Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dadake Lucas Mwashambwa ni Mndali 😂😂😂Huu ni mnyukano wa makabiala
Ma kolo yameua mtotoJeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Ramadhan Tembo Mwakilasa [28] maarufu kama Rama Love ambaye pia ni Mwandishi na Mtangazaji na Mariamu Charles Mwashambwa [28] wote wakazi wa TEKU viwandani Jijini Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya mtoto Chloy Ramadhan [04] kwa kumpiga fimbo sehemu mbalimbali za mwili.
Ni kwamba Novemba 25, 2024 saa 2:00 usiku huko Mtaa wa TEKU viwandani Jijini Mbeya, mtoto Chloy Ramadhan [04] alifariki dunia baada ya kupigwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake na baba yake mzazi aitwaye Ramadhan Tembo Mwakilasa [28] akishirikiana na mama yake wa kambo aitwaye Mariamu Charles Mwashambwa [28] wote wakazi wa TEKU viwandani.
Uchunguzi umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo ni ukatili na unyanyasaji kwa kumuadhibu mtoto baada ya kujisaidia kwenye nguo alizokuwa amezivaa.
Jeshi la Polisi linawataka wazazi/walezi kuacha vitendo vya kujichukulia sheria mkononi dhidi ya watoto pindi wanapokosea na badala yake watumie njia sahihi na salama kuwafundisha au kuwaelekeza bila kusababisha madhara.
View attachment 3162069View attachment 3162070
CCM tena?Baba unaanzaje kutoa kichapo kwa mtoto under 5 years? Mental health is real.. CCM must go now
Kwani wao siyo watu?Kumbe waandishi wa habari nao wana matatizo ya akili.
Duuhhuu
DaaahNi matokeo ya mwanaume kupewa taarifa mbaya za mara kwa mara juu ya mtoto wake.
Na baba anajali zaidi furaha ya mwanamke kwa kutoa kipigo kwa mtoto.
Pole mtoto mzuri usiye na hatia!
Damu yako itawatafuta mpaka nao wanaondoka juu ya uso wa dunia.
Tatizo ni kwamba wanaume wengine hatuna msimamo mbele ya wake zetu wadago to na sapoti tu kila tuhuma.Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Ramadhani Tembo Mwakilasa na Mariamu Charles Mwashambwa wakazi wa mtaa wa TEKU Viwandani jijini Mbeya kwa tuhuma za kumshushia kipigo mpaka kifo mtoto wao Chloy Ramadhani mwenye umri wa miaka minne.
Tukio hilo linatajwa kutokea usiku wa Novemba 25, 2024, ambapo wazazi hao wawili wanadaiwa kumchapa kwa fimbo mtoto huyo kwenye maeneo mbalimbali ya mwili baada ya mtoto kujisaidia kwenye nguo alizokuwa amevaa.
Kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, Ramadhan ni baba mzazi wa mtoto, na Mariamu mke wa Ramadhan ni mama wa kambo wa mtoto Chloy ambaye mauti yamemkuta baada ya kufanyiwa ukatili na wawili hao.
Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi limetoa rai kwa wazazi na walezi kutumia njia sahihi na salama katika kuwafundisha au kuwaelekeza watoto bila ya kusababisha madhara.
Pumbafu huyu. Unapiga mtoto badala umsafishe kwa mikono yako. Kuna kinyaa gani kumsaidia mwanao kumsafisha na kujua kisa cha kujisaidia kwenye nguo. Jinga hilo jamaaJeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Ramadhan Tembo Mwakilasa [28] maarufu kama Rama Love ambaye pia ni Mwandishi na Mtangazaji na Mariamu Charles Mwashambwa [28] wote wakazi wa TEKU viwandani Jijini Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya mtoto Chloy Ramadhan [04] kwa kumpiga fimbo sehemu mbalimbali za mwili.