Mbeya: Zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kuwatetea Dkt Slaa na Wenzake

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake IPTL -Independent Power Tanzania Limited.

Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes.
ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.

SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1

Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:

My take.
Muda si mrefu tutasikia Tanzania yashindwa kesi na DP world yatakiwa kulipa trillioni 15.

Njia mpya iliyobuniwa na wajibu ndani ya serikali kuchota kodi za walala hoi, unasaini mkataba wa kijinga ambao ni kichaa tu anayeweza kuuvumilia alafu ukiulizwa unasema tumeshindwa kesi tulipeni tu.
 
Wenzako wananyea ndoo wewe unakazania propaganda,,

Nyie ndio mliokuwa mnamwambia Slaa asijar mpo nyuma yake.
Mzee wa watu akajiropokea saiz anajuuta.

Hizo ndio tabia za watu wa mitandaoni
Jamaa Mzalendo
Haogopi
Anafaa kuwa Rais

Baadaya kukamatwa
Tuko pamoja na wewe
Wasizani wanakukomoe ndio ujasili unaongezeka
Mungu atakusimamia
Tuko nyuma yako
Hapo watu washakuacha
 
Ikiwezekana, wajitokeze mawakili hata 1,000, na kesi iendeshwe kwenye viwanja vya wazi, wananchi wote washuhudie jinsi tulivyo na jeshi la polisi na Serikali ya kishetani.
 
Wekeni account za benki au namba ya mpesa wazalendo tuweze kuwachangia hao mawakili ,
Tunataka bandari zetu huwezi kuuza bandari za Watanganyika kama unauza maandazi kibarazani kwako
 
Rais yuko huu ya katiba, hivyo sheria na mamlaka zooote zinamtii..

Hata wangeungana mawakili wote nchini hawataweza. Hatma ya akina Dr. Slaa iko mikononi na nafsini mwa rais.
Yeye ni mtu tu sio na sio Mungu, sisi tunalia na Mungu tu sasa tuone mwisho wake
 
Ukitumia makalio kufikiri ndio matatizo yake haya yaani ni kuandika ujinga tu
 
Kama humwelewi Dr Slaa hajawhi nyamazia ufisadi wenu so hajutii!

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
Rostam alishamtaja kwa jina hadharani kuwa ni Mla Rushwa na walimhonga 2015 amkatae Lowassa

alivyompenda Sifa yule Babu ingekuwa Rostam hana ushahidi lazima angeenda Mahakamani kumshtaki …lakini akikumbuka labda Rostam ndio Mwenyewe alimpa hizo fedha pengine alimrekodi kabisa
 
Kuna Kesi iliyotingisha kama Ma Sheikh wa Uamsho ?

kama masihara Wakakaa jela miaka ambayo Mimba ilitungwa hadi Mtoto akawa darasa la Pili ndio wakatoka na maisha yakaendelea kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…