The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Wajiandikishe ili waende kwenye uchaguzi upi na ili iweje...?Ccm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.
Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
Wewe kweli ni ng'ombe! Kazi ya kuhamasisha watu kijiandikisha katika daftari la wapiga kura ni ya Tume ya Uchaguzi.Ok baada ya reform utapiga kura na hujajiandikisha?
Virusi vya Mpox na Ebola vinauzwa wapi? Tunataka majibu kutoka kwa Mwehu Makalla?Leo nyagi na nyama zitapata tabu sana Mbeya,
mpaka hao vibaka wa siasa warudi dar matone matone yote yatakua yamekauka dah!
🐷🐷🐷Ila chadema cjui wanakwama wapi, ccm ilivyomtangaza samia kuwa mgombea ety wao wanabaki kulalamika kuwa muda haujafika 😂
Hawa ccm n kwenda nao hatua kwa hatua, kama sasa hv kwenye kujiandikisha chadema nao walipaswa kuhamasisisha wanachama wao kujiandikisha, ila wao wanajiona wataalam zaidi, mwisho wa siku wanakuja kulialia wameibiwa kura hvy watu tuandamane ili wao waingie serikalini 😂
Sasa nyie chadema endeleeni kulalamika miaka yote tuu mkidhani ccm ni bibi yenu, mnaona ccm wameshatangaza wagombea wao nyie mnabaki kuwasubir tume ya uchaguzi ndo watangaze ratiba 😂 tume hy hy ambayo nyie mnailalamikia kila siku 😂Upeo wako wa kuchambua mambo ni mdogo
Kabla ya hii no reform no elections Kulikuwa Na movements ngapi nyuma na vp ziliweza kufanya kazi?Wajiandikishe ili waende kwenye uchaguzi upi na ili iweje...?
Kwani hao CCM kushinda uchaguzi wanahitaji waliojiandikisha..?
Wewe bado ni mjinga tu kuamini upuuzi huo...?
CCM hii ujiandikishe, usijiandikishe kwao haina maana yoyote kwa sbb kushinda kwao wala hawahitaji uchaguzi wala kujiandikisha kwako...!
Wewe nenda kapoteze muda wako huko kama mjinga na mpumbavu fulani hivi...
##NO REFORMS, NO ELECTION ndiyo itakupa jibu la maana ya kujiandikisha na hivyo thamani ya kura yako...
Jiunge kwenye movement wewe, amka, toka usingizini, acha kuwa mjinga...!!!!
Zote zilifanya kazi vyema kabisa maana zimeifanya CCM izame deep zaidi kwenye kuiba uchaguzi wote na sio kura tena...Kabla ya hii no reform no elections Kulikuwa Na movements ngapi nyuma na vp ziliweza kufanya kazi?
Wewe tatizo lako ni ujinga ndio unakusimbua...Aisee n kweli sio watu wote tumeumbwa ili tuwe viongozi ila Mm ningekuwa kiongozi wa chadema bc kila siku ningekuwa rumande mana nngeenda hatua kwa hatua na ccm yn jino kwa jino, ccm wametangaza wagombea wao kabla ya muda bc Mm hakuna kulalamika n mwendo wa kuchagua wagombea na Mm, ccm wanapiga kampeni kimya kimya na Mm naenda nao sambamba napiga kampeni kimya kimya n.k
Kimsingi nakuona kabisa, you are sailing in the same boat na CHADEMA....Tatizo lenu chadema nyie mnaendesha mambo yenu kwa kubembeleza system wakati wenye system wanaenda rafu afu mwisho wa siku mnataka huruma ya wananchi, hamuhamasishi wanachama wenu kujiandikisha afu mtakuja kuwaambia waandamane kupinga matokeo ya uchaguzi 😂
Dah 😂 nimeishia kusoma hapo mwanzoni tuu, ila nakuunga mkono kwa yote uliyosema hapa 😂Zote zilifanya kazi vyema kabisa maana zimeifanya CCM izame deep zaidi kwenye kuiba uchaguzi wote na sio kura tena...
Sasa Ili kukomesha kabisa hilo, movement ya NO REFORMS, NO ELECTION ndiyo ya mwisho na Tanganyika na Zanzibar zinakwenda kukombolewa kutoka kwa mkoloni mweusi aitwaye CCM...
