Mbeya: Wanandoa Mbaroni Baada ya Kumshushia Kipigo Hadi Kifo Mtoto Wao wa Miaka Minne

Ni matokeo ya mwanaume kupewa taarifa mbaya za mara kwa mara juu ya mtoto wake.
Na baba anajali zaidi furaha ya mwanamke kwa kutoa kipigo kwa mtoto.

Pole mtoto mzuri usiye na hatia!
Damu yako itawatafuta mpaka nao wanaondoka juu ya uso wa dunia.
 
Ma kolo yameua mtoto
 
Ni matokeo ya mwanaume kupewa taarifa mbaya za mara kwa mara juu ya mtoto wake.
Na baba anajali zaidi furaha ya mwanamke kwa kutoa kipigo kwa mtoto.

Pole mtoto mzuri usiye na hatia!
Damu yako itawatafuta mpaka nao wanaondoka juu ya uso wa dunia.
Daaah
 
Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Ramadhani Tembo Mwakilasa na Mariamu Charles Mwashambwa wakazi wa mtaa wa TEKU Viwandani jijini Mbeya kwa tuhuma za kumshushia kipigo mpaka kifo mtoto wao Chloy Ramadhani mwenye umri wa miaka minne.

Tukio hilo linatajwa kutokea usiku wa Novemba 25, 2024, ambapo wazazi hao wawili wanadaiwa kumchapa kwa fimbo mtoto huyo kwenye maeneo mbalimbali ya mwili baada ya mtoto kujisaidia kwenye nguo alizokuwa amevaa.

Kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, Ramadhan ni baba mzazi wa mtoto, na Mariamu mke wa Ramadhan ni mama wa kambo wa mtoto Chloy ambaye mauti yamemkuta baada ya kufanyiwa ukatili na wawili hao.

Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi limetoa rai kwa wazazi na walezi kutumia njia sahihi na salama katika kuwafundisha au kuwaelekeza watoto bila ya kusababisha madhara.
 
Tatizo ni kwamba wanaume wengine hatuna msimamo mbele ya wake zetu wadago to na sapoti tu kila tuhuma.
 
Pumbafu huyu. Unapiga mtoto badala umsafishe kwa mikono yako. Kuna kinyaa gani kumsaidia mwanao kumsafisha na kujua kisa cha kujisaidia kwenye nguo. Jinga hilo jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…