Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

Wewe ni kichaa ,nilidhani unakuja kwa hoja ya Mungu kukufunulia kuwa Mungu yupo kupitia akili ya Kiafrika kumbe bado ni akili za utumwa wa kifikira.

Hakuna mtu hapa duniani ambaye haamini kuwa MUNGU yupo na kama yupo basi swala la muda tu.

Uwepo wa Mungu unaweza kushudiwa kwa hoja ndogo sana kuwa kwanini kuna mtu,mbwa,mawe,ngomne,maziwa,milima,mvua,miti,nk.

Napia kwanini wanyama hawa kuna madume na majike wanaozaliana kwa sura ileile na kwa njiia ileile ya kujamiiana kwa asilimia kubwa hayo machache tu yanatosha kuthibitisha kuwa Mungu yupo.

Ndoto zipo tangu enzi za mababu zetu hata kabla ya TAG bali utafasiri wa ndoto unakuja kutokana na tafasiri ya kila kundi au itikadi.

Ujinga uliowakumba waafrikana kama wewe ni kujiita mkristu yaani unatokana na kristu wakati wewe ni Mbantu uliyetikana na mababu na mabibi zako.

Sasa hao walio kuletea TAG na kukufundisha kuhusu biblia ukaifuata na kusahau mila na desturi zako wakakuachia sheria na katiba za mila na desturi zao na kukwambia kuna mbinguni ukaamini na kufuata kumbe wanadumisha unyonyaji na upigaji kupitia sadaka kwa kisingizio cha UTUMISHI WA MUNGU au UINJILIST ni upumbavu.

Hivi kama hao walioleta TAG na kukufundisha biblia kwa kusema kuna kwenda mbinguni na tena wakakufundisha kuwa dunia ni DUARA na huko juu ni ANGANI ukiruka kuanzia point A hadi B kwa usawa uleule unarudi palepale ulipoanzia je bado inawaamini kwa kipi?

Umefika wakati WAAFRIKA tuamuake inakuwaje mtu anayekuaanda na kukuelekeza kwenda kwa Mungu aliyetuumba bure akutoze hela?unatafuta hela familia yako ni maskini unapelekea tapeli anayefanya biashara kwa kivuli cha MCHUNGAJI au ASKOFU eti anakuombea upate mafanikio ila yeye akitaka mafanikio MMCHANGIE HELA hiyo ni akili kweli?

Biblia ni sanaa ya kimaandishi inayoyawaliwa na mhusika mkuu ambaye ni yesu kwa kuvaa uhusika aliopewa na muigizaji uliye mtaja wa filamu ya yesu.

Utumwa wa kifira ndiyo umaskini wa Wafrika ombeni moja kwa moja kwa MUNGU mtapata siyo kupitia kwa hao matapeli masheikh na wachungaji hakuna kitu hicho mtu kama wewe hawezi kukupeleka mbinguni hata siku moja kama kweli hao wachingaji na masheikh wanauwezo huo basi wawaombee MAFISADI wote waomoke au wapotee sasa watawaokoa watu gani hao na kuwaandaa kwenda mbinguni wasikokujua wakati kuna majizi yapo tu wanashindwa kuayabdilisha?
Wacha weeee, ebu jaribu kusoma ulichoandika kama utakielewa. U much know mwingine unatia aibu mbele za watu. Bora ungepita kimya tu.
 
Shimo lisilo na maji si tigo hiyo Sasa au unazungumzia shimo gani?
Unaona unajifunua ni mtu wa namna gani na Roho ya namna gani inayokutawala. From nowhere unakuja kuandika mashudu na vitu vya hovyo. Hata kama sikujui ila una mapepo sio bure.
 
Atajua mwenyewe
Hahaaaaaaa, Biblia ina waita watu kama nyie ni "watu wajikataao" pole kwa kukata tamaa na kuelemewa na mizigo ya dhambi. Yesu ni pendo nawe u wa thamani kwake. Anakupenda na anakuita sasa umrudie. Ebu kaa kwa utaratibu na tafakari kuhusu maisha yako kuwa umetoka wapi na unakwenda wapi? Tafakari ni mangapi ambayo Mungu kakuvusha na kukupitisha? Mkuu, mrudie muumba wako sasa, yeye anakupenda sana nawe u mtu wa thamani kwake. Usijikatae hivyo tokana na mizigo ya duniani.
 
