Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Kuna project naiona inaendelea pale siielewi, ni kama flyover inajengwa pale, either mbili au moja nimeona. Kuna upanuzi wa barabara ya kwenda na kutoka kwa magufuli. Kama una hints toa tuone kinachoendelea.
Nashindwa kuelewa kwa nini kuna project inaendelea na hakuna mchoro popote yaani bango kuonyesha nini kinafanyika.
Mabango yanini wakati project ni ile ile ilishaongelewa sana na kutangazwa?