Sahihi copy iwafikie Chadema una akili nyingi sana ushauri wako uzingatiwe Kwa waandaa maandamano wote wawe Chadema au yeyote Bila kujali itikadi nkWatu ndo tunaokuza mambo, Chadema waandamane kwa amani huku wakiheshimu haki za wengine za kutumia Barabara, na Polisi wanaongoza kuhakikisha kila kundi linatekeleza haki yake na wajibu wake
Hao wanaoandamana hapo ni Wazambia?Duh kumbe chadema wanaandama leo haki jamaa wamefulia labda hizi vurugu watapata kiki ila wabongo wamewakataa
Inatakiwa kuelewa kitu maandamano sio ku block shughuli za wananchi wengine watumia barabara ambao ndio wapiga kura wenu wawe bajaji,bodaboda nk wenye abiria Wao mkipisha Kwa kuacha nafasi wapite mtaumwa malaria au? Mbona Dar es salaam mlikuwa mkipisha magari yaendelee kutumia barabara maandamano yenu? Kwa nini Mbeya mumeblock wakati yake ya kutoka stendi ya Magufuli Hadi Posta mliwapa wenye magari kuendelea na misafara na maandamano yenu mbona mlikuwa mnapisha mnakaa upande magari yapite Kwa Nini Mbeya mumebadilika?
Inatakiwa kuelewa kitu maandamano sio ku block shughuli za wananchi wengine watumia barabara ambao ndio wapiga kura wenu wawe bajaji,bodaboda nk wenye abiria Wao mkipisha Kwa kuacha nafasi wapite mtaumwa malaria au? Mbona Dar es salaam mlikuwa mkipisha magari yaendelee kutumia barabara maandamano yenu? Kwa nini Mbeya mumeblock wakati yake ya kutoka stendi ya Magufuli Hadi Posta mliwapa wenye magari kuendelea na misafara
We creche kweli wanaoandamana hao ni Chadema Chadema? HiyoInatakiwa kuelewa kitu maandamano sio ku block shughuli za wananchi wengine watumia barabara ambao ndio wapiga kura wenu wawe bajaji,bodaboda nk wenye abiria Wao mkipisha Kwa kuacha nafasi wapite mtaumwa malaria au? Mbona Dar es salaam mlikuwa mkipisha magari yaendelee kutumia barabara maandamano yenu? Kwa nini Mbeya mumeblock wakati yake ya kutoka stendi ya Magufuli Hadi Posta mliwapa wenye magari kuendelea na misafara na maandamano yenu mbona mlikuwa mnapisha mnakaa upande magari yapite Kwa Nini Mbeya mumebadilika?
Bei ya sukari haikuhusu?Inatakiwa kuelewa kitu maandamano sio ku block shughuli za wananchi wengine watumia barabara ambao ndio wapiga kura wenu wawe bajaji,bodaboda nk wenye abiria Wao mkipisha Kwa kuacha nafasi wapite mtaumwa malaria au? Mbona Dar es salaam mlikuwa mkipisha magari yaendelee kutumia barabara maandamano yenu? Kwa nini Mbeya mumeblock wakati yake ya kutoka stendi ya Magufuli Hadi Posta mliwapa wenye magari kuendelea na misafara na maandamano yenu mbona mlikuwa mnapisha mnakaa upande magari yapite Kwa Nini Mbeya mumebadilika?
Haiwezekani maandamano makubwa kufanyika huku shughuli za kawaida zikiendelea.Sahihi copy iwafikie Chadema una akili nyingi sana ushauri wako uzingatiwe Kwa waandaa maandamano wote wawe Chadema au yeyote Bila kujali itikadi nk
Ushauri wako umeenda shule na wa kitaalamu Shukrani
Inatakiwa kuelewa kitu maandamano sio ku block shughuli za wananchi wengine watumia barabara ambao ndio wapiga kura wenu wawe bajaji,bodaboda nk wenye abiria Wao mkipisha Kwa kuacha nafasi wapite mtaumwa malaria au? Mbona Dar es salaam mlikuwa mkipisha magari yaendelee kutumia barabara maandamano yenu? Kwa nini Mbeya mumeblock wakati yake ya kutoka stendi ya Magufuli Hadi Posta mliwapa wenye magari kuendelea na misafara
We creche kweli wanaoandamana hao ni Chadema Chadema? HiyoInatakiwa kuelewa kitu maandamano sio ku block shughuli za wananchi wengine watumia barabara ambao ndio wapiga kura wenu wawe bajaji,bodaboda nk wenye abiria Wao mkipisha Kwa kuacha nafasi wapite mtaumwa malaria au? Mbona Dar es salaam mlikuwa mkipisha magari yaendelee kutumia barabara maandamano yenu? Kwa nini Mbeya mumeblock wakati yake ya kutoka stendi ya Magufuli Hadi Posta mliwapa wenye magari kuendelea na misafara na maandamano yenu mbona mlikuwa mnapisha mnakaa upande magari yapite Kwa Nini Mbeya mumebadilika?
