Mbeya: Watu wa Igurusi na Chimala msitoke nje Usiku, Simba wamekata kamba na kuruka kutoka kwenye gari

Unalia sana ila ulikosea. Nakusisitiza sana jua misamiati mingi ya kiingereza. Kwa mfano KNIGHT na NIGHT ni vitu viwili tofauti kabisa ila kwa mpuuzi kama wewe utasema ni spelling mistake.
Haya ni baadhi tu ya maneno ya kiswahili ambayo hadi leo hii yananipa shida sa kuyatumia kwenye uandishi na mara nyingi nimekuya nikiyachanganya. (Na usikute hata wewe ni mmoja wao)

  • Hatma vs Hatima
  • Kuwapo vs Kuwepo
  • Mtaala vs Mtalaa
  • Shitaka vs Shitaki
  • Mtazamo vs Mtizamo
  • Maskini vs Masikini
  • Hovyo vs Ovyo
  • Dhahama vs Zahama
Swali ni Je, kosa la kuchanganya maneno haya ya Kiswahili halihesabiki kama 'aibu ndogo ndogo'?

Au ni kwa sababu hayako kwenye lugha ya kikoloni ndiyo hayachukuliwi kwa uzito? Hii ni kasumba ya kuitukuza lugha za kigeni ambapo makosa ya Kiingereza hupewa uzito wa kushusha hadi heshima ya mtu, lakini makosa ya Kiswahili hayapigiwi kelele, licha ya kuwa ndiyo lugha inayotugusa moja kwa moja.
 
Nitolee upuuzi wako. Jifunze lugha
 
Sasa kama hata kiswahili kinakushinda unajua nini kijana? Inakera sana kuona mtu mjinga kama wewe unalazimisha uonekane mwerevu.
Inashangaza kuona yule anayejigamba kuwa mwerevu ndiye anayeongoza kukashifu watu bila kutoa hoja, na yule ambaye anaitwa mjinga ndiye amekuwa akitoa hoja bila kebehi za matusi. Hicho tu pekee ni kipimo cha kutilia mashaka hayo majivuno yako ya werevu.

Halafu kingine, unaniita 'kijana' kwenye mjadala wa wazi na mtu ambaye humjui, hujawahi kumuona, wala hujui umri wake. Hii haiwezi kuwa paranoia kweli?

Unajuaje kama mimi nipo level sawa na baba yako, au hata zaidi?

Na kwa kweli hili linanirudisha nyuma kwenye hoja yako ya awali kuhusu maadili mabovu ya familia kwa sababu mtu anayeshindwa kuheshimu hata asiyemjua, anaonesha wazi kuwa misingi ya heshima ya maadili kwenye familia anayotoka haikuwekwa vizuri.

Unataka tuingie kwenye mjadala wa kuangalia historia ya familia yako kudadisi mazingira yaliyochochea wewe kukosa maadili? No tusifike huko.
 
Nitolee upuuzi wako. Jifunze lugha
kama kweli unadhani hoja yangu ni upuuzi, basi usingetumia muda wako kui-quote, na kuijibu kwa hasira.

Ni sawa tu na jinsi ambavyo utai-quote hii post kwa sababu, kwa namna moja au nyingine, hoja zangu zinakugusa. Na kama zisingekuwa na uzito, usingejisumbua kuzijibu.

Hilo peke yake linaonesha kuwa hoja zangu si upuuzi bali ni changamoto ya kiakili ambayo hujui namna ya kuikabili bila jazba.
 
Inashangaza kuona yule anayejigamba kuwa mwerevu ndiye anayeongoza kukashifu watu bila kutoa hoja, na yule ambaye anaitwa mjinga ndiye amekuwa akitoa hoja bila kebehi za matusi. Hicho tu pekee ni kipimo cha kutilia mashaka hayo majivuno yako ya werevu.

Halafu kingine, unaniita 'kijana' kwenye mjadala wa wazi na mtu ambaye humjui, hujawahi kumuona, wala hujui umri wake. Hii haiwezi kuwa paranoia kweli?

Unajuaje kama mimi nipo level sawa na baba yako, au hata zaidi?

Na kwa kweli hili linanirudisha nyuma kwenye hoja yako ya awali kuhusu maadili mabovu ya familia kwa sababu mtu anayeshindwa kuheshimu hata asiyemjua, anaonesha wazi kuwa misingi ya heshima ya maadili kwenye familia anayotoka haikuwekwa vizuri.

Unataka tuingie kwenye mjadala wa kuangalia historia ya familia yako kudadisi mazingira yaliyochochea wewe kukosa maadili? No tusifike huko.
Punguza kulia. Sio mimi nilisababisha usijue kiingereza.
 
Back
Top Bottom