Mungu wa kwenye hivyo vitabu sio mungu muumba wa yote.

Nitakubali vyoteee ila nitabisha hadi siku nachomwa moto kuwa kuna "kuchomwa moto milele" wha a fuckin' dude is this..!!
Hata enzi za Nuhu walisema hivyo kwa kuwa hawakuwahi ona mvua kubwa. Sodoma na Gomora walisema na kutamba hivyo lakini hasi leo miji hiyo imebaki kuwa majivu kama ushuhuda wa vizazi na vizazi. Hukumu ya milele ipo hata, kuzimu ipo, jehanum ya moto ipo. Ni wewe kuchagua sasa umilele wako kuwa utaishi wapi. Acha kujidanganya.
 
Hahaaaaaaa, Biblia ina waita watu kama nyie ni "watu wajikataao" pole kwa kukata tamaa na kuelemewa na mizigo ya dhambi. Yesu ni pendo nawe u wa thamani kwake. Anakupenda na anakuita sasa umrudie. Ebu kaa kwa utaratibu na tafakari kuhusu maisha yako kuwa umetoka wapi na unakwenda wapi? Tafakari ni mangapi ambayo Mungu kakuvusha na kukupitisha? Mkuu, mrudie muumba wako sasa, yeye anakupenda sana nawe u mtu wa thamani kwake. Usijikatae hivyo tokana na mizigo ya duniani.
Sasa mkuu hapa najiandaa niende kazini kama Mungu ananipenda kwanini asinipe pesa nilale tu?
Na ukizingatia ni kipindi cha mvua usingizi ulivyo mzuri.
 
Wacha weeee, ebu jaribu kusoma ulichoandika kama utakielewa. U much know mwingine unatia aibu mbele za watu. Bora ungepita kimya tu.
Mimi sikuwaandikia nyie msioelewa msome bali nimewaandikia wanaoelewa siyo kila kinacholetwa humu utakielewa au umeandikiwa wewe,tumbili hawezi kuwa nyani hata siku moja.
 
Sasa mkuu hapa najiandaa niende kazini kama Mungu ananipenda kwanini asinipe pesa nilale tu?
Na ukizingatia ni kipindi cha mvua usingizi ulivyo mzuri.
Huyo anajiita muinjilist kwanini asiifanye kazi hiyo bure kwa kuwa ni ya Mungu lakini anadai sadaka?

Kwanini asiishi kwa kuvuta hewa tu iliyo ya bure?

Na kwanini wanakamsemo asiyefanua kazi na asile kwahiyo wanakubali kuwa hiyo ni ajira wako kazini wanaingiza kipato watoto waende chooni?
 
Hata enzi za Nuhu walisema hivyo kwa kuwa hawakuwahi ona mvua kubwa. Sodoma na Gomora walisema na kutamba hivyo lakini hasi leo miji hiyo imebaki kuwa majivu kama ushuhuda wa vizazi na vizazi. Hukumu ya milele ipo hata, kuzimu ipo, jehanum ya moto ipo. Ni wewe kuchagua sasa umilele wako kuwa utaishi wapi. Acha kujidanganya.
Mimi naomba kuuliza hivi miti nayo itachomwa?na je ilikombolewa na nani, yesu?

Mbwa na nyoka wanatung'ata watu je hiyo siyo dhambi wanafanya nani atawahukumu?

Ujinga mliolishwa waafrikana utavigharimu vizazi vyenu na umasikini utawatawala kwa kupoyeza muda wa kufanyakazi mjipatie kipato mnakalia kushinda makanisani ma misikitini Mungu hana muda mchafu wa kusikiliza makelele yenu kila saa wakati kuna wahitaji wanamuomba moja kwa moja siyo kupitia kwa hao matapeli wamaojiita wachungaji na maaskofu.

Haya huyo yesu mnayemuabudu atuondolee serikali na viongozi badhilifunwaliojificha kwenye vivuli vya dini za kigeni na ushoga.

