PreGE2025 Mbeya: Yanayojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya 'No Reforms, No Election' ya Chadema kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Cdm hawaigi chochote toka ccm. Na kama unaona vipi, kwanini usianzishe chama kikafanya haya unayowashauri cdm?
 
We unazani kuna reform itafanyika Tanzani nchi ya watu wazembe namna hii. Hata wasue maisha hamna reform yoyote ya maana inayoweza kufanyika Tanzania. Watu wako tayari wahongwe visambusa wasaliti wakate wenzao wanahomola mabilioni ya fedha. Kama mtu anaweza kuwapa mamilioni ya fedha vilabu vya mpira huyo mtu mweenye hela za kuchezea namna hiyo atakuwa tayari kuachia madaraka. Hao CDM sasa hivi watavurugana ngoja mipango isukwe.,,
 
Ccm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.

Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
Kujiandikisha ni kuhalalisha wizi wa kura kwa CCM. Kama phd holder unashindwa kuliona hilo maana yake kuna ubutu fulani kwenye phd yako. Uende tu VETA daktari tukanyooshe huo ubutu kidogo
 
No Reform no Election
 
Wataamka mdogo mdogo
 
 
Mungu ibariki Chadema
 
Dr.Slaa ni da House✌️✌️✌️πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
CHADEMA mpox
 
keCcm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutanoay.

Kuna wrong strtegy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
Ole wake atakaye panga mstari kupiga kura mwaka huu
Ccm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.

Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
 
Bwana John Heche Mungu amlinde huyu ni rasilimali adimu kwa ajili ya Tanzania yetu
 
Kwani hao wanao jiandikisha wamekuambia ni wanachama wa ccm? Huu upumbavu utakuisha lini?
 
Mkutano wa kwanza umeanza kwa mafanikio makubwa sana.

Hakuna blaa blaa, hakuna wasanii ni nondo tu na wananchi wanaelewa na kufurahi.

Hongereni Chadema. Mungu azidi kuwasimamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…