MBEZI: Rais Magufuli azindua kituo kikuu cha Mabasi ya Mikoani

MBEZI: Rais Magufuli azindua kituo kikuu cha Mabasi ya Mikoani

Pale hakuzindua Stend alizindua soko la wamachinga.Stendi imejengwa kwa gharama kubwa full kupendeza ingekuwa nembo fulani ya jiji.Ila Wamachinga ndio wanaenda kuharibu kabisa muonekano wake
 
Pale hakuzindua Stend alizindua soko la wamachinga.Stendi imejengwa kwa gharama kubwa full kupendeza ingekuwa nembo fulani ya jiji.Ila Wamachinga ndio wanaenda kuharibu kabisa muonekano wake
Very true
 
Kunywa sumu umfuate
Anywe tu ili akalione jiwe linavyoongoza malaika uko lilipo.

Naona alimaanisha malaika wa kuzimu enzi za uhai wake, mbinguni hawaenda wachawi, wazinz, wauaji, waongo n.k

Mungu ampeleke anakostahili.
 
Ila stone nilikuwa namkubali sana[emoji848]

Alikuwa hataki mazoea ya kingese ngese
Ukimuuliza swali la kijinga ana kuambia Baki nayo nyumbani kwako 😂 kama alivyo mwambia yule jamaa sijui ikuwa ni mbezi baki na ma..
 
Back
Top Bottom