Mbeya: Wenye nyumba za tope mjini kuhamishwa

Lack of creativity, angesema hivi; wenye nyumba hizo waingie ubia na matajiri, wajenge ghorofa na wao waape sehemu za kuishi kwenye hayo makazi mapya kwa utaratibu wa win win
 
Atawajengea nyumba za kisasa anazotaka yeye au anataka tu familia za watu zipate taabu. Mkumbusheni watu wa Mbeya siyo wa kuchezea.
 
Tatizo kubwa lilopo Tanzania huwa hatujuagi kutatua matatizo.huwa tunatatua matatizo kwa kuongeza matatizo.
Huu msemo wako unaweza kuwa kati ya misemo ya busara hapa JF. Ni kweli kabisa. Nchi yetu viongozi wanatatua matatizo kwa kuongeza matatizo. Kila kona ndivyo hivyo. Hii inatokana na viongozi kutotafakari kwa kina na kuwashirikisha wanannchi kabla ya kusema au kufanya kitu. Tunaongozwa kwa viongozi kutoa amri na matamko yanayoongeza matatizo badala ya kuyatatua.
 
Sijui cha kusikitisha ni hiki alichokisea huyu katibu wa mkoa au hizi comments nilizo zisoma? Aibu iko wapi mtu anaishi nyumbani kwake? Kama serikali au jamii inakerekwa si iwaboreshee nyumba zao.
 
Naunga mkono hoja.

Lakini wahamishwe kwa utararibu utaoridhisha pande zote.

Mkiwaswaga nakuja kufufua maandamano kama ya 2011.Andaeni jeshi.
 
Lack of creativity, angesema hivi; wenye nyumba hizo waingie ubia na matajiri, wajenge ghorofa na wao waape sehemu za kuishi kwenye hayo makazi mapya kwa utaratibu wa win win

Naunga mkono hoja.

Lakini wahamishwe kwa utararibu utaoridhisha pande zote.

Mkiwaswaga nakuja kufufua maandamano kama ya 2011.Andaeni jeshi.
kimara walihamishwaje ?
 
Nadhani Mbeya ni Kati ya miji yenye nyumba nyingi za tope. Ila uwekwe utaratibu mzuri kwa wamiliki wasifukuzwe

Maendeleo hayana vyama
Mbeya nyumba nyingi za tope ila waangalie tope jenyewe tope la mbeya tofauti na tope la morogoro, Dodoma, singida, mwanza, arusha

Tofari la tope la mbeya siyo biskuti kuwa utajenga boma kama ujaezega mvua ikija litaloa litabomoka tope la mbeya gumu na ndio maana mbeya nyumba nyingi kina fensi za tofari za tope na hazidondiki, nyumba za tope zinapigwa blasts ya cement Ila haibanduki

MY TAKE
Wenye nyumba za tope mbeya mjini wazipige plata nyumba zao maana asilimia kubwa nyumba hizo hazina plata si wazivunje kwa sababu mazingira ya uko ujenzi wa tope ni salama na imara
 
Bora mkaanze kujenga mji mpyq wa Mbeya maana nyumba za tope Mbeya ni nyingi kuliko hizo za tofari za kuchoma au cement. Mitaa yote ya makunguru, soweto, Mwanjerwa, mabatini nk kote tope tupu.
 
Mbeya nyumba nyingi za tope ila waangalie tope jenyewe tope la mbeya tofauti na tope la morogoro, Dodoma, singida, mwanza, arusha

Tofari la tope la mbeya siyo biskuti kuwa utajenga boma kama ujaezega mvua ikija litaloa litabomoka tope la mbeya gumu na ndio maana mbeya nyumba nyingi kina fensi za tofari za tope na hazidondiki, nyumba za tope zinapigwa blasts ya cement Ila haibanduki