MUNGU alishatuumba tule maisha hamna cha jehanamu wala moto wala mwisho wa dunia ndiyo maana watu wanazaana wanaongezeka lakini viumbe vingine vinapotea.

Kama kuna mwisho wa dunia hii basi ni kwa watu kujaza dunia na kukanyagana kwa kusongamana na kukosa hewa siyo vinginevyo,tusubiri kufa kila mtu kwa wakati wake na style yake,kwisha.
 
Mkuu Kinengunengu una uhakika unawajua majini au unawaskia tu? hao raia waliwahi kumpatia utume wa mchongo mzee mmoja hapo mkuranga ilikuwa shughuli jamaa akajitangazia utume asubuhi na mapema, mtume simu ikiita msikitini anakata network anazimika, sijui amepotelea wapi siku hizi.

Na ndio hao waliokuja kukubeba usiku kwenda kukuimbisha huko kusikojulikana.

"Na waambie: haki imefika, na batili imetoweka, hakika batili lazima itoweke."

Qur'an 17:81
 
Nimeona watu wengi humu JF wakimponda na kumkashfu Mwalimu Mwakasege baada ya kusema Mungu alimfunulia kuhusu mbingu na kwenda Mbinguni.

Binafsi nadeclare interest kuwa ninatumika Kanisa la TAG kama Mzee wa Kanisa huku Nyanda za juu kusini pia ni Mtumishi wa Serikali na huwa nahubiri mara moja moja. Siandiki hivi kwa kufurahisha watu au kujisifu wala kutaka kumsafisha Mwalimu Mwakasege ila naeleza kile nilichoshuhudia na kile ambacho Mungu amenitendea.

Kwa umri na muda niliomtumikia Mungu kama Mkristo nafahamu Mungu anajifunua kwa watu wengi yeye binafsi na pia kuwafunulia kuhusu wengi kuhusu mbingu.

Binafsi, nashuhudia leo na kikiwa na akili timamu na dhamira njema Moyoni mwangu kuwa nimemuona mwenye haki "Yesu Kristo" si chini ya mara 4 toka nikiwa mdogo na amenitokea kwa namna mbalimbali tofauti na watu wanavyokashfu kuwa tutatokewa na Mapepo yaliyovaa sura ya "Bryan Deacon" yule aliyeigiza "Filamu ya Yesu" Pia nashuhudia, Mungu kunifunulia na kuiona mbingu.

Mafunuo haya ya kutokewa na Yesu kwangu mimi hayakuwa kwa jinsi ya kimwili "yaani kunitokea physically" ila ni katika ndoto na Maono ya usiku pia wakati nasali nikajiona tu nimekutana naye.

Leo sitaelezea kuhusu kutokewa na Yesu ila nitaelezea kuhusu ushuhuda wangu wa kuiona Mbingu ila nasisitiza katika hilo, kila maono, ndoto au mafunuo ya Kimungu yanajengwa chini ya Neno la Mungu. Neno: Ayubu 33:14-16 hapa Mungu anasema kuhusu kusema na wanadamu kuhusu ndoto ns mqono ya usiku.

Neno: Yoel 2: 28-29 Anasema kuhusu "Ndoto na Maono".

Kuhusu Mungu kuwafunulia watumishi wake mbingu, tunaona Paulo anasema namna alivyochukuliwa na kuoneshwa kuhusu Mbingu katika 2 Korintho 12: 2-9 pia Stephano naye anafunuliwa katika Matendo ya Mitume 7:56 na pia Mtume Yohana anafunuliwa kuhusu Mbingu wakati anaandika kitabu cha Ufunuo wa Yohana.

