Mbeya: Watu wa Igurusi na Chimala msitoke nje Usiku, Simba wamekata kamba na kuruka kutoka kwenye gari

Mbeya: Watu wa Igurusi na Chimala msitoke nje Usiku, Simba wamekata kamba na kuruka kutoka kwenye gari

Vin(t) is a symmetric square wave input with a frequency of 400 Hz and an amplitude of 4 V.
R = 470 Ω for the circuit, Calculate α, ωo, and ωd, use C = 0.1 uF, and L = 100 mH.

View attachment 3487742
Cheke chea 👶👶

Tunapewa RLC circuit ya mfululizo (series RLC)

👶a (alpha) – attenuation constant
👶w₀ (omega nought) – natural frequency
👶w_d (omega d) – damped natural frequency

👉

Tunapewa
R = 470 Ω
L = 100 mH = 0.1 H
C = 0.1 μF = 0.1

1)Alpha (α)

Formula
α = R / (2L)

Substuti
α = 470 / (2 × 0.1) = 2350 rad/s

2)Natural Frequency (w₀)

Formul
W₀ = 1 / √(LC)

Subustuti
w₀ = 1 / √(0.1 × 0.1×10⁻⁶)
= 1 / √(10⁻⁸) = 1 / (10⁻⁴) = 10⁴ rad/s = 10,000 rad/s

3)Damped Frequency (w_d)

Formula:
w_d = √(w₀² − α²)

Sabustuti
w_d = √((10,000)² − (2350)²)
= √(100,000,000 − 5,522,500)
= √94,477,500 ≈ 9719 rad/s

Majibu ya mwisho

👶α = 2350 rad/s
👶w₀ = 10,000 rad/s
👶w_d ≈ 9719 rad/s
 
Asante chatgpt....
 
Asante chatgpt....
Kwa hiyo mimi sijui chochote 😁😁😁 labda kesho nikupigiba picha kazi ninazo fanya ....mwenzako aliposti picha ya amplifier ya kusuka nikamchambulia yote na kumwonyesha kwa chini kipi kimeungana na kipi mwenyewe akakubali kuwa kakutana na genius...mimi elimu yangu form 2 tu ...sikumaliza hata form 4
 
Jidanganye
1760310068107.png

Find i(t)
Assuming the circuit has reached steady state at t=0
 
Hiyo ni hatari sana. Idara ya wanyamapori ni mojawapo ya idara ya hovyo kuwahi kuwepo nchini. Miaka kadhaa nyuma kwenye hii awamu ya 6 kulitokea matukio ya fisi kuwala watu hasa watoto maeneo ya wilaya ya Karatu ikaleta sana taharuki. Binadamu zaidi ya 20 waliliwa na fisi hadi aliyekuwa mbunge vitu maalum CHADEMA Cecilia Paresso akapeleka hoja bungeni. Ikavuja kashfa kwamba hao fisi walitolewa Ngorongoro na kupelekwa nje ya hifadhi kutokana na fisi kuwa wengi mno. Idara haikuwahi kujibu kitu. Mama Samia anangeifumua hiyo idara inayokula hela za bure.
Hivi unapoona idara ya wanyamapori ni ya hovyo kiasi cha kutamani ivunjwe, unaelewa kwamba hiyo hasira yako inatokana na tatizo kubwa zaidi la kimfumo?

Kwamba uzembe, ukosefu wa uwajibikaji, na ukimya wa mamlaka sio tu kasoro za watu binafsi bali ni matokeo ya mfumo usio na mizania ya uwajibikaji.

Unajua kwamba hiyo ndiyo sababu watu wanapaza sauti wakitaka katiba mpya, katiba itakayoweka misingi ya wazi ya uwajibikaji, mgawanyo wa madaraka, na ulinzi wa haki za raia dhidi ya uzembe wa taasisi?

Lakini cha kushangaza, humu humu jukwaani, hoja za katiba mpya zikianzishwa, nyinyi mnaonekana kuwa wapinzani wakubwa.

Mwanzoni nilidhani labda mnafaidika na mfumo huu wa hovyo, labda mna neemeka kwenye uongozi au mnachota faida kupitia mianya ya upigaji.

Lakini kwa jinsi ulivyoandika hapa, inaonekana wewe ni raia muangaikaji kama sisi unaumia, unakerwa, unahofia usalama wako tena dhidi ya fisi.

Sasa swali ninalojiuliza mpaka sasa: kwa nini basi mnapata morale ya kuwatetea watawala au kupinga mabadiliko ya msingi kama katiba mpya, ilhali mnateseka na matokeo ya mfumo huo huo mnaoutetea?
 
Kaka kwa kukufahamisha tu hakuna chawa/mwana ccm anayenufaika na mfumo kwa kiwango cha maana ukamkuta anajibizana na watu huku mitandaoni...

Hawa unaowaona huku mitandaoni usiku na mchana wakitetea kila aina ya upuuzi na maovu ya serikali hii dhalimu ni wapumbav tu ambao malipo yao ni shiling elfu 10-20 kwa siku...na hawana mbele wala nyuma, maisha yao ni tia maji maji sana.

Wanufaika wa mfumo ni akina Elvis Kihiga,akina Hidaya Mombo, akina Abdul ambao kamwe huwezi kuwaona hata wakijibu comments za watu mitandaoni, wao wako bize kugawana mabilions.... kazi ya kutetea mfumo wameziachia hizi mbwa zao tunazotoana nazo nyongo humu
 
Kwani Simba hawawezi kuvamia mchana?

Hii habari imenikumbusha movie ya "The Ghost And The Darkness" ikiyotokana na kitabu cha "The Man Eaters of Tsavo" kuhusu Simba waliokuwa wanawala watu waliokuwa wanajenga reli huko Tsavo Kenya.

View: https://youtu.be/FRnUzzQn2NI?si=ZfatgdTGdJ9MZgPd

Hii Ngoma nimechukua juzi tu baada ya kuikumbuka wale Simba walikuwa ni wa mazingara ata jamaa alihisi
 
Hivi Simba wenye njaa watasubiri mpaka usiku uingie ndio watafute chakula?
Kwani Simba hua hawali mchana?

Watu wanatakiwa wawe makini muda wote na sio usiku tu.
 
Kwani Simba hawawezi kuvamia mchana?

Hii habari imenikumbusha movie ya "The Ghost And The Darkness" ikiyotokana na kitabu cha "The Man Eaters of Tsavo" kuhusu Simba waliokuwa wanawala watu waliokuwa wanajenga reli huko Tsavo Kenya.

View: https://youtu.be/FRnUzzQn2NI?si=ZfatgdTGdJ9MZgPd

Hii pia ukisoma history ya ujenzi wa tazara pia kulikua na hizi SAGA za vibaruab/ manamba kuliwa na Simba kwenye mapori / hifadhini huko morogoro hifadhini mikumi
 
Back
Top Bottom