Mbeya: Zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kuwatetea Dkt Slaa na Wenzake

Hao mawakili hawana kazi ya kufanya, mi najiuliza mawakili wanafanyaga kazi gani ya uzallishaji, ni km wachawi kazi yao ni kuzalisha migogoro ili wapate chakula, nimekuja kuiona sheria ni fani ya laana. Wanatumia sheria kusumbua nchi, ili tusonge mbele kimaendeleo inatakiwa tupate Rais atakayewapuuza hawa wapumbavu. Eti mawakili 100, hata wangekuwa 1000 watabadilisha kosa?

Halafu sijaona jitu pumbavu km lile wakili la Dr. Slaa sijui linaitwa Mwakilima, ni km anashindana na serikali, eti tunawasubiri serikali kwa hamu ili tupambane? Wako pale kulinda uhalifu? namaaanisha uhaini. Serikali muwe very strong hawa watawayumbisha sana ikiwa ni pamoja na kuwachafua mbele za macho ya kimataifa hawana jema hawa, hawana uzalendo, wako tayari kuona nchi hii inaangamia kwa ajili ya matumbo yao na vibaraka wao. Wafinywe vizuri huko mahabusu warudi wakiwa wanajua serikali ni nani, wasitoke kabla ya 2025 hata km watashinda kesi. Wapumbavu kabisa wengine siyo raia huko hasa Mwabukusi, yule ana hamu ya kuiangamiza nchi yetu
 
avunje baraza una ndugu zako unafikiri wataingizwa ktk hilo baraza mpya? Fanya mambo yako achana na mambo yaliyo juu ya uwezo wako.
 
Umeishia darasa la ngapi ?
 
Mbeya mna mzuka mpaka mbaboa😆😆
washamba sana hao wanyakyusa, bandari ya Dar es Salaam wala haiwahusu, wenyeji bandari yao wako kimya kistaarabu sijui wao wanyakyusa wanawashwa na nini, wanafiki wakubwa, wana lao jambo siyo bandari. Ila wajue nchi yetu iko strong watanyooka wote wapumbavu hao. Kuna wanasiasa wanawatumia vibaya maana nimeona wananchi wamevamia eneo la TARI wanaitwa ofisi ya mkuu wa wilaya akiwepo waziri wa kilimo wanasema wako busy, kuna watu wanawadanganya kwamba wasiitii serikali, siku yakiwakuta wasije kulialia km hao wapumbavu wanavyolialia sana sahivi kule mahabusu. Mara wagome kula, si waache kula kwa faida yao, au wakiamua wajifie huko. Rais aliwatahadharisha km hawajamwelewa labda watakuwa na rais wao, wasije shangaa wakikutana na magreda yanabomoa yale mabanda yao. kuna wanajiita machifu nao wanajikakamua kuposha wananchi, machifu wa nchi hii hawana mamlaka yoyote kazi yao ni kutambikia tu kwenye makabila yao, na kuna maaskofu wa mchongo kule Mbeya wanawadanganya wananchi wasiwatii viongozi wao, sijui wanatumia biblia gani maana biblia inatutaka kutii mamlaka maana mamlaka zote zatoka kwa Mungu.
 
Jinsi unavyo mu hate mwamba mwabukusi[emoji28]

Usiombe akuinamishe akupige chuma mboga.
 
Kadiri mnavyohangaika ndivyo mnavyorefusha urefu wa kesi

Kama mngekaa kimya hata wiki isingefika Dr slaa angekuwa yupo sebuleni kwake anakunywa supu

Maana hao mawakili hata wawe 1000 hawawezi kushinda hiyo kesi kesi kama hizo huwa zinamalizwa Kwa simu Moja tu kutoka Chamwino
 
TLS si wamehongo kiwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…