Mbeya: Mwimbaji wa Wimbo wa "Mnatuona Nyani" afikishwa Mahakamani, tuhuma za Uchochezi zayeyuka yawa kesi ya kusambaza Uongo

Msanii Sifa Bujune ambaye aliswekwa rumande kwa maelezo kwamba, wimbo wake umejaa Uchochezi , na kwamba angeburuzwa mahakamani kwa uchochezi wake huo, leo amefikishwa mahakamani, baada ya shinikizo la Wanasheria kutaka aachiliwe ama afunguliwe mashtaka.

Bali kinyume na madai ya RPC wa Mbeya ambaye alimpa Bujune kesi ya Uchochezi, Msanii huyo ameshitakiwa kwa makosa ya kusambaza taarifa za uongo, Ajabu!

Hii maana yake ni kwamba RPC wa Mbeya ni Muongo na hafai kuendelea kuwa mtumishi wa jeshi la polisi, Napendekeza Afukuzwe kazi haraka na akamatwe.

Na hii itayeyuka tu kwa Nguvu za Mungu.
 
Mimi kweli ni Mpinzani Damu na Nyama lakini hawa Vijana wa Mwakipesile wapimwe akili ni Vilaza sana, Ukiwasikiliza hoja zao ni watu Wanaotumika tu hata wanachokizungumza hawakifafanui vizuri.

Wasali waliombee taifa waachane na siasa chafu wanaidharirisha imani yao walipofikia huyo sio Yesu tena ni ni akili za Binadam zinawaendesha.
 
Kwani hapa tunaongelea utawala na upinzani?

Hata wanaongelea mateno ya Haki na amani.
 
Haki na Aman havitafutwi hivyo, Hao wana Mihemko. Na hii ndo shida ya watu wa Iman wakiamin jambo wanalikomalia haswa bila hata kulitathmin kwa kina.
Nami sidhan kama ni kazi ya Dini kushindana na Serkal wao wakiamua kuingia kwenye siasa waweke gamba la dini pembeni. Yesu hakusolve kwa njia wanazotumia wao.
 
Sawa Derick Reuben
 
Nimependa sare zao nitashona langu moja niwe naenda nalo kwny mikutano ya ccm...
 
Hamna kesi hapo ,wamesambazaje hayo maneno wakati ni wimbo ule au Mimi ndo sielewi
 
Msanii Sifa Bujune ambaye aliswekwa rumande kwa maelezo kwamba, wimbo wake umejaa Uchochezi , na kwamba angeburuzwa mahakamani kwa uchochezi wake huo, leo amefikishwa mahakamani, baada ya shinikizo la Wanasheria kutaka aachiliwe ama afunguliwe mashtaka.

Bali kinyume na madai ya RPC wa Mbeya ambaye alimpa Bujune kesi ya Uchochezi, Msanii huyo ameshitakiwa kwa makosa ya kusambaza taarifa za uongo, Ajabu!

Hii maana yake ni kwamba RPC wa Mbeya ni Muongo na hafai kuendelea kuwa mtumishi wa jeshi la polisi, Napendekeza Afukuzwe kazi haraka na akamatwe.

Hao si wa kuwachekea.....

Akajibu kesi yake ya kusambaza uongo dhidi ya dola....
 
Mtu anasema eti Ngorongoro wamehamishwa kwa nguvu....huu ni uongo mweupe.....

Kule Msomera wamekwenda raia wema ,wakaidi wamebaki na kuamua kutumiwa kisiasa na akina Tundu Lissu......

Akajibu kesi yake ya kusambaza uongo......

#SiempreJMT[emoji120]
 
Msanii Sifa Bujune ambaye aliswekwa rumande kwa maelezo kwamba, wimbo wake umejaa Uchochezi , na kwamba angeburuzwa mahakamani kwa uchochezi wake huo, leo amefikishwa mahakamani, baada ya shinikizo la Wanasheria kutaka aachiliwe ama afunguliwe mashtaka.

Bali kinyume na madai ya RPC wa Mbeya ambaye alimpa Bujune kesi ya Uchochezi, Msanii huyo ameshitakiwa kwa makosa ya kusambaza taarifa za uongo, Ajabu!

Hii maana yake ni kwamba RPC wa Mbeya ni Muongo na hafai kuendelea kuwa mtumishi wa jeshi la polisi, Napendekeza Afukuzwe kazi haraka na akamatwe.

Enzi za akina LANGA ,rpc huyo angefanyeje
 
Back
Top Bottom