Bei ya sukari haikuhusu?Inatakiwa kuelewa kitu maandamano sio ku block shughuli za wananchi wengine watumia barabara ambao ndio wapiga kura wenu wawe bajaji,bodaboda nk wenye abiria Wao mkipisha Kwa kuacha nafasi wapite mtaumwa malaria au? Mbona Dar es salaam mlikuwa mkipisha magari yaendelee kutumia barabara maandamano yenu? Kwa nini Mbeya mumeblock wakati yake ya kutoka stendi ya Magufuli Hadi Posta mliwapa wenye magari kuendelea na misafara na maandamano yenu mbona mlikuwa mnapisha mnakaa upande magari yapite Kwa Nini Mbeya mumebadilika?
Huyo anawadanganya watoto wake wa US na yeye ni wa UbelgijiPolisi wanalazimisha Naibu Waziri Mkuu apite. Wananchi wamegoma.
Ni maandamano ya kutoka Uyole.
Naibu Waziri Mkuu anazomewa
Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa Naibu Waziri Mkuu una magari kama 50.
Mbeya sio mchezo.
Naibu Waziri Mkuu kapitishwa pembeni baada ya Wananchi kugoma.
Lissu awaambie Waandamanaji kwa muda huu barabara hii ni ya waandamaji.
View attachment 2910071
Una hoja nzuri sana hapo ndio ilikuwa nafasi Yao hawajaitumia wajinga haoBadala wamsimamishe wamwambie umeme ni haki ya kimsingi na mgawo unatuathiri katika maisha yetu, tujuze mgao unaisha lini?
--FOR HER STUPIDITY WANAMRUSHIA MAKOPO, NA KUFUNGA NJIA, WAKATI HAPO PALIKUWA NDIPO PA KUPATA MAJIBU SAHIHI, POOR POOR POOR, IDIOT CONFROTER!, NYUMBU HAZINAGA AKILI.
Wabondwe tu huo ushamba waoKwann wanachadema wanazomea na kutoruhusu naibu Waziri mkuu kutokupita, c walisema yatakuwa ni maandamano ya amani.?
waziri kawapa kiki.Duh kumbe chadema wanaandama leo haki jamaa wamefulia labda hizi vurugu watapata kiki ila wabongo wamewakataa
Wewe chawa, mbona ume panick hadi unalipua kuandika?KWA 90% HUU UJINGA UNAZOROTESHA UTENDAJI WA SHUGHULI MBALI MBALI, HAYA MA TAKA TAKA YAWEKEWE UTARATIBU, BUNGE LITUNGE SHERIA MPYA ZA MUONGOZO JUU YA HAYA MA TAKA TAKA, MAKUSANYIKO NA MAANDAMANO YAWE, YANAFANYIKA KATIKA VIPINDI VYA UCHAGUZI MIEZI MITATU KABLA YA CHAGUZI, NA SI KILA UCHAO WALEVI FULANI WANANYANYUKA KUTOKA ULEVINI NA KUTAMKA TUNATAKA KUANDAMANA, VERY STUPIDIY!, KUWE NA MPANGO MADHUBUTI JUU YA UPUUZI HUU, KWA MIDA YAKE MAALUMU
Badala wamsimamishe wamwambie umeme ni haki ya kimsingi na mgawo unatuathiri katika maisha yetu, tujuze mgao unaisha lini?Mwambieni mnataka umeme
Chadema ni wajinga sana, hawana akili hata kidogo!Una hoja nzuri sana hapo ndio ilikuwa nafasi Yao hawajaitumia wajinga hao
Waziri wa Umeme anapita badala ya kumhoji kuhusu Umeme wanarusha michupa tu hopeless kabisa
Wangemsimamisha na kuhoji kuhusu Umeme ingekuwa habari kubwa ya mjini na Chadema wangepata kick ndani na njebua Nchi Kwa wawekezaji wahitaji Umeme
Lakini wame facilitate Kwa kurusha chupa kuwa kimbia haraka endelea na safari zako utabanwa mambo ya Umeme hapa shauri Yako kimbia
Chadema imefanya kazi kwenye Hilo kama Tawi la CCM ambayo haitaki kujibu mgao wa umeme Leo wameisaidia CCM kuhakikisha waziri wa umeme hasimamishwi kujibu Maswali na waandamanaji
