Mbezi mwisho ingejengwa hivi, Tanroad wangepungukiwa na nini?

Mbezi mwisho ingejengwa hivi, Tanroad wangepungukiwa na nini?

Kuna project naiona inaendelea pale siielewi, ni kama flyover inajengwa pale, either mbili au moja nimeona. Kuna upanuzi wa barabara ya kwenda na kutoka kwa magufuli. Kama una hints toa tuone kinachoendelea.

Nashindwa kuelewa kwa nini kuna project inaendelea na hakuna mchoro popote yaani bango kuonyesha nini kinafanyika.

Mabango yanini wakati project ni ile ile ilishaongelewa sana na kutangazwa?
 
Tabutupu project ya madaraja mawili inaendelea... hopefully itakuwa na taste inayoeleweka.
Screenshot_20220201-072224~2.jpg
 
Hii structure kwa pale ubungo isingetosha, kwa Mbezi nakubaliana na wewe kuwa inafaa sana na itapunguza foleni kwa asilimia 100. Ubungo tayari ilishabanwa na hiyo structure inataka space ya kutosha.

Nimeona kuna kazi inafanyika Mbezi, bahati mbaya wakandarasi wapo site bila mabango kuonyesha nini kinajengwa, sijui kama ni sawa katika Ujenzi.
Mkuu kama lengo lilikuwa ni kuondoa foleni hata ubungo ingekaa , kumbuka walibomoa jengo la Tanesco it's

Usihofie hizo rounds nne , huwa zinapunguzwa kipenyo na ku compromise vehicle speed, kadiri zinavyokuwa kubwa ndio magari yatazidi kupita na speed, ukipunguza maana yake magari yaipte na mwendo mdogo
 
Mabango yanini wakati project ni ile ile ilishaongelewa sana na kutangazwa?
Walishawahi kuonyesha nini kinafanyika? Ubungo kulikuwa na michoro kila kona, Tazara likewise, Kibamba pia..mbona Mbezi mwisho wasiweke. Mkuu kanuni za construction tunazijua.
 
Mkuu kama lengo lilikuwa ni kuondoa foleni hata ubungo ingekaa , kumbuka walibomoa jengo la Tanesco it's

Usihofie hizo rounds nne , huwa zinapunguzwa kipenyo na ku compromise vehicle speed, kadiri zinavyokuwa kubwa ndio magari yatazidi kupita na speed, ukipunguza maana yake magari yaipte na mwendo mdogo
Hizo cycles hazipati nafasi pale ubungo trust me, hata upunguze diameter zake kiasi gani hapatoshi. Vunja kituo cha mafuta, vunja vinu vya umeme then utapata hizo cycles.
 
Ujenzi unaoendelea pale ni wa zima moto , baada ya kuona junctions ile imeshakuwa notoriously danger .
Yani kama kenge ndo anasikia sasa baada ya damu kutoka masikioni.

For future reference hizi taa zote zilizowekwa kwenye barabara hiyo kuanzia stop over , zitaprove failure na itakuja kuamliwa kuwa flyover is the best answer , wakati huo itakuwa ni turufu ya kuombea kura na fursa ya kuchezea kodi zetu kwa mara nyingine.

Yani unajaribu kusema kila sehemu yenye mataa waweke fly over? Hahaha kwani kila sehemu yenye mataa kuna muingiliano mkubwa? Pale kwa Yusufu na pale njia panda ya goba panajengwa fly overs kwa sababu ya populatio na muingiliano wa watu na magari na pia huduma za eneo hilo lakini si kila kwenye mataa kuna stahili fly overs!
 
Walishawahi kuonyesha nini kinafanyika? Ubungo kulikuwa na michoro kila kona, Tazara likewise, Kibamba pia..mbona Mbezi mwisho wasiweke. Mkuu kanuni za construction tunazijua.

Ungekuwepo siku ya uzinduzi wa hii bara bara usingeliuliza au nenda youtube na kama ni bango nenda kimara au kibaha utakuta mabango ya project nzima au nenda pale ofisi za Estim gogoni,kimra, , mbezi kote kuna michoro imebandikwa utaona
 
Dah, mkuu kwa hiyo mabango hayakai site siku hizi? Mnaweka zilipo ofisi zenu? Hakuna structure yoyote YouTube inayoonyesha flyover za Mbezi zitakuwa na muonekano gani, kama zipo nipe link.
 
