PreGE2025 Mbeya: Yanayojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya 'No Reforms, No Election' ya Chadema kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ccm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.

Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
Hilo daftari lenu fake lililosheheni wapiga kura wanafunzi linatakiwa lifumuliwe, hakuna UCHAFUZI mwaka huu.
 
Mkutano wa kwanza umeanza kwa mafanikio makubwa sana.

Hakuna blaa blaa, hakuna wasanii ni nondo tu na wananchi wanaelewa na kufurahi.

Hongereni Chadema. Mungu azidi kuwasimamia.

..bado mikutano ya wapinzani ina kero za ma-dj wanaochombeza na kukatisha hotuba za viongozi.
 
Ccm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.

Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
Baada ya uchaguzi watasema wameibiwa kura! Ahahahahaha! Kweli wajinga ndio waliwao!
 
NONSENSE!
 
Mbona Mbowe simuoni??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…