Mbeya raha sana wakuu

So unahisi mzigo unachukuliwa usungilo au kwa Obama, biashara ya vinywaji usiisemee kama unaijua vyema , nimeeleza kwa kifupi Sana.
We ni muongo na hizo stori za vijiweni, Yani Universal na Mbeya pazuri wachukue mzigo kwa wauzaji kama Obama! Umeona sasa kumbe hujui hata mzigo wanakochukua halafu unalisha watu matango pori hapa.
 
Nilikuwa Universal kuanzia saa 8 nimetoka kwenye saa 2 hivi. Hapo Makasini ni bar ya madereva wa malori.

Kitimoto nzuri kwa Uyole ipo white house inapatikana ng'ambo ya Universal. Kitimoto nzuri sanaaa nenda Ladii pork, Mbeya pazuri pale unapataka kitu choma roho inapenda
 
Mbeya gharama za maisha ziko chini sana so siyo jambo la ajabu kwa sisi tulio wahi kuishi huko.
Kunyoa 1000/=
Wali nyama 2000/=
Gesti 5000/=

Watoto wa kinyaki mitako kama yote halafu hata hela hawazijui wala nini, nimewabandua sana nilivyokuwa mbeya pitia nzovwe,mbebela,mabatini,forest,iyunga,ikuti,kalobe nimetembeza sana gobore.
 
Wewe sasa Ndio unaijua Mbeya,Yaan makasini pako hovyo kinoma

Bar inanukia oil ile sababu ya madereva wa maroli
 
Hii forest kuzuli?
 
Yaah jamaa ni mgeni, kitimoto sio bei kiasi hicho, hizo ni bei za Pwani.
 
Bei ya konyagi ni ndogo mbeya kwa sababu eneo la isyesye kuna viwanda vya konyagi feki ambavyo huchukua packaging Zambia Lusaka na Nairobi, na kubandika Lebo za TRA
kiongozi hii ina ukweli au ndo mwendo wa kuharibiana biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…