kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Fanya hima apate wakiliDuuuuu Jamaa mmoja hapo katika hao ninamfahamu Asifiwe Mwasaga ni dereva wa magari ya mizigo yanayopaki Mwanjelwa karibu na sheli ya Chipukizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya hima apate wakiliDuuuuu Jamaa mmoja hapo katika hao ninamfahamu Asifiwe Mwasaga ni dereva wa magari ya mizigo yanayopaki Mwanjelwa karibu na sheli ya Chipukizi.
Sijawahi kuuwa hata sisimizi
Kayafa kafaKama jitu limeua ndugu zangu,limeua wazazi wangu,limeninyima haki ya kuchagua viongozi ninaowapenda,linaua watu kwa kudai kuwa hakuna Corona na kukejeli wanaovaa barakoa,linaua biashara,linaminya uhuru wa kujieleza,linateka watu na kuwaua na kadhalika likifa lazima nifanye sherehe.
🤣🤣🤣Kayafa kafa
Katufanyizia miaka mitano tuacheni na sisi tufurahie mwezi mmojaSioni haja ya kuendeleza chuki dhidi ya magufuli. Maana huyo hayupo tena.
na ukiendeleza chuki na marehemu watu watakuona ni mtu wa AJABU
Katufanyizia miaka mitano tuacheni na sisi tufurahie mwezi mmoja
daahhh😃😃Kazi ya serikali ni kupangia watu hisia?.mbona wao walikuwa wanatufundisha nyimbo mashuleni walizoziitikadi kuwa za kizalendo kuwa "Idd Amin akifa me siwezi kulia,nitamtupa Kagera awe chakula cha mamba"?.
Au Amin hakuwa mtu?hakuwa rais?
Nakwambia ilikuwa tabu kweli kweli mkuu wakati wa mchaka mchaka[emoji1787][emoji1787]daahhh[emoji2][emoji2]
umenikumbusha enzi za kidumu na ufagio