MBEZI: Rais Magufuli azindua kituo kikuu cha Mabasi ya Mikoani


Watakavyokuwa wanabadili jina nashauri wazingatie alignment ya maandishi maana hapa wameyabana upande mmoja hawajazingatia vipimo kitaalam - mtazamo wangu
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Pia, leo nimepita sinza zinafungwa taa baada ya kutandika double road za maana
Hongera za nn? Kwani katumia hela yake au ya mkewe kujenga kile kituo? Ni Kodi zetu.
 
Hongera za nn? Kwani katumia hela yake au ya mkewe kujenga kile kituo? Ni Kodi zetu.
Ukijenga nyumba yako kwa hela zako unapewa pongezi na watu wasioishi ndani mwako.
 
Naomba tumpe pongezi raisi wetu magu,Kazi imefanyika.
Yaani hela za kujengea hiyo stendi zimetokana na kodi lukuki tunazo lipa sisi, halafu pongezi apewe magu!! Haya nayo sasa ni maajabu. 😟
 
Ukijenga nyumba yako kwa hela zako unapewa pongezi na watu wasioishi ndani mwako.
Jiwe HATUFAI ajiuzulu tu kwa maslahi mapana ya taifa ili apanue wigo mpana wa watanzania wengine wenye uwezo, akili na adabu kuliongoza taifa.

TUMECHOKA
 
Tupia kapicha cha kusapoti uzi.
 
That not a favour its a responsibility
 
Ni wajibu wa serikali kuyafanya yote hayo . Au mnasahau wakati wa campaign walinadi ilani ya uchaguzi ?!
Na kujitoa pia bwashehe japo ni wajibu,si unaona ofisi za pale ufipa zilivyo japo ni wajibu wao kuziboresha lakini wameshindwa kujitoa bwashehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…