Binafsi, Nakumbuka ilikuwa 2016. Mungu alinipa Neno toka Yeremia 33:3 inayosema "Niite nami nitakuitikia na nitakuonesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua" pia kwa muda mrefu nilikuwa naimba moyoni mwangu wimbo mmoja wa zamani sijui uliimbwa na kwaya gani ila kuna kipande wanaimba " Nimpeleleza nani raha ya Mbingu×2, Yesu ndiye wa Kumpeleleza"

Nakumbuka Siku hiyo niliamka kama kawaida saa 9 alfajiri na kusali. Ilipofika saa 11:45 nikasema nilale kidogo ili nikiamka saa 1 hivi niende kazini. Nilipolala kama saa 12 alfajiri nikaona Malaika mmoja aliye kama mwanadamu amevaa mavazi meupe yenye kung'ara huku akiwa mwenye sura inayong'ara ananiambia "nimetumwa nikufuate". Akanishika mkono, nikaona natoka kwenye mwili upande wenye moyo.

Nikapita kwenye bati la nyumba bila kizuizi. Safari ya kupanda juu ikaanza kwa speed ya ajabu huku akiwa amenishika Mkono. Nikaangalia chini na kuona mwili wangu, mke na mtoto wangu wamelala kitandani. Unaona nyumba na miti ya duniani. Tukapaa juu kwa spidi nikaangalia chini tena na kuona kadunia kalivyo kadogo then tukafika katika nchi ile ambayo "watu" wanaimba na kumuabudu Mungu. Nikaungana nao tuliimba "Bwana Mungu nashangaa kabisa"

Sijui nielezeje muonekano wake nchi ile ila ni nzuri na ya meta meta. Hali ya hewa na mazingira ni tofauti na huku duniani. Nchi ile ni kweli na mji ule ni kweli. Jitahidi usikose kuingia mji ule.

Baadaye nikaambiwa turudi na kwa speed ya ajabu, najikuta naingia mwilini mwangu upande wa kushoto kwenye moyo, mwili ukawa kama umepigwa "shot" nikashtuka.

Binafsi, nimewasikia na kuwaona watumishi wengi wa Mungu wanaoshuhudia kuhusu Mbingu huku kwetu na sehemu myingine. Ukiacha hao maarufu, japo "Zumaridi hapana kwani inaonekana ana shida ya akili" Ukiacha Mwakasege, hata Marehemu Kulola alishashuhudia siku moja kufunuliwa kuhusu Mbingu.

Nami nimeona nishare uzoefu wangu kuhusu Mafunuo ya Mbingu. Siku nyingine nitaeleza kuhusu kutokewa na Yesu ana tutokeaje, yupoje na tunajuaje kama ni Yesu.

Asanteni.
Weewee, hilo ni wenge lako la mafikira yako unayoshinda nayo na kukesha nayo mtaani ndio reflection yake hiyo ukadhani umeenda kweli mbinguni, kwani mbinguni ni juu au chini ya dunia? Hebu nenda tena Leo mchana, Acha kuweweseka na uchovu wa mwili ukadhani umepaa ni upuuzi
 
Hajawahi kunibabaisha kwani najua ana shida gani? Waliopinga uwepo wa Mungu walikuwepo na watakuwepo hadi mwisho wa dahari. Hana mpya na Biblia inawaita "Wapumbavu" kwa umri wangu, hanipati, hanibabaishi, haniyumbishi wala hanipotezei muda wangu kujibizana naye kuhusu uwepo wa Mungu kwani macho yangu yameshuhudia mengi yanayothibitisha pasi na shaka uwepo wa Mungu na wala sina mashaka naye. Najua alikuwepo, yupo na atakuwepo milele na milele. Poleni kwa huo "Upumbavu" uliowajaa ila samahani kwa hilo mkuu.
Hakuna anayebisha uwepo wa Mungu, ila hizo mbinu mnazotumia kuibia waumini
 
Mimi naomba kuuliza hivi miti nayo itachomwa?na je ilikombolewa na nani, yesu?

Mbwa na nyoka wanatung'ata watu je hiyo siyo dhambi wanafanya nani atawahukumu?

Ujinga mliolishwa waafrikana utavigharimu vizazi vyenu na umasikini utawatawala kwa kupoyeza muda wa kufanyakazi mjipatie kipato mnakalia kushinda makanisani ma misikitini Mungu hana muda mchafu wa kusikiliza makelele yenu kila saa wakati kuna wahitaji wanamuomba moja kwa moja siyo kupitia kwa hao matapeli wamaojiita wachungaji na maaskofu.

