Kichwa kimejaa mkangafu toka kikiwa tumboni!Huyu si ndiye alimtwanga mtu risasi ya kichwa halafu akajipongeza kwa kunywa beer mbili? Watu wenye vichwa dizaini ya huyo jamaa ni wa kukalia mbali sana.
CCM inahusikaje hapo?CCM mnaua watu; mmewajaza watu hofu kiasi cha kuona ni afadhali kuutoa uhai kuliko kuikabili Serikali yao popote na wakapata haki hata mahakamani. Hili ni tatizo kubwa!!
Hii maiti ni yenu, muitafune sasa !!
Mfumo wa kudai haki katika nchi yetu umekufa kabisa!! Hii inaanzia kwa kiongozi mkuu hadi katibu kata...wote ni utemi utemi tu - Tanzania sasa ni taifa la wenye hofu, taifa la watu wasiojiamini..taifa la waoga...imefikia hatua wananchi kuiogooa Serikali yao wenyewe zaidi ya ile ya mkoloni miaka ya 1940Kuna umuhimu wa kuwajenga wananchi kuwa na mawazo chanya katika mapambano.
Kwa nini asiwaze kuwashughulikia waliokamata mifugo yake?
Tumekusikia Ras Kalimanzila!Huyo mfugaji ni mpu.mbavu na hakuwa na sifa za kuitwa mwekezaji! Taifa linapaswa kuondokana na "wawekezaji" mazuzu kama hayo! Mtu unajinyonga kisa ng'ombe 50 !!!???
Angekuwa mwekezaji mwenye maarifa angetafuta mwanasheria ( wakili) then ufuatiliaji wa hao ng' ombe ungefanyika na hata pengine angelipa fine na gharama zingine hasingepoteza ng'ombe 10 na angebaki hata na ng'ombe 40 ambapo ndani ya mwaka 1 pengine ng'ombe 10 wangeji- recover kupitia kuzaliana.
Sasa amenyinyonga, amepotea milele! Msibani kwake usikute ng' ombe wengi watachinjwa kuomboleza msiba wake!
Taifa lifanye jitihada kubwa kuondokana na " wawekezaji" mazuzu kama haya ambayo yana utajiri mkubwa lakini hayana makazi bora na yanaishia kulalia ngozi, hayasomeshi watoto na hayana hata siha nzuri ya akili na mwili!
Acheni uji.nga kwenye mambo ya msingi! Ng'ombe 50 nao unaita mtu " Mwekezaji"! Upeo mdogo Tanzania sasa ni ugonjwa sugu kweli!Tumekusikia Ras Kalimanzila!
Chalamilaaaa,kasome kesi ya Mwamwindi!!!Mwekezaji mzawa katika sekta ya mifugo huko Ihefu mkoani Mbeya amekutwa amejinyonga kwenye mti porini baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na askari wa Idara ya Maliasili.
Baba wa marehemu amesema mwanae amejinyonga kwa kuhofia ufukara na umaskini baada ya kunyang'anywa ng'ombe wake wote ambao wamehifadhiwa ofisi ya wilaya.
Naye mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Chalamila amekiri kupata taarifa za tukio hilo na ametaka serikali isihusishwe kwa namna yoyote ile na uamuzi wa mwekezaji huo kujinyonga kwani huo ni uamuzi wake binafsi hakuna aliyemshinikiza.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Ng'ombe 50 ni milioni 50 tsh hiyo.Acheni uji.nga kwenye mambo ya msingi! Ng'ombe 50 nao unaita mtu " Mwekezaji"! Upeo mdogo Tanzania sasa ni ugonjwa sugu kweli!
Umeshawahi kukaliwa na mamlaka utosini?Kujinyonga?
Uamzi wa kijinga kabisa huo. Si ni bora ufe ukitetea haki yako!
Kaamua kujichukulia sheria mkononi,that must have to be devils mission,which is killing,stealing and destroying...Mwekezaji mzawa katika sekta ya mifugo huko Ihefu mkoani Mbeya amekutwa amejinyonga kwenye mti porini baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na askari wa Idara ya Maliasili.
Baba wa marehemu amesema mwanae amejinyonga kwa kuhofia ufukara na umaskini baada ya kunyang'anywa ng'ombe wake wote ambao wamehifadhiwa ofisi ya wilaya.
Naye mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Chalamila amekiri kupata taarifa za tukio hilo na ametaka Serikali isihusishwe kwa namna yoyote ile na uamuzi wa mwekezaji huo kujinyonga kwani huo ni uamuzi wake binafsi hakuna aliyemshinikiza.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Soma comment yangu hapo ya USELESS PEOPLE WITH USELESS MINDS ! Ni jibu kwako kwa hii myopic comment uliyotoa!Ng'ombe 50 ni milioni 50 tsh hiyo.
Au mwekezaji ni lazima awe na hotel?
UjingaNimesikitika Sana na kifo Cha mfugaji huyo
Hao waliokamata ng'ombe wake wanahusika mojakwamoja na kifo hicho tutegemee Jeshi letu la Polisi litawachukulia hatua stahiki wore waliosababisha kifo hicho
Sasa kama RC kakosea nini? Ulisikia kakamata ng'ombe kapeleka kwake au maeneo walioyatenga? Tena kawa straight kwamba sheria uchukue mkondo wakeChalamila ndiye mtu wa kwanza wa kulaumiwa maana yeye ndiye alikuwa mtu wa kwanza kusisitiza kuwa hao ng'ombe lazima wakamatwe na sheria zichukue mkondo wake.