Vedasto Prosper
Senior Member
- Jul 30, 2013
- 103
- 54
BIASHARA ZA ROSTAM AZIZI NA FAMILIA YAKE HIYO (WANAMTANDAO)Kuna simba wanne wameruka kutoka kwenye gari maeneo ya Chimala darajani ukitokea Igurusi.. Ukitoka Igawa ukiingia chini Hospitali karuka mmoja, Darajani karuka mmoja.
So usiku kuweni makini na Chimala. Kati ya simba wanne kapatikana mmoja kapigwa risasi ya Mguu ya ganzi na TANAPA wamemkamata
Wananchi wametangaziwa. Pale Chimala bondeni mwisho saa 12 kuzurura. Wananchi kaeni kwenye nyumba zenu.
Muda huu simba watakuwa na njaa.
Nisiulizwe simba walikuwa wanatolewa wapi kupelekwa wapi. SIJUI🔒
Kuna movie niliionaga zamani sana ya simba walikuwa wanakula sana watu, na moja ya characters wake anaitwa Halima.. siku alipovamiwa na Simba alianza kuliwa matitiKwani Simba hawawezi kuvamia mchana?
Hii habari imenikumbusha movie ya "The Ghost And The Darkness" ikiyotokana na kitabu cha "The Man Eaters of Tsavo" kuhusu Simba waliokuwa wanawala watu waliokuwa wanajenga reli huko Tsavo Kenya.
View: https://youtu.be/FRnUzzQn2NI?si=ZfatgdTGdJ9MZgPd
simba hua hali mnyama anae kula nyama kama yeyeMbwa Koko pamoja na Mazizi yasiyo na ulinzi mbuzi na wao ndio wataliwa kwa wingi..
BIASHARA ZA ROSTAM AZIZI NA FAMILIA YAKE HIYO (WANAMTANDAO)