Mbeya: Mwekezaji ajinyonga baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na Maliasili, RC Chalamila acharuka asihusishwe

mapumbafu yanafurahi,kukuza ndama mpaka kuwa ngombe ni gharama sana,Leo wanajiua kesho watafanyaje
 
Kwa hiyo alitakiwa kuvunja sheria ili akauze hizo ng'ombe zake?

Sidhani kama kuna nchi hapa duniani kila mtu anaishi atakavyo.

Huyo ana mapungufu ya akiri, sasa kafa na migugo badi ahjui kama atapigwa faini au atasiziwa,
Si angesubili kwanza aone mwisho wa hiyo picha.
 
Hii awamu sio ya kispot spot.watu wamevurugwa[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Lazima ujue kuwa uhai wako una thamani kuliko wa wengine wote, hasa wale wanaokuletea matatizo.
Hivyo basi, mawazo chanya ni kuwaua wanaokusumbua kuliko kujiua mwenyewe (vyote ni uhalifu).
Hata hivyo, kuua mwingine au kujiua ni kosa la jinai na ni dhambi pia, ni muhimu kuiepuka na kutumia njia za kiungwana kupata muafaka.
 
Wafugaji wameshaonywa sana, semina kila siku na kubembelezana wasipeleke mifugo mbugani.

Mkutano wao wa mwisho kati ya wafugaji, TANAPA na mkuu wa mkoa waliambiwa wazi lile ndio onyo la mwisho asietaka kusikia na kuingiza n’gombe Ruaha National Park asilaumu wakitaifishwa na wakirusha mikuki zitarudi risasi.

Kuna watu wao awataki kuelewa somo kisa kuendekeza mila za kurandaranda maporini.
 
Twende taratibu kama huyo mwenye mifugo alikiuka taratibu mifugo ikakamatwa shida iko wapi. Tufwate sheria.
Niliwahi kubishana sana na watu mahali kuhusu wafanyabiashara wanaopanga biashara zao karibu na barabara, nikasema haitakiwi kisheria. Watu walitoa povu sana. Tuheshimu sheria na tuzigwate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…