Wewe tatizo lako ni ujinga ndio unakusimbua...
Utangaze kugombea kwenye uchaguzi upi? Huu unaojua kabisa kuwa unakwenda kuenguliwa kwa kuwa eti hujui kusoma na kuandika...?
Acha ujinga. Toka usingizini. Pigania kwanza mifumo ya usawa, haki na uwazi ktk chaguzi zetu Ili uwe na uhakika kuwa ukiwa mgombea unaenda kushindana kwenye sanduku la kura...!
Kipi usichokielewa hapo wewe masikini wa akili na ufahamu...!!???
Kimsingi nakuona kabisa, you are sailing in the same boat na CHADEMA kupitia kauli mbiu ya No Reforms, No Election...
Kwa sababu, kwa mfano:
1. Unaingiaje kwenye uchaguzi ambao wewe mwenyewe unasema "wanachezewa rafu" na mpinzani wao kwa sababu sheria, kanuni na taratibu zote za mchezo (uchaguzi) zinampendelea yeye...?
2. Ili kurekebisha hili, unadhani utafanya nini ili kupata uwanja ulio sawa wa mchezo? Bila shaka ni kipigania mabadiliko ya kisheria, kikatiba, kikanuni na taratibu za uchaguzi kwanza...
3. Kama utajibu maswali hayo👆👆vizuri na kwa ufasaha, basi itakuwa umeelewa maana ya movement ya NO REFORMS, NO ELECTION...
##Tunataka chaguzi za kweli, za haki, za wazi zinasimamiwa na sheria na kanuni zisizompendelea awaye yeyote...
##Mabadiliko haya hayawezi kuletwa na watu kujiandikisha kwenye Daftari la wapiga kura ambalo hata huwezi kuliona zaidi ya yule anayejishindisha uchaguzi mwenyewe...
##Aidha Moja ya taasisi inayotakiwa kufanyiwa mabadiliko ni hii inayojifanya kuandikisha wapiga kura wakati kinachofanyika ni uchafu na usanii mtupu...!
Mpaka sasa una ujualo reform ni pamoja na kuandikisha wapiga kura PhD yako mashaka matupuCcm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.
Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
Sitaki na sihitaji uniunge mkono wako wowote....Dah 😂 nimeishia kusoma hapo mwanzoni tuu, ila nakuunga mkono kwa yote uliyosema hapa 😂
Mm sina tabu ww kuniita mm mjinga mana hunijui na sikujui hvy upo sawa.Sitaki na sihitaji uniunge mkono wako wowote....
Ninachotaka mimi ni wewe uelewe ili uelimishe wengine pia ili nao waelewe kisha tuingie kwenye mapambano wote tukiwa tunaelewa...
Kwa wakati nakuita "mjinga". Sikutukani bali nakuwa na maana kuwa "huelewi" kwa sbb mjinga na mtu asiye na ufahamu au uelewa wa jambo au kitu fulani...
Soma tena post yangu #47 hapo juu ili ikujengee ufahamu zaidi juu ya suala hili...
Sihitaji kuijua sura yako....Mm sina tabu ww kuniita mm mjinga mana hunijui na sikujui hvy upo sawa.
Jipya ni lipi ulilonalo wewe?Sina haja ya kusoma post yako #47 mana sijaona jipya uzi mzima huu.
Duuh🤔🤔🤔Mm sio shabiki wa siasa za Tanzania hvy huna la kunielewesha na sina muda wa kuwaelewesha wngn.
Daftari linarudiwa kuandikishwa tena mwezi wa tano. Hata hivyo ccm hawategemei kura. Ni ujinga kuendelea kushiriki kwenye chaguzi za udanganyifu kwa maelezo kama hayo yako. Na lwanini ww usipite mitaani kuhamasisha watu wakajiandikishe kushiriki hizo chaguzi za kihuni?Ccm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.
Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
Watu tuna vitambulisho vya kura muda mrefu. Hata hivyo hao wote wanaoenda kujiandikisha una uhakika gani ni wanaccm tu?Ok baada ya reform utapiga kura na hujajiandikisha?