Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mbeya wamezidi.Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo Mh Mariam Mtunguja alipokuwa anazungumza na madiwani na watendaji wa Halmashauri hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani .
" Ni aibu sana kuona mpaka leo hii eti ukipita katikati ya mji kuna nyumba za tope " Alisema .
Za Kariakoo Zipo za Tope ila Nje Zimechapwa Plasta huwezi Jua.. Nakumbuka Nyumba ya Udongo ya Mwisho ilikuwepo Mtaa wa Muheza baadae pakageuzwa nyumba Banda la Mpira kisha pakabomolewa Likajengwa ghorofa kubwa miaka ya 2000-2005.Kariakoo hamna nyumba ya tope, Kwa Mbeya kweli ni aibuuu
Bila shaka n Ilemi na airport ya zaman 🤣🤣🤣🤣🤣Hizo nyumba ziko mbeya maeneo gani
Blok t,forest,blok q,uhindini,ghana au
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
SokomatolaHizo nyumba ziko mbeya maeneo gani
Blok t,forest,blok q,uhindini,ghana au
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ujafika kariakoo kuangalia nyumba za tope Ni nyingi sana pale, zimefunikwa na maghorofakariakoo ipi hiyo mkuu!!!!
Kariakoo nyumba lukuki ni za tope , wenyewe watahamishwa lini ?
Na kweli waanze na zile nyumba za miti + matope Kariakoo. Waache unaa na ujuajiKariakoo nyumba lukuki ni za tope , wenyewe watahamishwa lini ?
Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo Mh Mariam Mtunguja alipokuwa anazungumza na madiwani na watendaji wa Halmashauri hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani .
" Ni aibu sana kuona mpaka leo hii eti ukipita katikati ya mji kuna nyumba za tope " Alisema .
kariakoo ipi hiyo mkuu!!!!
Kariakoo hamna nyumba ya tope, Kwa Mbeya kweli ni aibuuu
Mbeya nmekaa nmepiga sana debe hko enz za magari chai maharage alaf nlikuw chali sanaNadhani mbeya ni Kati ya miji yenye nyumba nyingi za tope. Ila uwekwe utaratibu mzuri kwa wamiliki wasifukuzwe
Maendeleo hayana vyama
Ahh duhBila shaka n Ilemi na airport ya zaman [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama walivyofanyiwa watu wa Kimara na MbeziWatalipwa fidia au ndiyo watafukuzwa kwa kutumia polisiccm?
Kko zipo,kinondoni zpo mwqnanyamala zpo magomeni zipoUjafika kariakoo kuangalia nyumba za tope Ni nyingi sana pale, zimefunikwa na maghorofa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata upande wa club ya yangaWewe hujazunguka kariakoo.. nenda kariakoo karibu na msikiti wa near kituo cha mwendo kasi msimbazi
Wanaongelea nyumba za tope lipi??!!Kama zile tofar mbichi Mbeya Basi aachane nazo tu!nyumba ya mzee wangu now Ina miaka 35 haijawahi tetereka hata ufa tu!!!.Hizo nyumba ni imara sana. Aache ushamba na asikariri kuwa nyumba za tofalu mbichi ni mbovu. Kuna nyumba hapo zinakaribia miaka mia na tifali ni mbichi.
MITANO TEEENAAAAAAgizo hilo limetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo Mh Mariam Mtunguja alipokuwa anazungumza na madiwani na watendaji wa Halmashauri hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani .
" Ni aibu sana kuona mpaka leo hii eti ukipita katikati ya mji kuna nyumba za tope " Alisema .