Mbeya: Watu wanne (4) mbaroni kwa kufurahia kifo cha Rais Magufuli kwa kupika supu na kununua lita 20 za Ulanzi

Mbeya: Watu wanne (4) mbaroni kwa kufurahia kifo cha Rais Magufuli kwa kupika supu na kununua lita 20 za Ulanzi

Sawa haujaua.lakini umeshangilia kifo cha mwenzio.unalomtendea mwenzio na wewe utakuja kutendewa.
Sioni haja ya kuendeleza chuki dhidi ya magufuli. Maana huyo hayupo tena.
na ukiendeleza chuki na marehemu watu watakuona ni mtu wa AJABU.
Sijawahi kuuwa hata sisimizi
 
Kunywa pombe wala sio kosa. Hata kama waliongea maneno ya furaha wakiwa wamelewa bado sio kosa kwa kuwa tayari walikuwa tungi kichwani.

Hivi kwa mfano mtu aliyebomolewa nyumba yake bila malipo na wale waliotumbuliwa na marehemu bila kulipwa fidia ya kutumbuliwa mnazani wanaweza kuwa na simanzi ya kifo cha Magufuli kweli?. Waachwe wasuuze nyoyo zao na maisha yaendelee tu.
 
Ukiwapuuza hakuna atakayejua kuna watu walisheherekea zaidi wa washeherekeaji na kikundi kidogo kinachowazunguka.

Sasa unatangaza kwenye vyombo vya habari ili raia wafahamu kuwa kuna wanaosheherekea.
 
Sioni haja ya kuendeleza chuki dhidi ya magufuli. Maana huyo hayupo tena.
na ukiendeleza chuki na marehemu watu watakuona ni mtu wa AJABU
Katufanyizia miaka mitano tuacheni na sisi tufurahie mwezi mmoja
 
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅💥💥💥💥💥💥💥
 
Duh nilidhani baada ya kufa Jiwe mambo yangepoa kumbe yako vile vile...

Mbaya zaidi walikufa watu wengi siku ya kuaga kule Dar ila serikali haijatoa tamko lolote wala kuwafariji wafiwa.

[bNb:CCM ni ile ile
 
Baada ya kuja Chalamila Mbeya imekuwa Mkoa wa kisenge sana!! Kwanini lakini? Mbona zamani wazee wetu hawakuchezewa? Ile sayansi iliyotumika kwa RC Marwa kwenye 1970s, au wale waliomdondosha Akukweti na ndege wako wapi?

Tusilazimishwe kuhuzunika ibakie ni hiari. Wanotaka kusherehekea waacheni washerehekee. Ni haki yao?

Kwanza jiulizeni Magufuli kaifanyia nini Mbeya?
 
Kupika Supu na Kununua Pombe haina maana ndio kushangilia, (kwanza ni kukuza uchumi na kuongeza mzungoko wa pesa) heri watu wangekuwa wanaombeleza kwa aina hii...

Pili watu wanahuzunika kitofauti wajaluo misiba yako wanacheza ngoma, tusipende kulazimishana hii inaongeza chuki.
 
Kazi ya serikali ni kupangia watu hisia?.mbona wao walikuwa wanatufundisha nyimbo mashuleni walizoziitikadi kuwa za kizalendo kuwa "Idd Amin akifa me siwezi kulia,nitamtupa Kagera awe chakula cha mamba"?.

Au Amin hakuwa mtu?hakuwa rais?
daahhh😃😃

umenikumbusha enzi za kidumu na ufagio
 
Back
Top Bottom