Haya huyo yesu mnayemuabudu atuondolee serikali na viongozi badhilifunwaliojificha kwenye vivuli vya dini za kigeni na ushoga.

MUNGU alishatuumba tule maisha hamna cha jehanamu wala moto wala mwisho wa dunia ndiyo maana watu wanazaana wanaongezeka lakini viumbe vingine vinapotea.

Kama kuna mwisho wa dunia hii basi ni kwa watu kujaza dunia na kukanyagana kwa kusongamana na kukosa hewa siyo vinginevyo,tusubiri kufa kila mtu kwa wakati wake na style yake,kwisha.
Ulivyorahisisha mambo sasa utadhani wewe ndio muumba mwenyewe, katika ukafiri mkubwa ni mtu kupinga jambo la kufufuliwa na huu ni upagani wa wazi, hivi ninyi vichwa vyenu mnavitumia kufanyaje? haufikirii mambo yote yalivyopangwa kwa ustadi wa hali ya juu? hautizami watu wanavyokuja na kuondoka? hauzingatii wengine wanavyodhulumu wenzao?.

Unataraji hayo yatapita burebure? acha kujipa moyo kwenye hamna mkuu, utatumia muda wako na ukifika wakati unaondoka kwenda kulekule walipo wenzako, huko wanaposubiri tukamilike wote kisha siku ya mwisho ifike na hukmu ipite na kila mmoja alipwe kwa kile alichokifanya.

"Wamedai wale waliokufuru ya kwamba hawatofufuliwa, sema: kwanini msifufuliwe!? ninaapa kwa mola wangu! hapana shaka mtafufuliwa na kisha hapana shaka mtaambiwa {yote} mliyoyatenda, na hayo kwa allah ni mepesi".

Qur'an 64:7

Jiandae na kifo chako mkuu, kikifika hicho ndio kiama chako kidogo kisha kufufuliwa ndio kiama chenyewe, na si busara kujipa matumaini kwenye hamna, no where to run.
 
Nimeona watu wengi humu JF wakimponda na kumkashfu Mwalimu Mwakasege baada ya kusema Mungu alimfunulia kuhusu mbingu na kwenda Mbinguni.

Binafsi nadeclare interest kuwa ninatumika Kanisa la TAG kama Mzee wa Kanisa huku Nyanda za juu kusini pia ni Mtumishi wa Serikali na huwa nahubiri mara moja moja. Siandiki hivi kwa kufurahisha watu au kujisifu wala kutaka kumsafisha Mwalimu Mwakasege ila naeleza kile nilichoshuhudia na kile ambacho Mungu amenitendea.

Kwa umri na muda niliomtumikia Mungu kama Mkristo nafahamu Mungu anajifunua kwa watu wengi yeye binafsi na pia kuwafunulia kuhusu wengi kuhusu mbingu.

Binafsi, nashuhudia leo na kikiwa na akili timamu na dhamira njema Moyoni mwangu kuwa nimemuona mwenye haki "Yesu Kristo" si chini ya mara 4 toka nikiwa mdogo na amenitokea kwa namna mbalimbali tofauti na watu wanavyokashfu kuwa tutatokewa na Mapepo yaliyovaa sura ya "Bryan Deacon" yule aliyeigiza "Filamu ya Yesu" Pia nashuhudia, Mungu kunifunulia na kuiona mbingu.

Mafunuo haya ya kutokewa na Yesu kwangu mimi hayakuwa kwa jinsi ya kimwili "yaani kunitokea physically" ila ni katika ndoto na Maono ya usiku pia wakati nasali nikajiona tu nimekutana naye.

Leo sitaelezea kuhusu kutokewa na Yesu ila nitaelezea kuhusu ushuhuda wangu wa kuiona Mbingu ila nasisitiza katika hilo, kila maono, ndoto au mafunuo ya Kimungu yanajengwa chini ya Neno la Mungu. Neno: Ayubu 33:14-16 hapa Mungu anasema kuhusu kusema na wanadamu kuhusu ndoto ns mqono ya usiku.

Neno: Yoel 2: 28-29 Anasema kuhusu "Ndoto na Maono".

