Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

Wewe ni tabula rasa

Umesoma ila haujaelimika
Bro mbona unanitukana, kwani kosa langu lipowapi? Jamaa kasema Pepo inamaana mashetani. Sasa nikamuuliza mnaposema Peponi ina maana gani? Sasa nimekosea nini?
 
The concept of above is not real.
Sisi wanafizikia tunasema hakuna juu wala chini.
Juu ni dhana ya kuhusisha vitu viwili.
Ulimwengu una vitu viwili vikuu.
Space
Time.
Above is just a relative term(relativity theory).
Ulimwengu ni Ombwe kubwa ndani yake kuna vitu vingi vinaelea.
Bila kuzama sana kwa kuzingatia sheria za fizikia ni kwamba kila gimba moja linaweza kuwa juu ya lingine.
Kwa mujibu wa fizikia, ulimwengu huzaliwa na kufa, kuna galaxy system nyingi sana nazo huzaliwa na kufa
Pembezoni sana mwa galaxy yetu panaitwa hyperspace.
Hil jua ni sehemu ndogo sana ya galaxy na halipo juu wala chini.
Wewe ulienda juu ipi? Juu ya kitu gani.

Ndoto huwa ni imagination ya yale tuyawazayo mda mwingi wakati wa mchana.
Fikra zenu nyingi sana zimejikita kwenye ndoto na si uhalisia wa kuona,kusikia, kugusa, kunusa, kuonja.
Mnapozungumzia lugha, kiswahili ni lugha imegunfuliwa juxi tu hsta miaka 1000 hsina iweje huko mbinguni waimbe kwa kiswahili wakati dunia ipo tangu zamani, au uko wanafuata ugunduzi wa duniani.
Maelezo yako yanamashaks mengi sana na hayana logic.
 
Wanasayansi wanaenda in deep space kwa vyombo maalumu, wanadini wanaenda kwa kuota..
Mkija kuzindika mmebaki peke yenu wenzenu wapo mars wanajiandaa kwenda jupiter wakitumia roketi zenye speed kali zaidi ya mwanga.
 
Hata zumaridi the queen alisemaga hivi hivi tofauti ni aina ya maelezo tu.Ubarikiwe nabii wa kizazi cha leo.
 
Kapime akili yako usijekuwa una tatizo ambalo liko wazi. Kweli afya ya akili ugogoro kwa sasa duniani.
 
Elimu dunia uloisoma na kuiamini na kuitumia kujibu mitihani mpk ukaajiriwa imeclassify level mbalimbali za uchumi,shida ukishapata ugali elimu dunia mnaikataa
 
Wacha weeeeeeee japo huu upuuzi wako sijausoma hata punje. Nilipoona tu mwana fizikia, nikaacha.
 
Jibu kwanza mbona unayumba,unasema ulipaa juu bas nambie km unaamini mbinguni ni juu me nikupe nondo zangu unipe majibu?!!

Nataka nijue km una ufaham ama umechanganyikiwa?!
Hahaaaaaaa, haya bwana kuwa na usiku mwema.
 
Watumishi wanaotangaza kuwa wamekwenda mbinguni wanaongezeka Kila uchao, kalibia watatangaza sadaka na michango yakuwasaidia waumini nao waende mbinguni Waka msalimie Mungu.
Kwani ni kosa kufunuliwa kwenda Mbinguni? Nianze kujigunza kwako, wewe ni dini gani? Unaamini kuhusu uwepo wa Mbingu?
 
Na ulicho nacho ni kiwango cha juu cha imani
Barikiwa sana
Dunia ina mambo mengi, nimeona na kupitia mengi. Binafsi, nilikuwa kama hawa napinga uwepo wa Mungu. Ila baada ya kushughulikiwa nikamrudia Mungu naye akajifunua kwangu kwa namna ya ajabu. Toka 2012, nimeona na kujigunza mengi kuhusu Mungu. Hakuna mwanadamu wala Pepo litakalo nidanganya sasa nisiamini kuhusu Mungu.
 
Malaika alikuwa mwanaume au mwanamke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…