Yani unajaribu kusema kila sehemu yenye mataa waweke fly over? Hahaha kwani kila sehemu yenye mataa kuna muingiliano mkubwa? Pale kwa Yusufu na pale njia panda ya goba panajengwa fly overs kwa sababu ya populatio na muingiliano wa watu na magari na pia huduma za eneo hilo lakini si kila kwenye mataa kuna stahili fly overs!
Wakati tuoaogopa gharama za ujenzi kuna gahrama ya maisha ya watu yanayopotea hapo,
Hii barabara hadi unapona wameamua kuweka mataa , zinauwa sana watu na bado tunatapatapa kuweka robots
 
Hizo cycles hazipati nafasi pale ubungo trust me, hata upunguze diameter zake kiasi gani hapatoshi. Vunja kituo cha mafuta, vunja vinu vya umeme then utapata hizo cycles.
Sio lazima zikae hapo, if my memory serves me best nafikiri nimewahi kuona south mji flani
Ni kwamba cycle ni kwamba cycle ya kutoa magari sam nujoma kuleta morogoro road , badala ya kuvunja vinu vya Tanesco ingeweza kukaa hata baada ya daraja na kuzungukia ubungo maziwa then ina connect morogoro road, same applies hii ya kuyoa magari ya morogoro road ukitokea kimara ingeweza kukaa pale palipokuwa kituo cha mabasi ya mkoa badala ya kuvunja shell, kuna options pia za kupitisha juu hizo cycles kama wanavyofanya ujenzi wa nairobi express way
 
In that case ni sawa Ila construction costs zinaongezeka sana, hii iliyopo will serve us kwa miaka mingi sana bila tatizo.
 
Mkuu kama wewe ni mkazi wa jijini kama unafika mbezi mara kwa mara utakubaliana na mimi kabla ya kufika karibu na kwenye makutano ya njia panda kwenye goba kuna ujenzi unaendelea na si ujenzi mwingine bali ni fly over kwaajili ya magari ya kwenda goba na mpiji magoe pia

Ndio ungenisaidia picha au reference nikarejea kua ujenzi umeanza na budget yake ni ipi
 
Kila siku najiuliza kwanini hawa Tanroad wanafanya vitu kwa kubashiri sana.. Huwa nikipita pale mbezi mwisho naumia sana wanavyo lichezea lile eneo.

Kama ni Mhandisi usipite pale unaweza zimia kwa vituko tanroad wanatufanyia.

Design za barabara (highway) nyingi zinaeleweka, kwanini kujifanya mna ubunifu wakati mnachezea pesa za kodi na kuharibu maeneo ambayo yangeweza rahisisha maisha ya watanzania.

Consultant wa barabara ya kimara vs kibaha sijui mlimtoa wapi?

Mbona kenya wanafanya vitu vizuri kabisa.. kwani ni dhambi kukopi?View attachment 2102241View attachment 2102251
Kenya kote huko Uganda tuu hapo hatuwafikii..

Tzn tuna mambo ya hovyo kabisa yaani hatupendi vitu vizuri na hatuwezi kujenga hoja vizuri 👇

Screenshot_20220119-142506.png

Screenshot_20220119-142349.png
 
Halafu wakawa wanatoa sifa za kijinga kwa yule mfugale kwa ujinga kama huu wa Mbezi mwisho alishindwa hata kudesign kitu kizuri? Yaani mnaenda kutulundika kwenye foleni nusu saa nzima daladala inasubiri kutoka stendi? Tanroads wendawazimu
 
Hatuna haja ya kujifananisha na yeyote akiwemo (KENYA) na kuhusu kinachofanyika palee ngoja kikamilike utakuja hapa kupongeza.. mbuyu ukiwa mdogo mdogo hauwezi kuupa heshima kama mbuyu ukishapevuka ki umbo
Yaani hadi usubiri wamalize ndio ujue kwamba pale hakuna flyover,overpass wala underpass bali kusubiriana kwenye foleni? Acha hizo mkuu
 
Ukitaka kujua Tanroads ni wajinga angalia tu ule mbanano wa kuanzia kimara hadi ubungo....hata road za muda tu za pembeni kusaidia foleni hawaweki...afu mwisho wanakuja kumpa legacy mtu mzembe kisa kadesign ka-flyover ka tazara...hakustahilu
Ka.flyover kenyewe ka hovyo na ka kishamba.
 
Back
Top Bottom