Mbeya: Wanandoa Mbaroni Baada ya Kumshushia Kipigo Hadi Kifo Mtoto Wao wa Miaka Minne

Daaah ni hatari
 
Sawa iyo picha ya kwanza alikua na miaka 28
Hiyo ya pili ana miaka mingapi?
Jamaa atakua alizuzuliwa na mshangazi kiasi Cha kupoteza upendo kwa mtoto wake.
Acha akaonje kaa la moto
Duu yani unaua kakijana kako ambako kangekufaa baadae kisa kamejiwaidia kwenye nguo??kwa umri huo hyo ni kawaida sana.
 
Mariam Charles mwashambwa mama wa kambo kabila Msafwa

Ramadhan Tembo Mwakilasa baba mzazi kabila mnyakyusa


Aliyeuawa Kwa kupigwa mtoto wa baba mzazi.
Umri wa marehemu miaka 4

Kisa Cha kipigo kujichafua Kwa haha kibwa

Connect dot ukihusisha nguvu ya Delila Kwa samson
Miaka 28 ya vijana wa miaka hii ni tofauti na miaka 28 ya vijana wa zamani. Vijana wa sasahivi upevu wa akili ni mdogo mfano ni huyu Lucas Mwashambwa
 
Sawa iyo picha ya kwanza alikua na miaka 28
Hiyo ya pili ana miaka mingapi?
Jamaa atakua alizuzuliwa na mshangazi kiasi Cha kupoteza upendo kwa mtoto wake.
Acha akaonje kaa la moto
Duu yani unaua kakijana kako ambako kangekufaa baadae kisa kamejiwaidia kwenye nguo??kwa umri huo hyo ni kawaida sana
Safari ya kwenda kunyea debe inaanzia hapa...
Tunaambiwa sana kwamba ukiwa na hasira sana jizuie sana kutoa maamuzi na ukiwa na furaha sana pia
 
Kwani nikifua nguo za mavi ya mwanangu nitanuka mikono mtaani, wanaume wengine vichaa wa mapenzi. Ndio maana ukawepo msemo mtoto akikunyea mkono.......... Mimi akinya hata sisemi na Shetani anayeutwa mwanamke. Ninafua KIROHO safi na nimewahi kufua pia
 
Hawa mbwa wafungwe wakafie jela kwuma ya mama zao!
 
Duu yani unaua kakijana kako ambako kangekufaa baadae kisa kamejiwaidia kwenye nguo??kwa umri huo hyo ni kawaida sana.
Mtoto wa 4yrs sio kawaida kujisaidia kwenye nguo, kosa sio lake ina maana mlezi wake hajamfunza pia anaweza kuwa anaishi kwa wasi wasi kiasi cha kushindwa kusema kuwa ana hitaji jambo fulani kwa kuogopa kufokewa au kupigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…