BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Unasafirisha simba kama vile mbuzi?
kwanza walikuwa wametokea mbuga gani mpaka kufika hapo chimala!
kwanza walikuwa wametokea mbuga gani mpaka kufika hapo chimala!
Kama huna maadili, uliwezaje kupita kwenye venting?Sasa kama familia yako haina maadili unadhani taifa ndo litakuwa na maadili kupitia katiba? Hao viongozi wanatoka ndani ya familia zetu hawajashushwa kutoka mbinguni.
Venting ❌ vetting ✅. Huna maadili ndo maana hata kiingereza chako kibovu.Kama huna maadili, uliwezaje kupita kwenye venting?
Je, huoni kwamba mfumo mbovu unatoa fursa kwa watu wasio waadilifu kupata kazi kupitia connection, si kwa sifa wala uwezo?
Hii ndiyo sababu tunapaza sauti kuhusu katiba mpya ili mfumo uwe na mizania ya kweli, si ya mazoea na ukada.
Na kama kweli uadilifu ungetoka tu kwenye familia, basi tusingehitaji katiba, sheria, au taasisi za kusimamia maadili ya viongozi.
Lakini pia historia inaonesha wazi kuwa hata watu waliokuzwa kwenye familia nzuri wakifika kwenye mfumo mbovu, hujifunza kupiga, kuficha, na kukwepa uwajibikaji.
Si kweli. Unataka kumdhalilisha mwenzio ili uonekane wewe wa maana na unajua kilugha cha wazungu kuliko yeye. Ungekua na akili ungejua hiyo ni typoVenting ❌ vetting ✅. Huna maadili ndo maana hata kiingereza chako kibovu.
Acha kusingizia typoSi kweli. Unataka kumdhalilisha mwenzio ili uonekane wewe wa maana na unajua kilugha cha wazungu kuliko yeye. Ungekua na akili ungejua hiyo ni typo
Tukubaliane jambo moja la msingi. Kosa la kuandika 'venting' badala ya 'vetting' si kiashiria cha 'kiingereza kibovu' bali ni kosa la tahajia (spelling) kwa Kiingereza, inaitwa spelling mistakeVenting ❌ vetting ✅. Huna maadili ndo maana hata kiingereza chako kibovu.
Hiyo ni hatari sana. Idara ya wanyamapori ni mojawapo ya idara ya hovyo kuwahi kuwepo nchini. Miaka kadhaa nyuma kwenye hii awamu ya 6 kulitokea matukio ya fisi kuwala watu hasa watoto maeneo ya wilaya ya Karatu ikaleta sana taharuki. Binadamu zaidi ya 20 waliliwa na fisi hadi aliyekuwa mbunge vitu maalum CHADEMA Cecilia Paresso akapeleka hoja bungeni. Ikavuja kashfa kwamba hao fisi walitolewa Ngorongoro na kupelekwa nje ya hifadhi kutokana na fisi kuwa wengi mno. Idara haikuwahi kujibu kitu. Mama Samia anangeifumua hiyo idara inayokula hela za bure.
Mimi nilitaka kujua tu kwambaKuna simba wanne wameruka kutoka kwenye gari maeneo ya Chimala darajani ukitokea Igurusi.. Ukitoka Igawa ukiingia chini Hospitali karuka mmoja, Darajani karuka mmoja.
So usiku kuweni makini na Chimala. Kati ya simba wanne kapatikana mmoja kapigwa risasi ya Mguu ya ganzi na TANAPA wamemkamata
Wananchi wametangaziwa. Pale Chimala bondeni mwisho saa 12 kuzurura. Wananchi kaeni kwenye nyumba zenu.
Muda huu simba watakuwa na njaa.
Nisiulizwe simba walikuwa wanatolewa wapi kupelekwa wapi. SIJUI🔒
View attachment 3487732
Hakuna spelling error hapo. Kama wewe mwenyewe ni mbishi kwa kosa la wazi kama hili vipi siku ukiwa kiongozi? utawapoteza wakosoaji wako wote. Mungu atuepushe na mtu kama wewe kuwa kiongozi.Tukubaliane jambo moja la msingi. Kosa la kuandika 'venting' badala ya 'vetting' si kiashiria cha 'kiingereza kibovu' bali ni kosa la tahajia (spelling) kwa Kiingereza, inaitwa spelling mistake
Kwa mfano wa karibu kabisa, hata kwenye kesi ya Tundu Lissu inayosikilizwa sasa MMahakamani, kuna makosa kadhaa ya maandishi yaliyofanyika kwenye nyaraka za kisheria.
Mahakama imeyaita slip of the pen. Na haijabatilisha mwenendo mzima wa kesi kwa sababu ya hayo. Hii inaonesha wazi kwamba kosa la spelling haliwezi kubatilisha hoja ya msingi, iwe ni kwenye mjadala wa mtandaoni au hata kwenye muktadha wa kisheria.
Sasa turudi kwenye hoja yenyewe:
Kama mtu hana maadili, aliwezaje kupita kwenye vetting? Je, huoni kwamba mfumo mbovu unatoa fursa kwa watu wasio waadilifu kupata kazi kupitia connection, si kwa sifa wala uwezo?
Na kama taasisi zenyewe hazina uwezo wa kuchuja watu kwa misingi ya uadilifu, si ni dhahiri kwamba tatizo ni la kimfumo, si la familia pekee?
Unapotosha watu.simba hua hali mnyama anae kula nyama kama yeye
Prof. Jamie monson.Hii nayo ni story ila nafikiri haijaandikwa.
Shukurani sana mkuu. Nitakitafuta.Prof. Jamie monson.
Kuna hiki kitabu kina elezea kina ubaga kinaelezea hofu na ajari za mamba , nyoka na Simba kwenye mapori ya selou, mikumi na ifakara..
KINAITWA..
“Africa’s Freedom Railway: How a Chinese Development Project Changed Lives and Livelihoods in Tanzania” — Jamie Monson (2009)
Pamoja brother.Shukurani sana mkuu. Nitakitafuta.