wetu mkuu pale CBC Miuji Dodoma kuhusu maoni yetu na msimamo wetu ki sio kushindana wala kupinga hadharani.
mungu tumbo V/S Mungu Wa miungu.Hao ni vijana wa Mbarikiwa Mwakipesile na huwa tunamshauri sana aache kushindana na dola na kama anainba kuisema serikali aimbe na kusema yeye kama yeye na asihusishe kanisa na Ukristo kwenye mambo yake. Yule ana shida kidogo kwa. Suala lake binafsi liniiuma sana kwani nilikuwa nampenda na kupenda zile tenzi wanazoimba.
Sasa amejiingiza kushambulia serikali bila sababu akisema wamemuulia mwanaye tena Mkurugenzi wa usalama wa Taifa ndio kafanya hivyo. Jamaa hashauriki, vijana wake hao waliokamatwa hawashauriki wao wanatokana na kujiona wajuaji kama genta alivyo. Kiburi, kutojinyenyekesha, ujuaji mara nyingi huenda kwenye anguko.
Sasa kumezuka wimbi kubwa la watumishi wanaosimama na kuoneshana umwamba na serikali. Hakuna duniani mtumishi wa Mungu aliwahi ishinde dola nasi wajibu wetu ni kushauri na kuiombea mamlaka na siyo kushindana nayo.
Mimi ni kiongozi wa Kanisa na ni miongoni mwa wajumbe CPCT Taifa, kama wapentecoste tulishauri na kutoa maoni yetu kwa Mamlaka kuhusu Bandari kwani nasi tunaaminiwa na watu hatuwezi mshutumu mfalme mbele za watu.
Tulikumbushia kwa Spika wakati wa mkutano wetu mkuu pale CBC Miuji Dodoma kuhusu maoni yetu na msimamo wetu ki sio kushindana wala kupinga hadharani.
kwahiyo siku hizi hamkemei dhambi hadharani mnaenda kuwaeleza na kuwakemea chumbani??? huu kama si us£nge ni nini?? toka mmempa yule kambale wa chato tuzo niliwadharau mpaka leo, hamna kanisa hapo kuna wala sadaka tuu humo. TAG ni useless churchNawe u mbabaishaji na hakuna kitu cha Kiroho ujuacho. Hivi haonakina Yohana walienda kumsema na kumkemea huyo Mfalme Hadharani? Je Mungu gani asiye na utaratibu wa namna hiyo? Nathari alienda kwa Daudi, Samweli alienda kwa Sauli, Eliya alienda kwa Ahabu. Sasa leo mtu anasimama mtandaoni na kuanza shutuma tena kwa kashfa na kujigamba binafsi kushindana na dola. Jana niliona video moja ya Askofu mmoja anajiita mwana mapinduzi. Ile sio kukemea ni kujigamba na kutishia dola. Lina Yohana alisimama na "kusema simuogopi Herode, wala Pilato wala Majeshi yote ya Kirumi. Hayanifanyi kitu na hayanibabaishi kitu" hahaaa bro bwana. You are very low upstairs na masuala ya Kiroho huna ujuacho. Naonaga kule kwenye uzi wa yoga unavyoongea. Bado sana wewe.
Ilikua zamani kabla ya Kristo kwenda mbinguni na kukaa mkono Wa kuume Wa MUNGU baba na Sasa adui ZAKE Wote wapo Chini ya miguu yake .Acha nawe kupotosha. Kuna sehemu Eliya alimtukana Ahabu? Kuna sehemu Eliya alimshutumu Ahabu? Mnampotosha na yule kuanguka hashauriwi namfahamu nawafahamu wale vija wake na mkewe na wala sijihesabii haki na mwache kumpampu ujinga. Kuna sehemu Eliya alimshinda ahabu? Akina Petro, Yakobo na Paulo waliuliwa na Dola. Yesu aliuliwa na Dola. Hakuna mtumishi wa Mungu aliyewahi ishinde dola narudia na afanyavyo ni watu wasio na akili pekee ndio wanamuunga mkono. Akina Eliya walienda kuonya na sio kutukana. Wacha maneno yako haya.
