Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Amrarue vzr fala huyoWa pili kasema sasa yuko kwenye mission ya kumtafuta Mafwele wamalizane!
Amrarue vzr fala huyoWa pili kasema sasa yuko kwenye mission ya kumtafuta Mafwele wamalizane!
tazara haijapita mikumi imepita selousHii pia ukisoma history ya ujenzi wa tazara pia kulikua na hizi SAGA za vibaruab/ manamba kuliwa na Simba kwenye mapori / hifadhini huko morogoro hifadhini mikumi
Unawezaje kuongea lugha bila kujua misamiati? Jitahidi kila siku ujue neno jipya la kiingereza ulilokuwa hujui.Kuonesha jinsi gani ulivyokuwa (sijui niiteje ujinga or something) anyway: mkosofu wa maarifa
Kwa nini kosa la uandishi katika lugha ya Kiingereza huwa mnalitukuza sana kiasi lichukuliwe kama 'aibu ndogo ndogo', lakini kosa hilo hilo likifanyika kwenye Kiswahili hamlianzishii bunge la kuanza kujadili umaridadi wenu wa kujua hiyo lugha?
Kingine, hebu niulize: Umelielewa sahihisho nililokupa kuhusu mtu kukariri misamiati mingi ya lugha bila kuwa na uwezo wa kuandika au kuzungumza kwa ufasaha?
Kwa sababu bado unaonekana kushikilia hoja kwamba kuwa na misamiati mingi kichwani ni kipimo cha maarifa ya lugha, jambo ambalo si sahihi.
Au nawewe hutaki kukubali kukosolewa?
Acha kunililia kipuuzi mimi sio babako. Pia sikukutuma uandike VENTING badala ya VETTINGHili pia ni kosa la kimjadala umelifanya ambalo liaangukia kwenye makosa ya kimantiki (Logical fallacy)
Nakukosoa nione busara yako ni ya kiwango gani pindi unapokosolewa.
Umetumia logical fallacy ya Ad hominem fallacy yani umeacha hoja na kuanza kumshambulia mtoa hoja
- Unasema “Wewe ni mtu mjinga sana…” badala ya kujibu hoja. Hili ni shambulizi kwa mtu binafsi (ad hominem) badala ya kushughulikia hoja aliyoleta.
- Katika mjadala wa great thinkers hoja hujibiwa kwa mantiki, si kwa matusi au kejeli. Kushambulia mtu hakubadilishi ukweli wa hoja yake.
Straw man fallacy. Hii pia ni logical fallacy nyingine ya kupotosha hoja halisi na kuanza kuijibu hiyo hoja iliyopotoshwa na kuacha hoja halisi ili ikupe wepesi wa wewe kuijibu
- Unadai “Unaandika gazeti refu pumba tupu” bila kuonesha ni wapi hoja imekosea au kupotosha. Unajenga picha ya hoja isiyokuwepo ili kuipinga kwa urahisi.
- Hii ni mbinu ya straw man kuharibu hoja ya mwenzako kwa kuipotosha, badala ya kuijibu kama ilivyo.
Umeona hii denial unayoionesha hapa?Unawezaje kuongea lugha bila kujua misamiati? Jitahidi kila siku ujue neno jipya la kiingereza ulilokuwa hujui.
Thibitisha mkuu.tazara haijapita mikumi imepita selous
Hasira ya kutoa matusi ni silaha ya mwisho ya mjinga baada ya kuishiwa hoja.Acha kunililia kipuuzi mimi sio babako. Pia sikukutuma uandike VENTING badala ya VETTING
Ningejadili hoja yako endapo usingeleta ubishi wa kijinga. Ukikosea kitu kiri badala ya kubishana. Wewe hustahili kukosoa mtu yeyote kwa sababu hutaki kukosolewa.Hasira ya kutoa matusi ni silaha ya mwisho ya mjinga baada ya kuishiwa hoja.
Na kwa namna ulivyojibu, ni wazi kuwa hoja ya msingi kuhusu mfumo wa uteuzi wa viongozi ambao ni mbovu imekuumiza zaidi kuliko kosa la spelling ya venting.
Jomba hujui kiingereza. Unajitetea sana kwa maneno mengi ila pumba tupu. Kutojua vizuri kiingereza sio ulemavu.. pambana ujue.Umeona hii denial unayoionesha hapa?
Unajaribu kujifanya Mr right hata pale ambapo hoja sahihi za kukurekebisha zinaibuliwa ila kwasababu ulishatanguliza ujuaji wa kujifanya wewe ni mwamba wa lugha inakuwia vigumu kukubaliana na kukosolewa huko.
Ni kweli, huwezi kuzungumza lugha bila kuwa na misamiati. Lakini kuwa na misamiati mingi kichwani pekee hakutoshi kuifanya lugha yako iwe fasaha, sanifu, au yenye mantiki. Hili ndilo somo la msingi ambalo bado hujaonesha kuwa umelielewa.
