Mbeya: Watu wa Igurusi na Chimala msitoke nje Usiku, Simba wamekata kamba na kuruka kutoka kwenye gari

Mbeya: Watu wa Igurusi na Chimala msitoke nje Usiku, Simba wamekata kamba na kuruka kutoka kwenye gari

Vedasto Prosper

Senior Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
103
Reaction score
54
Kuna simba wanne wameruka kutoka kwenye gari maeneo ya Chimala darajani ukitokea Igurusi.. Ukitoka Igawa ukiingia chini Hospitali karuka mmoja, Darajani karuka mmoja.

So usiku kuweni makini na Chimala. Kati ya simba wanne kapatikana mmoja kapigwa risasi ya Mguu ya ganzi na TANAPA wamemkamata

Wananchi wametangaziwa. Pale Chimala bondeni mwisho saa 12 kuzurura. Wananchi kaeni kwenye nyumba zenu.

Muda huu simba watakuwa na njaa.

Nisiulizwe simba walikuwa wanatolewa wapi kupelekwa wapi. SIJUI🔒
IMG_20251012_224607_364.jpg
 
BIASHARA ZA ROSTAM AZIZI NA FAMILIA YAKE HIYO (WANAMTANDAO)
 
Kwani Simba hawawezi kuvamia mchana?

Hii habari imenikumbusha movie ya "The Ghost And The Darkness" ikiyotokana na kitabu cha "The Man Eaters of Tsavo" kuhusu Simba waliokuwa wanawala watu waliokuwa wanajenga reli huko Tsavo Kenya.

View: https://youtu.be/FRnUzzQn2NI?si=ZfatgdTGdJ9MZgPd

Kuna movie niliionaga zamani sana ya simba walikuwa wanakula sana watu, na moja ya characters wake anaitwa Halima.. siku alipovamiwa na Simba alianza kuliwa matiti
 
Hiyo ni hatari sana. Idara ya wanyamapori ni mojawapo ya idara ya hovyo kuwahi kuwepo nchini. Miaka kadhaa nyuma kwenye hii awamu ya 6 kulitokea matukio ya fisi kuwala watu hasa watoto maeneo ya wilaya ya Karatu ikaleta sana taharuki. Binadamu zaidi ya 20 waliliwa na fisi hadi aliyekuwa mbunge vitu maalum CHADEMA Cecilia Paresso akapeleka hoja bungeni. Ikavuja kashfa kwamba hao fisi walitolewa Ngorongoro na kupelekwa nje ya hifadhi kutokana na fisi kuwa wengi mno. Idara haikuwahi kujibu kitu. Mama Samia anangeifumua hiyo idara inayokula hela za bure.
 
Back
Top Bottom