Kama CPCT tulishatuma mtu kumuonya, kumshauri na kumueleza aache haya. Anajibu hovyo na kiburi. Kiburi kile sio cha Kimungu hata usemaji na sasa mnajifichia kuhukumu nankujihesabia haki. Kwake namhukumu na najihesabia haki. Mi nakaa na kutumika Mbeya, tumemuita na kuongea, hasikii wala haambiliki yule.
Mtu wa Mungu katika watu mlioaibisha kwenye ishu ya bandari ni ninyi CPCT. Huyo Askofu wenu aibu tupu; aliongea nini? Ndio maana Warumi wanawadharau. Askofu wenu anajiita PhD nahisi ya mchongoAcha nawe kupotosha. Kuna sehemu Eliya alimtukana Ahabu? Kuna sehemu Eliya alimshutumu Ahabu? Mnampotosha na yule kuanguka hashauriwi namfahamu nawafahamu wale vija wake na mkewe na wala sijihesabii haki na mwache kumpampu ujinga. Kuna sehemu Eliya alimshinda ahabu? Akina Petro, Yakobo na Paulo waliuliwa na Dola. Yesu aliuliwa na Dola. Hakuna mtumishi wa Mungu aliyewahi ishinde dola narudia na afanyavyo ni watu wasio na akili pekee ndio wanamuunga mkono. Akina Eliya walienda kuonya na sio kutukana. Wacha maneno yako haya.
Kama CPCT tulishatuma mtu kumuonya, kumshauri na kumueleza aache haya. Anajibu hovyo na kiburi. Kiburi kile sio cha Kimungu hata usemaji na sasa mnajifichia kuhukumu nankujihesabia haki. Kwake namhukumu na najihesabia haki. Mi nakaa na kutumika Mbeya, tumemuita na kuongea, hasikii wala haambiliki yule.
Mbona unajichanganya ?Ndio mnajifichia huko siku hizi mkimbiaji ukweli. Eti leo mkuu wa usalama wa Taifa ameua mtoto wa Mbarikiwa. Yaani aue mtoto kwa kosa gani? Mbarikiwa ana tishia nini kwenye usalama wa nchi? Mbarikiwa ana influence gani nchini? Mbarikiwa ana watu wangapi wanaosikiliza? Wale kikosi kazi hata 50 hawafikii.
Mtoto kafa tokana na ajali ya Gari wakati wanaenda kuhubiri kule kanda ya ziwa. Baada ya kupata ajali, baada wampeleke hospitali au wamrudishe Mbeya, wamelazimisha naye amelazimisha kwenda kwenye mkutano eti ni shujaa anataka afe pamoja na Baba yake. Mtoto akawa na maumivu ya ndani kwa ndani ndio kilimuua. Sasa hapo mkuu wa usalama wa Taifa kahusikaje?
Tunafahamu utumishi wa Kimungu umejengwa katika unyenyekevu. Ukitaka kujua fuatilia watoto wake akina Onesmo Mwakajila hata yule Ulimwengu aliamua kujitoa kikosi na alivyoshambuliwa. Mwulize Kuhani Lawi alivyomshauri alichokutana nacho toka kwa hao watoto wake. He is psychiatric, wampime akili na wamcontrol haraka ataleta maafa kama ya Shakahola.
ndio hawa hawa wachungaji wenye matumbo makubwa kama wanakulaga watu. kanisa linaloacha kukemea maovu na dhambi hilo sio kanisa ni genge la kukusanyia sadaka. very hopeless churchKauli ya huyu mchungaji inashabihiana na Askofu Barnabas Mtokambali, aliitoa Dodoma mbele ya Magufuli kuwa yeye habweki hadharani bali huomba kuonana na mkuu wa nchi, wakati huo akimtunukia tuzo ya corona[emoji23][emoji23][emoji23].
Wapentecoste wachungaji wanafiki sana.
Elia alimuonya na kumkemea Ahabu kwa uovu wake lkn wao wanajiona wana hekima saana kutokemea uovu
,Unakumbuka Katiba iliitwaje vile !!Hizo ni hadithi za kutungwa
Leta vifungu vya sheria ya nchi ashinde kesi