Reli ya TAZARA inapita jirani sana na Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, kupitia eneo la Kidatu, Mang’ula na Kisaki, ambako treni hupitia ndani ya msitu wa Selous (ambao unaunganika na Mikumi kwa ikolojia). Wakati mwingine abiria/ wasafiri huona wanyama kama tembo,pundamilia,nyumbu,swala, nyati, au simba kupitia madirishani.tazara haijapita mikumi imepita selous
Kwanza hoja yangu haikuwa juu ya kukataa kukosolewa, bali ilikuwa juu ya upotoshaji wa ukosoaji wako baada ya wewe kuchanganya kati ya spelling mistake na grammar mistake.Ningejadili hoja yako endapo usingeleta ubishi wa kijinga. Ukikosea kitu kiri badala ya kubishana. Wewe hustahili kukosoa mtu yeyote kwa sababu hutaki kukosolewa.
Ukikosea kiri ili usonge mbele. Wewe inaonekana ni mtu wa kutokubali makosa yako. Wewe ni malaika?Kwanza hoja yangu haikuwa juu ya kukataa kukosolewa, bali ilikuwa juu ya upotoshaji wa ukosoaji wako baada ya wewe kuchanganya kati ya spelling mistake na grammar mistake.
Na ukosoaji wako ulijikita zaidi kwenye kujikweza, ulitumia makosa hayo ya uandishi kama sehemu ya udhalilishaji na kuishusha level ya elimu yangu.
Wewe unayejigamba kujua Kiingereza, ni mwalimu yupi aliyekuambia kwamba ukikariri misamiati mingi kichwani basi tayari unajua Kiingereza fasaha?Jomba hujui kiingereza. Unajitetea sana kwa maneno mengi ila pumba tupu. Kutojua vizuri kiingereza sio ulemavu.. pambana ujue.
Unalia sana ila ulikosea. Nakusisitiza sana jua misamiati mingi ya kiingereza. Kwa mfano KNIGHT na NIGHT ni vitu viwili tofauti kabisa ila kwa mpuuzi kama wewe utasema ni spelling mistake.Wewe unayejigamba kujua Kiingereza, ni mwalimu yupi aliyekuambia kwamba ukikariri misamiati mingi kichwani basi tayari unajua Kiingereza fasaha?
Mpaka sasa, hujanionesha kipimo chochote cha kisarufi, kimuktadha, wala kimantiki kinachoweza kuthibitisha kwamba kweli unajua Kiingereza.
Au unataka ile vetting uliyonisahihisha ambayo ni kosa la spelling tu, ndiyo isimame kama cheti chako cha English course?
Kwanza, nimeshakiri kosa la spelling tangu mwanzo, hilo halina ubishi.Ukikosea kiri ili usonge mbele. Wewe inaonekana ni mtu wa kutokubali makosa yako. Wewe ni malaika?
Unaelewa maana ya spelling mistake?Unalia sana ila ulikosea. Nakusisitiza sana jua misamiati mingi ya kiingereza. Kwa mfano KNIGHT na NIGHT ni vitu viwili tofauti kabisa ila kwa mpuuzi kama wewe utasema ni spelling mistake.
Sasa kama hata kiswahili kinakushinda unajua nini kijana? Inakera sana kuona mtu mjinga kama wewe unalazimisha uonekane mwerevu.Kwanza, nimeshakiri kosa la spelling tangu mwanzo, hilo halina ubishi.
Niliandika venting badala ya vetting, na nikasema wazi kuwa si kosa la kutokuwa na maarifa kama wewe ulovyoliwasilisha bali ni kosa la uandishi.
Na zaidi ya hapo, nikaeleza kuwa si Kiingereza tu, hata Kiswahili, lugha mama inanipa changamoto kwenye maeneo mengi. Kwa hiyo hoja ya kusema 'sikubali makosa' haina msingi.
Na nilipokosoa hoja yako ya kusema “kariri misamiati mingi" kama ndiyo kipimo cha kujua Kiingereza fasaha, badala ya kukubali kukosolewa, ulionekana kukasirika, kwa sababu ulijipambanua tangu mwanzo kama bingwa wa lugha, na umahiri huo wa lugha ukauhusisha na uwezo wa kielimu.
Kama tungeamua kugeuza mjadala huu kuwa mashindano ya kutafuta makosa ya uandishi, hata wewe usingebaki salama. Lakini hiyo siyo njia ya kujenga hoja.
Mjadala wa greatt hinkers unahitaji heshima, mantiki, na uwezo wa kukubali kukosolewa si matusi, si kejeli, na si majigambo ya ujuaji.
Mama Samia acha mipasho, sio kila jambo linajibiwa kwa TAARABU tu.Sasa kama hata kiswahili kinakushinda unajua nini kijana? Inakera sana kuona mtu mjinga kama wewe unalazimisha uonekane mwerevu.