Hahaaaaa, zote ni kujilisha upepo tu mkuu, hata waende Jupiter ila wakizidi sana ni miaka 80. Wataacha vyote, watawekwa pamba mdomoni na masikioni. Watakuwa kama sanamu, hawataiona tena hiyo Mars, hawataviona tena hivyo vifaa, hawatakuwa na uwezo wa kuvipanda, watafukiwa kwenye kaburi then wataoza na kulowa na Simba. Je umilele wao utakiwa wapi? Bro, hata tufanyaje humu duniani ila kuchagua umilele wako ni jambo la msingi sasa. Umilele wa Roho yako usiyo haribika unaandaliwa sasa. Bro, Mungu ni kweli, Mbingu ni kweli na halisi, kuzimu ipo, Hukumu ya Milele ipo Mkuu. Jiandae sasa bro na umilele wako kwani hizo "science and abracadabra" hazikusaidii kitu.
Nilipomaliza Msc. Yangu pale SUA nilijiona Msomi, nikiponga uwepo wa Mungu ila niliposhughulikiwa na sciemce isiyoonekana na nikanusurika Kufa pale hospitali ya Mpanda sasa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi tarehe 6/6/2012 ndipo nilipojua kuwa Mungu yupo. Sema sana na tamba sana ila Omba yasikukute. Hiyo sayansi haitakusaidia kitu kwani ilipoishia sayansi, ndipo Ulimwengi wa Roho ulipoanzia
Usijibu kwa mihemko na fear of unknown.
Kila kiumbe kitakufa hata uwe unamiujiza hewa.
Hio juu alioenda huyo bwana ni juu ipi ?
Sijaandika mahala kuwa mungu hayupo au umeona hilo neno?
Napingana na illogical thinking za halucination za usingizini na kuzifanya kuwa knowledge.
Watu wa dini wanaishi ktk kutisha watu, hawana cha zaidi.
Wanasayansi wangesikiliza maneno ya wahubiri leo dunia ingekuwa very primitive.
Dini ni jambo la kimazingira tu, upo hio dini kwa sababu ya watu waliokuzunguka ni wa dini hio. Ungezaliwa urusi ungekuwa mpagani, ungezaliwa India ungekuwa mbudha. Kwa nini kuwe na madini mengi wakati mungu ni mmoja?
Kama una amini maelezo ya mtoa nada ya kwenda mbinguni basi hio master rudisha vyeti hukuelewa bali ulikariri.
Mtu mwenye master hawezi amini vitu hovyo.
Science inafundisha kuamini fact sio opinion.
Kwa hio na master yako unaenda kupewa mafuta ya upako ili ufanikiwe eti?
Umewahi kumuona kiwete miguu imenyooka kwa kuombewa?
Bora usingetambulisha kuwa una master, maana ni mambo ya ajabu yanayoendelea huko mnakoamini.
Kaa ujue kifo ni natural thing design by creator sio adhabu kama mnavyofikiri.
Uogope usiogope utakufa tu.