Kuhusu Mungu kuwafunulia watumishi wake mbingu, tunaona Paulo anasema namna alivyochukuliwa na kuoneshwa kuhusu Mbingu katika 2 Korintho 12: 2-9 pia Stephano naye anafunuliwa katika Matendo ya Mitume 7:56 na pia Mtume Yohana anafunuliwa kuhusu Mbingu wakati anaandika kitabu cha Ufunuo wa Yohana.

Binafsi, Nakumbuka ilikuwa 2016. Mungu alinipa Neno toka Yeremia 33:3 inayosema "Niite nami nitakuitikia na nitakuonesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua" pia kwa muda mrefu nilikuwa naimba moyoni mwangu wimbo mmoja wa zamani sijui uliimbwa na kwaya gani ila kuna kipande wanaimba " Nimpeleleza nani raha ya Mbingu×2, Yesu ndiye wa Kumpeleleza"

Nakumbuka Siku hiyo niliamka kama kawaida saa 9 alfajiri na kusali. Ilipofika saa 11:45 nikasema nilale kidogo ili nikiamka saa 1 hivi niende kazini. Nilipolala kama saa 12 alfajiri nikaona Malaika mmoja aliye kama mwanadamu amevaa mavazi meupe yenye kung'ara huku akiwa mwenye sura inayong'ara ananiambia "nimetumwa nikufuate". Akanishika mkono, nikaona natoka kwenye mwili upande wenye moyo.

Nikapita kwenye bati la nyumba bila kizuizi. Safari ya kupanda juu ikaanza kwa speed ya ajabu huku akiwa amenishika Mkono. Nikaangalia chini na kuona mwili wangu, mke na mtoto wangu wamelala kitandani. Unaona nyumba na miti ya duniani. Tukapaa juu kwa spidi nikaangalia chini tena na kuona kadunia kalivyo kadogo then tukafika katika nchi ile ambayo "watu" wanaimba na kumuabudu Mungu. Nikaungana nao tuliimba "Bwana Mungu nashangaa kabisa"

Sijui nielezeje muonekano wake nchi ile ila ni nzuri na ya meta meta. Hali ya hewa na mazingira ni tofauti na huku duniani. Nchi ile ni kweli na mji ule ni kweli. Jitahidi usikose kuingia mji ule.

Baadaye nikaambiwa turudi na kwa speed ya ajabu, najikuta naingia mwilini mwangu upande wa kushoto kwenye moyo, mwili ukawa kama umepigwa "shot" nikashtuka.

Binafsi, nimewasikia na kuwaona watumishi wengi wa Mungu wanaoshuhudia kuhusu Mbingu huku kwetu na sehemu myingine. Ukiacha hao maarufu, japo "Zumaridi hapana kwani inaonekana ana shida ya akili" Ukiacha Mwakasege, hata Marehemu Kulola alishashuhudia siku moja kufunuliwa kuhusu Mbingu.

Nami nimeona nishare uzoefu wangu kuhusu Mafunuo ya Mbingu. Siku nyingine nitaeleza kuhusu kutokewa na Yesu ana tutokeaje, yupoje na tunajuaje kama ni Yesu.

Asanteni.
Hallucinations hizo, hata TEJA nae akipuliza BANGI zake akabwia UNGA, nae anafikw ULAYA akapigwa Story na wanamuziki wakubwa tu...then ALOSTO ikishuka anajikuta yupo TANDALE kwa MTOGOLE[emoji1787][emoji1787]
 
Hayo ni yako tu bro, ila mimi ni tofauti mkuu. Ninashuhudia na kuthibitisha pasi na shaka kuwa Mungu ni halisi, Mbingu ni halisi. Ufufuo wa wafu ni halisi, shimo lile lisilo na maji ni halisi, hukumu ya milele ni halisi. Chagua sasa umilele wako utakuwa wapi kwani kesho ni fumbo na umilele umekaribia.
Kwani umulele wamtu ulipangwa nanani?
Hayo simajukum yaalieniumba ndie anaejua alivyoniprogram kuwa Mimi nitakuwa waupandegan
 
TAG NYANDA ZA JUU KANISA GANI MZEE???
 
Back
Top Bottom