MY TAKE
Wenye nyumba za tope mbeya mjini wazipige plata nyumba zao maana asilimia kubwa nyumba hizo hazina plata si wazivunje kwa sababu mazingira ya uko ujenzi wa tope ni salama na imara
Tatizo wengi ni washamba akiona tofali bichi basi anadhani ni sawa na nyumba za kwao za udongo. zile tofali ni imara sana , nyumba nyingi pale Mwanjelwa ni za tofali mbichi na zina miaka zaidi ya 60 na hazina hata dalili ya kuanguka leo wala kesho. Cha muhimu hapo ni kushauri zipigwe plaster ili zipendeze.

ujenzi hutegemea na ubora wa materials ya eneo husika. Kuna mzee mmoja aliona ulaya wanajengea mbao basi naye akaiga kujengea mbao Dodoma matokeo yake kila siku anakarabati.

maeneo ya Nonde, mabatini na Ghana nyumba zimejengwa kabla ya uhuru na mpaka leo zipo imara na hazijapigwa plaster wala nini. wanaosema sio imara waje na ushahidi wa kisayansi.
 
Namuunga mkono katibu tena wamechelewa sana haiwezekana jiji kuwa na nyumba nyingi za udongo tena mjini kabisa. Mbeya mji mkubwa sana lakini ukianza kutafuta nyumba za kupanga ndio utashangaa nyumba nzuri hazipo kila nyumba unayopelekwa na dalalali utakuta either ya udongo, haina rangi au tiles yaani Mbeya ni jiji la tofauti sana.
mh! hizo nyumba nzuri ulikua unatafuta wapi?.kama ulikua unatafuta kwetu ilemi, iyela, sinde, ikuti, iyunga,nzovwe, simike,Isanga huwezi kuzikuta. Ila ukiwa na bajeti ya 200k-300k kwa mwezi unapata apartment kali maeneo ya ituha,isyesye, block T, Soweto, Forest, Iwambi.
 
Tatizo wengi ni washamba akiona tofali bichi basi anadhani ni sawa na nyumba za kwao za udongo. zile tofali ni imara sana , nyumba nyingi pale Mwanjelwa ni za tofali mbichi na zina miaka zaidi ya 60 na hazina hata dalili ya kuanguka leo wala kesho. Cha muhimu hapo ni kushauri zipigwe plaster ili zipendeze.

ujenzi hutegemea na ubora wa materials ya eneo husika. Kuna mzee mmoja aliona ulaya wanajengea mbao basi naye akaiga kujengea mbao Dodoma matokeo yake kila siku anakarabati.

maeneo ya Nonde, mabatini na Ghana nyumba zimejengwa kabla ya uhuru na mpaka leo zipo imara na hazijapigwa plaster wala nini. wanaosema sio imara waje na ushahidi wa kisayansi.
Kiingozi hautakiwi kukariri mambo. Unatakiwa kuongoza kulingana na hali ya eneo husika. Ye katoka huko anafikiri ni sifa kusema nyumba tope, sijui wahame na mambo mengine ambayo siyo practical. Anafikiri ni tope kama za kwao wanazochanganya na miti.
 
mh! hizo nyumba nzuri ulikua unatafuta wapi?.kama ulikua unatafuta kwetu ilemi, iyela, sinde, ikuti, iyunga,nzovwe, simike,Isanga huwezi kuzikuta. Ila ukiwa na bajeti ya 200k-300k kwa mwezi unapata apartment kali maeneo ya ituha,isyesye, block T, Soweto, Forest, Iwambi.
Siyo tu eneo, huyu itakuwa alikotoka walimwambia Mbeya kuna vyumba hadi vya elfu kumi (ambalo ni kweli). Sasa kaenda kwa dalalai anataka chumba cha elfu kumi anataka apelekwe Ituha, Iwambi, Isyesye, uzunguni, forest mpya, Mwambene au forest ya zamani.

Dalali kampeleka Ilolo, Ilemi, Makunguru, Nonde anakuja kulia lia hapa na elfu kumi yake.
 
Back
Top Bottom