Hongereni mliorushia machupa msafara wake akimbie haraka eneo la tukio kumfichia Maswali ya aibu ambayo yangeipa serikali ya CCM aibu
Mbarikiwe Wana Mbeya Kwa kumtupia michupa akimbie
Kuna msemo unasema chura ukimpiga teke unamwongezea hatua ,Machupa mliomrushia Biteko atoroke mbio na msafara wake mumefanya sahihi sababu mungemsimamisha na kuhoji mambo ya umeme CCM ingeaibika na Chadema kupata pointi nyingi kisiasa
Niwapongeze Sana waliorushia msafara wa Biteko ili ukimbie haraka utoroke serikali ya CCM isiaibike kama ungesimamishwa na waandamanaji watake majibu kuhusu kukatika umeme
TOTAL INCLUSION, MAANDAMANO YA CHADEMA WANAYOSEMA NI YA AMANI KUMBE SIYO YA AMANI TENA, KWA TAFSIRI YA HILI TUKIO, YAKOMESHWE MARA MOJA!Kwann wanachadema wanazomea na kutoruhusu naibu Waziri mkuu kutokupita, c walisema yatakuwa ni maandamano ya amani.?
Uko sahihi kifupi ukisikia mtu anapishana na gari ya mshahara ndicho Chadema walichofanya .Msafara wa waziri mhusika wa umeme walitakiwa ku u block na kuwa hawatamwachia hadi ajibu kero ya kuhusu umemeBadala wamsimamishe wamwambie umeme ni haki ya kimsingi na mgawo unatuathiri katika maisha yetu, tujuze mgao unaisha lini?
--FOR THEY HER STUPIDITY WANAMRUSHIA MAKOPO, NA KUFUNGA NJIA, WAKATI HAPO PALIKUWA NDIPO PA KUPATA MAJIBU SAHIHI, POOR POOR POOR, IDIOT CONFROTER!, NYUMBU HAZINAGA AKILI.
Una hoja nzuri sana hapo ndio ilikuwa nafasi Yao hawajaitumia wajinga hao
Waziri wa Umeme anapita badala ya kumhoji kuhusu Umeme wanarusha michupa tu hopeless kabisa
Wangemsimamisha na kuhoji kuhusu Umeme ingekuwa habari kubwa ya mjini na Chadema wangepata kick ndani na nje ya Nchi Kwa wawekezaji wahitaji Umeme
Lakini wame facilitate Kwa kurusha chupa kuwa kimbia haraka endelea na safari zako utabanwa mambo ya Umeme hapa shauri Yako kimbia
Chadema imefanya kazi kwenye Hilo kama Tawi la CCM ambayo haitaki kujibu mgao wa umeme Leo wameisaidia CCM kuhakikisha waziri wa umeme hasimamishwi kujibu Maswali na waandamanaji
Hongereni mliorushia machupa msafara wake akimbie haraka eneo la tukio kumfichia Maswali ya aibu ambayo yangeipa serikali ya CCM aibu
Mbarikiwe Wana Mbeya Kwa kumtupia michupa akimbie
Kuna msemo unasema chura ukimpiga teke unamwongezea hatua ,Machupa mliomrushia Biteko atoroke mbio na msafara wake mumefanya sahihi sababu mungemsimamisha na kuhoji mambo ya umeme CCM ingeaibika na Chadema kupata pointi nyingi kisiasa
Niwapongeze Sana waliorushia msafara wa Biteko ili ukimbie haraka utoroke serikali ya CCM isiaibike kama ungesimamishwa na waandamanaji watake majibu kuhusu kukatika umeme
Ambulance imekosa njia nyingine? Mnamaanisha kwa vile ni ambulance basi dereva wake anaweza kulazimisha kupita hata kwenye daraja lililo vunjika?Kwa hiyo hata ambulance Ina mgonjwa mahututi mtazuia na kuirushia Mawe au kuipisha?
Wameua ile harakatiiMmeua chama kenge nyie
Jiwe ndio aliwaweza, walitulia tuliHuko watu hawanaga masiara kikwete ana kumbu kumbu zake kichwani pale tunduma
CCM wamemnunua Lucas mwashambwa ili kuficha hali ya CCM kutokukubalika MbeyaPolisi wanalazimisha Naibu Waziri Mkuu apite. Wananchi wamegoma.