Mbeya na Kanda ya Ziwa ziwe semi-autonomous kama Zanzibar!

Yaani sikuamini TRA kwa mwaka Katavi wanakusanya bilioni 6 na Kilimanjaro bilioni 230 halafu unasema yote ni mikoa ta taifa hili!! Hapana
 
huyu jamaa huwa anashangazaga sana...!!

mwenye siri atueleze huyu jamaa kuna kitu gani kafanyiwa Mwanza, maana akiskia tu Mwanza roho huwa inampaa sana

naanza kumtilia shaka sasa juu ya the rock city maana sio bule
 
Hili nalo neno.
 
Alibonyezwa kizenji.
 
Kuna chama kilisemaga mambo ya county.
Mtu binafsi kabla ya kusema hadharani, hakikisha HAUSISIKIKI na mamlaka
 
Kwa nini usiwepo utawala wa majimbo (states) kama USA? Kila kanda itumie rasilimali zake, iwe na utawala wake na sheria zake alafu ndo kuwe na serikali ya shirikisho? Haya mambo ya mikoa naona kuna kanda zinanyonywa especially kanda ya ziwa[emoji35]
Tanzania ingepiga hatua sana.
 
Wasukuma mna vituko[emoji23][emoji23]
 
Jifunzeni kujiletea maendeleo bila kuitegemea serikali kama watu wa Kilimanjaro ila sasa someni haswa acheni biashara za kuswagana na ng'ombe kutwa kucha
 
Yaani sikuamini TRA kwa mwaka Katavi wanakusanya bilioni 6 na Kilimanjaro bilioni 230 halafu unasema yote ni mikoa ta taifa hili!! Hapana
Kwenu huko kumejengwa kwa kutumia fursa za Mikoa mingine hivyo kuwa na base..

Wakati hayo yakifanyika ,Katavi and the likes kulikuwa ni mapori Serikali imetelekeza ndio maana kukawa na Gap..
 
The great lake zone, nchi hii kuna siku tutaidai nchi yetu ya asili
 
The great lake zone, nchi hii kuna siku tutaidai nchi yetu ya asili
Kwanza mnachelewa kutoka..

Huko Kwa wagonjwa wa kansa nani anashida Nako?

Hamna ardhi ya kutosha wala rasilimali za maana zaidi ya dhahabu na dagaa..

Utalinganisha labda na Kanda ya Kati kwingine hakuna cha kuwazidi.
 
Mmoja anipe link za hotuba ya baba wa taifa
Nchi ishakuwa na matabaka hii
 
Kwanza mnachelewa kutoka..

Huko Kwa wagonjwa wa kansa nani anashida Nako?

Hamna ardhi ya kutosha wala rasilimali za maana zaidi ya dhahabu na dagaa..

Utalinganisha labda na Kanda ya Kati kwingine hakuna cha kuwazidi.
Ngoja kwanza kuna
Dhahabu
Ng'ombe
Almasi
Ziwa Victoria
Vilimo mbali mbali

Tatizo kule ni uchawi tu
 
Kwanza mnachelewa kutoka..

Huko Kwa wagonjwa wa kansa nani anashida Nako?

Hamna ardhi ya kutosha wala rasilimali za maana zaidi ya dhahabu na dagaa..

Utalinganisha labda na Kanda ya Kati kwingine hakuna cha kuwazidi.
Ukiongelea madini na migodi mikubwa yote ipo kwetu, tuna ziwa letu linatosha kabisa kutusambazia mikoa yetu yote maji ya uhakika . Kupitia ziwa tungekuja na mapinduzi makubwa ya kilimo kikubwa cha umwagiliaji kupitia ziwa letu. Tuna maeneo makubwa, tuna watu wengi wenye asili moja hivyo mambo yetu tungepanga kwa kuelewana Zaidi. Migodi tu kwanza inatosha kuendesha our great lake zone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…